Search results

 1. Maneno Meier

  Mzee Fumba Macho: Bila uongozi bora na akili bora nchi yetu itabaki kuwa maskini tu. Sasa ni miaka 60, CCM mpewe miaka mingapi?

  Watanzania naomba kuwauliua. Nani anatuzuia sisi kuandamana ili kufai haki za nchi yetu?
 2. Maneno Meier

  Uhamiaji ianze uchunguzi jinsi watoto wa Lissu, ambao ni raia wa Marekani walipata passport za Tanzania, kama Lissu alidanganya, ashughulikiwe

  Samahani mkuu, article yangu sikukulenga wewe. Nili ku-refer kimakosa. Nimeyasaihihisha sasa. Pole sana ndugu yangu. Nafikiri ulilielewa lengo lango. Pole Pole sana. [emoji120]
 3. Maneno Meier

  Uhamiaji ianze uchunguzi jinsi watoto wa Lissu, ambao ni raia wa Marekani walipata passport za Tanzania, kama Lissu alidanganya, ashughulikiwe

  Acha kelele zako hapa. Una uhakika gani kama kada yote ya CCM haina passport za Tanzania na za nchi za nje? Watoto wao ndiyo usiseme. Wewe unafikiri Rais wako Samia hana Passport ya Oman? Je, watoto wake umewafawanyia uchunguzi? Sasa kama waziri wa nchi za nje AD Mulamula watoto wake wapo...
 4. Maneno Meier

  China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania

  😀😀😀👍
 5. Maneno Meier

  China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania

  Asante sana Mkuu Kalamu. Nimekuelewa vizuri sana. Tena wewe umeenda straight kwenye kiini cha matatizo bila kupepesa macho na kutoa mwongozo nani wa kumlaumu. Kwa haya nasema uko vizuri ndungu yangu. Umenipa mwangaza mkubwa na nimeupenda sana mchango. Mungu akubariki sana na aibariki nchi...
 6. Maneno Meier

  China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania

  [emoji3][emoji3][emoji3] Asante sana Mkuu Kalamu kwa mchango wako. Mungu akubariki sana! [emoji120] Mkuu Kalamu ndungu yangu wewe ndiye mtu uliye nishutumu mimi kwa kauli yako ya kusema kuwa, na kunukuu; Umeendelea kusema, ninakunukuu; Ndugu yangu Kalamu naomba uelewe kitu kimoja, mimi...
 7. Maneno Meier

  China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania

  Naomba nikuulize baadhi ya maswali kidogo; Je unajua maisha ya watoto na vijukuu vyako yatakuwaje hapo baadae, kama nchi yako hivi sasa inauzwa mbele yako? Unategemea maisha ya wanao na wajukuu zako kuwa mazuri kama yako, wakati wahusika hivi sasa wanashindwa kuwawekea misingi ya maisha bora na...
 8. Maneno Meier

  China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania

  Pia akirudi mwambieni Rais wetu kuwa waziri wake wa Ujenzi na Uchukuzi Professor Mbalawa hatufai tena. Mambo aliyoyatoa Bungeni ni haibu kwa waziri msomi kama yeye. Alitakiwa ajiuzuru mara moja. Yaani Professor mzima ameshindwa kutoa maelezo juu ya mwendelezo wa mkataba ambao...
 9. Maneno Meier

  Mnaotuletea habari za Simba na Yanga humu kila uchao mnamatatizo

  [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 10. Maneno Meier

  Mnaotuletea habari za Simba na Yanga humu kila uchao mnamatatizo

  Wasamehe sana. Serikali yenyewe ndiyo hiyo hiwajali wananchi wake. Unategemea wao watakuwa na mwamko gani? Sasa kama Rais mwenyewe amewapa mabogus kama akina Nape, Makamba, Prof. Mbalawa na akina Ridhiwani Kikwete madaraka makubwa ya utendaji na wao hawaperform vizuri kwa kukosa visions na...
 11. Maneno Meier

  US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?

  Wakiamua nini? Kwani sisi tuna bifu nao? Wao ndiyo watu wenye matatizo na sisi. Hawa watu wanatuogopa sisi ile kishenzi. Wanajua kuwa sisi tukishika ukanda hawata tupata tena. Subirini Generation zijazo. Mtashuhudia nyie wenyewe. Sisi wengine kusikitika hatuta shuhudia hayo mambo yatakapo tokea.
 12. Maneno Meier

  Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

  Wewe unafikiri Jembe angeenda huko? Thubutuu! Jembe hakuwa mtu wa kuwatukuza Half Apes People. Maisha yake yalikuwa dedicated kwa watanzania wenzake. Alijua vitu watu wanavyo vihangaikia huko majuu, ndiyo masna alijitahidi nasi nasi tuwe navyo hapahapa. Kwa kiasi kikubwa cha maisha yake kama...
 13. Maneno Meier

  Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

  Na hili tukio la kutaka kumwuua Rais wa Madagaskar unalizingumziaje? Unajua kwa nini walitaka kumwuua huyo Rais? Kijana jaribu kusikiliza watu wanao jua mambo yanayo tokea duniani. Wafaransa ndiyo wamekuwa wakifanya hivyo mda wote kuwa-eliminate maRais wa Afrika ambao wanachukua maamuzi...
 14. Maneno Meier

  Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

  Umeuelewa lakini? Au unahitaji ufafanuliwe?
 15. Maneno Meier

  Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

  Zimbabwe imefanyiwa nini? Au hujui kilicho watokea wazimbabwe? Kwanini nchi ambayo ilikuwa inashindana n South Africa leo ni masikini kuliko hata Tanzania? Kama hata hilo hulitambui basi itabidi niache kuendela ku-debate na wewe, maana nitakuwa nampigia mbuzi gitaa wakati haelewi nini...
 16. Maneno Meier

  Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

  Utakumbuka Kenya na Tanzania walinyimwa mikopo ya kujenga SGRs zao na hao wa West? Mpaka maRais wetu wakalazimika kuchukua mikopo kutoka kwenye ma bank ya kibiashara ya China na nchi za Asia ili kufanikisha malengo yao ya kujenga hizo SGRs zao? Hey! Hivi wewe unaishi dunia gani mpaka kushindwa...
 17. Maneno Meier

  Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

  Kama kiingereza hakipandi ili kuelewa nini kinaendelea, basi naomba niambie nikusaidie baadhi ya mambo kukutafsiria.
 18. Maneno Meier

  Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

  Wewe bado uko nyuma sana kifikra ndugu yangu. Hujuinkitu na bado hujafungua macho. Hawa watu wanatumia nguvu kubwa kuzuia kwa kila hali sisi kujitegemea. Uko wapi wewe? Mambo yote yanayo tokea duniani huayoni na kuya sikia? Wewe ni binadam wa aina gani? Kama mpaka wazungu wenyewe wanalalamika...
Back
Top Bottom