Search results

 1. B

  Wana-JF: Ujumbe Mzito Toka Serikali!

  Hatuwezi kupangiwa na serikali ni kitu gani cha kujadili na ni kipi si cha kujadili.Huu ni upumbavu na ukosefu wa akili timamu,ukishakubali kuwa kiongozi kubali na kubeba msalaba wake,sisi ndiyo waajiri wenu,mnaboronga halafu mtupangie cha kuongea,Yaani Tanzania imekua ni nchi inayokumbatia...
 2. B

  Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

  Huyo Balozi Kazaura ni mwoga anaogopa mafisadi.Akikataa kuwa hajatamka ataletewa tape,watanzania wamechoka..Unaogopa nini ,Lowassa sasa ni mbunge tu,RA hana nguvu,maana tushakata tawi lake moja.
 3. B

  Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

  Mie sielewi point yako ipo wapi?Unamaanisha wananchi wasiviunge mkono vyama vya upinzani kwa sababu vyote vipo kwenye system?Je njia mbadala ni ipi?Kwa nini usianzishe chama chako kisicho kwenye system ili utuonyeshe mfano?
 4. B

  KENYA: Mgombea UPINZANI ashinda USPIKA

  Hapo ndipo unapoambia chagua kusuka au kunyoa,huyu Kibaki katuboa kinoma.Tunaomba spika amuapishe Odinga na siyo huyu dictator Kibaki.ODM oyeeeeee.
 5. B

  Kumbe CHADEMA haina imani na Zitto!

  Nilifikiri huo ujumbe umeandikwa na Zitto, kumbe ni tapeli Hiza, halafu huyu mtu wa Pwani, naona hana kazi ya kufanya, yaani kutwa na usiku amekalia majungu tu, aone wapi wamezungumza mambo ya CHADEMA, ili alete kijiweni. Huyu jamaa wa wapi? Kaa ukijua kuwa kinachoendelea nchini, ni zaidi ya...
 6. B

  Waziri Mkuu Canada atonesha kidonda cha madini Tanzania

  wananchi tukisema,tunaambiwa tuna wivu.Sikieni hayo sasa,yaani inatia kichefuchefu.
 7. B

  Lusekelo anakata tawi alilokalia?

  Huyu Lusekelo makala zake zina busara,no spinning,yupo wazi na haogopi kutoa dukuduku lake,tunahitaji watu kama hawa katika kuleta changes.
 8. B

  Ni kweli Hazina hakuna Pesa?

  kuna tetesi hazina hamna kitu,muungwana na baraza lake la mpasuko,washakomba kila kitu.
 9. B

  Why Kibaki will win 2nd term

  in this election i don't think Kenyans gonna vote for president based on tribalism and regionalism.i think people want a good president,who gonna bring changes in the country.Raila has a very big chance to win this election,lets wait.
 10. B

  News Alert: Wananchi wachomewa nyumba na serikali

  duh,kumbe hata mkuu wa gereza ana amri kubwa kiasi hicho?kweli hii ni bongo,hao wamaasai kuwa huko wanakoishi hamna winter kama la wenzetu huku,mbona wangekufa kwa baridi,sijui kuhusu mvua,ila Mungu atawalinda,ccm tunaichagua wenyewe sasa tufanyeje.
 11. B

  Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

  viongozi wamehamishia akili zao zote kwenye madini,hamna mtu mwenye time na maji,hawajui hayo maji ndio uhai.
 12. B

  Jinsi wageni watakavyo leta vita Tanzania!

  Kuna wanigeria nawafahamu wana passport za tanzania,baada ya kuwa wamekataliwa kwenda ughaibuni kwa passport za nchini kwao,basi wanakuja bongo,na kupata passport kilaini.Hakuna nchi yenye system mbovu ya uongozi katika dunia kama Tanzania.
 13. B

  Tanzania earning 1.9 in mines!

  Madini kuingiza 1.9% katika mfuko wa taifa,naona kama mzaha tu,kheri mara kumi wangewachia akina Masanja,Mwita na Mangi waendelee na uchimbaji mdogo,wangeweza kulipa kodi zaidi ya hiyo 1.9,kuliko kuachia hawa akina Brown,huu ujinga gani jamani,sasa akina Kingwendu wanadai hawajui kwa nini...
 14. B

  Inawezekana matatizo ya nchi ni makubwa kuliko tunavyodhani: Immanuel Didas, apasuliwa kichwa badala ya mguu MOI

  OOH,MUNGU WANGU,i can't believe this,yaani ni maumivu wanayoyapata hao ndugu zetu ni makubwa.Huu uzembe gani jamani,hapana hii imezidi,kweli Tanzania tuna matatizo mengi,tunalaumiana kwenye siasa weee,na wataalam wetu ndo kabisa,unajua baadhi ya madaktari ni walevi,wengine wanavuta bangi,wengine...
 15. B

  Hivi Rais wenu ana pesa kuliko nyie Watanzania na Tanzania ?

  Watanzania bado tumelala usingizi,bado tuna ndoto za kuwa vyama vyingi ni vita.Yaani umenigusa kweli ndugu yangu,ccm ndio chanzo cha matatizo tanzania,just imagine 42yrs in power but nothing has been done yet,Kenya japo kuna ukabila lakini nawakubali sana,KANU ilipigwa chini,na kipindi hiki...
 16. B

  Samahani kwa Kikwete na wana JF

  Hamna cha kuomba msamaha hapa,sijaona kosa lolote,ufuska ni dhambi,tabia mbaya isiyovumilika katika jamii,hasa kwa wana ndoa.Hizo picha wengine hatujazipata,naomba mwenye nazo anitumie,mbona viongozi wengi tu,wakifanya matendo machafu mambo yao yanakua hadharani,litakua ni kosa kama hizo picha...
 17. B

  Membe anapofanya kazi ya mwenguo

  That's why Tanzania is very poor country in the world,and will still be poor forever and ever.I can't just imagine Minister for foreign affairs anaenda kumwaga sijui nani miss tanganyikeni kwenda china,huu ni utupu wa hali ya juu,yeyote anayetetea utumbo huu,ajiulize swali moja tu,why our nation...
 18. B

  Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

  Duh,haya kweli ni mazito,lakini alikua na nafasi kubwa kama Katibu mkuu kupambana na rushwa ndani ya ccm,ila kama kawaida ya watanzania wanakua wazuri mara baada ya kuacha madaraka,ila wakiwa ndani kimyaaaa.
 19. B

  Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

  Hizi tuhuma ni nyepesi mno,sidhani kama tunahitaji kuzijadili hapa,huyo anayejiita mwana chadema mwenye uchungu na chama,tunamuomba hizi tuhuma azipeleke huko chamani wakajadiliane,siye hapa tupo busy kupambana na mafisadi sugu,mambo ya mabuzi na vimwana hayatuhusu,wala hayana maslahi kwa...
 20. B

  "Niwie radhi Mhe..." - Meghji

  Mkuu Koba, Huo ndio ukweli,hakuna nchi yenye bajeti tegemezi kama bongo,ni aibu,halafu tunajisifu tuna rasli mali,achilia mbali utegemezi wa bajeti,deli tulilo nalo bado ni kubwa mno.
Back
Top Bottom