Search results

 1. Kwetunikwetu

  Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

  We kizibo kweli.....unachangia post ya mwaka 2010 kwa mazingira ya 2016!!
 2. Kwetunikwetu

  Waziri wa Maliasili na Utalii awasimamisha kazi Maofisa wa misitu

  Huku kweli ni full kukurupuka....!! Kikwetu tunasema ngoma ya mkubwa ikilia kila mtu anacheza, hata kama ni ya kipumbavu....!! Sasa, hata style ya kucheza je ni lazima iwe ya kipumbavu...??
 3. Kwetunikwetu

  'TeamLowassa' ndiyo inayoshughulikiwa, Wapinzani kufuata

  Leo umepost ujinga mtupu.....kwani Lowassa ndio alikuwa Rais wa awamu ya 4?
 4. Kwetunikwetu

  Mzee Mwanakijiji "eti al - lila na fila hawatengani"

  Recently...MMJ amegeuka urojo...!! Kuna msemo kuwa 'you can be sincere and still be stupid'
 5. Kwetunikwetu

  Operesheni Zinduka 14 - Alipo Hatupo, Tuliko Hayupo - Wasikilize na Waone Hawa

  Naona siku hizi umelainika kama kande za nazi....
 6. Kwetunikwetu

  Rais ajaye asiwe na chembe hata kidogo ya kuhisiwa kunufaika na fursa ya muda mrefu wa uongozi kati

  Naona siku hizi umekuwa laini kama kipande cha chenza....!!
 7. Kwetunikwetu

  CUF kupewa majimbo 35, NLD 5, NCCR Mageuzi 15 ni haki?

  Umenichekesha kweli na ujinga wako uliopitiliza.........! Haki unaijua wewe kweli......? Haki ipi unayoizungumza......CCM kweli this time wamekalia kigogo.....unakurupuka kuzungumzia makubaliano ambayo hujui yamefikiwaje...!
 8. Kwetunikwetu

  Hatutaki vita Tz

  Kizibwa kweli ww....
 9. Kwetunikwetu

  Tanzania Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote

  Vijana wetu wanaimba huu wimbo kwenye shule nyingi tu sambamba na Mungu Ibariki na Tazama Ramani........kila asubuhi....
 10. Kwetunikwetu

  Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

  Haaa haaa....just a precaution mkuu....watumie kwa kufuata maelekezo vizuri....kwa vile pia hatujui risks zake...
 11. Kwetunikwetu

  Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

  Ni budi kuchukua tahadhari na hayo madawa.........usije kuota nywele mpaka kwenye paji la uso...!
 12. Kwetunikwetu

  Baba anamkataa kaka yangu anasema sio mtoto wake, nifanye nini?

  Ni jambo la kusikitisha mzee kufanya mambo ya kijinga na kujificha kwenye kichaka cha ulevi.... Ni vizuri jambo hilo kulipeleka kwa wakubwa zake waliopo na kuwaeleza kuwa wewe binafsi huridhishwi na kauli hizo kwa vile zina lengo la kudhoofisha familia.....hasa kumtukanisha mama yenu.... na pia...
 13. Kwetunikwetu

  Kipima Joto ITV, Mgeni Dr. Bana

  Mtoa hoja nashindwa kukuelewa.....wewe ulitaka aongeaje? Nimefuatilia kipindi chote. wachangiaji wote watatu mbona wameongea facts bila ushabiki..! Kusema CCM haikufuata utaratibu wake yenyewe ndio umeona wamekosea....?
 14. Kwetunikwetu

  Tujadili kura 6 zilizoharika Mkutano Mkuu CCM

  Ukifuatilia yaliyojiri Nigeria kama kumbukumbu zangu ziko sawa...baada ya uchaguzi miaka ya mwanzoni mwa 80, kuna Chief Awolowo alishindwa na kukata rufani kuwa Obasanjo alimpendelea Shehu Shagari.....! Moja ya ushahidi waliotumia ni kutafutwa kura aliyopiga Obasanjo na ilipopatikana ilionesha...
 15. Kwetunikwetu

  Kumbe Maofisa balozi za Tanzania nje ya nchi wanaringa hivi?

  Unazibwa kweli ww.....unawekaje maneno ambayo mwenye mada hakuweka.....soma post yake ya kwanza vizuri ndio uendelee kutukana k##@@##....!!! Kila kitu kukashifu vya kwenu......hata kwenye uongo mnakashifu tu....pumbavu wa fikra......! Omba uraia wa huko Burundi basi uhamie huko......kisa mhudumu...
 16. Kwetunikwetu

  Kumbe Maofisa balozi za Tanzania nje ya nchi wanaringa hivi?

  m.s.##nge kweli ww...kwani hujasoma maelezo yake amesema mwenyewe alifuata nn..??
 17. Kwetunikwetu

  Kumbe Maofisa balozi za Tanzania nje ya nchi wanaringa hivi?

  Pumbavu...! Watu kama nyie ndio mnaenda ubalozini eti kujitambulisha kwa balozi huku mjjinga kiasi hiki...! Ndio maana huyo mwenzio alionekana mjinga......! Nenda ubalozini kwa heshima na issue muhimu....sio kujipitisha hovyo...unafikiri ubalozi ni kijiwe cha kahawa....
 18. Kwetunikwetu

  Kumbe Maofisa balozi za Tanzania nje ya nchi wanaringa hivi?

  Sio kweli kusema ni balozi zote ziko hivyo na watu wote wanafanyiwa hivyo.....mbona balozi nyingi watu tumeenda na hatujiani na mtu na unafanya mambo yako vizuri...! Kwenda kujitambulisha eti mpaka balozi akuone na huna issue yeyote ya maana ni kung'ang'ania mambo yasiyo na msingi.....
 19. Kwetunikwetu

  Kumbe Maofisa balozi za Tanzania nje ya nchi wanaringa hivi?

  Sample ya tukio moja la mtu mmoja haliwezi kuhalalisha shutuma zote hizi....! Pili, wakati mwingine tukubali ofisi sio kituo cha basi.....kwamba unafika na kupanda tu...ndio maana hata hizo balozi mbali mbali ni budi kuweka miadi....nyingine kama huna miadi hupokelewi labda iwe emergency...
 20. Kwetunikwetu

  Dk. Nchimbi kuwa wa 40 urais CCM

  Jamani tuwe serious na nchi yetu.......hapo kwenye red hakuna presidential material...!
Back
Top Bottom