Search results

 1. BiMkubwa

  Utata wa mtoto wa Diamond, Mama Zari amaliza ubishi..

  some people bwana! Unahitaji uhakiki gani toka kwa binadamu wakati mungu alishamaliza kazi tangu yai lilipotungwa?
 2. BiMkubwa

  Utata wa mtoto wa Diamond, Mama Zari amaliza ubishi..

  unahitaji kipimo cha DNA? Anza kwanza na hii halafu tutaenda kwenye teknolojia. Je kuna lingine?
 3. BiMkubwa

  Kuna nini Hospitali ya Kairuki?

  Naona wengi wenu mnaolalamikia Kairuki ni vijana na pengine mumeanza kuitumia hivi karibuni. Mimi nilishaapa hata BURE siwezi tibiwa pale na nitoka miaka zaidi ya 20 ilihopita. Na enzi zile ni wahaya na watu wa assemblies of God ndio palikuwa mahala pao pa matibabu. Miaka ya hivi katibuni na...
 4. BiMkubwa

  Takwimu za wahitimu PhD UDSM: Prof. Kitila Mkumbo, Umeudanganya Umma wa Watanzania!

  Wahitimu wa PhD UDSM 2010/11 - 38 2011/12 - 42 2011/13 - 34 2013/14 - 57 Idadi ya wafanyakazi wanataaluma wenye Phd kati ni 519 (kwa takwimu za 2013/14).
 5. BiMkubwa

  Introducing "Dead Beat Kenya"

  Interesting! I think we need the same in Tanzania. I can only imagine whos who filling up the pages. LOL!
 6. BiMkubwa

  Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

  Graduation nyingi hufanyika jumamosi, je wasabato huwa hawaendi kwenye graduation? Maana mtu umepiga msoto miaka 3-4 halafu usiende? Kama wanaenda sasa kwa nini wasifanye mtihani jumamosi? (SWALI LA KIZUSHI)
 7. BiMkubwa

  Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

  hauko pekee yako hapohapo UDSM niliwahi fanya test Xmas eve na pia mwaka mpya tuliambiwa tutakuta majina ya watakaofanya mtihani tarehe mbili yamebandikwa na enzi hizo hamna cha simu ya mkononi. Basi mtu unatoka huko ulipo na kwenda kusoma jina siku ya mwaka mpya. Wengine wakaamua tu wajiandae...
 8. BiMkubwa

  Jamani, mtoto anatuchonganisha familia nzima!

  pole sana ndugu yangu. Asiyekupa support katika hili atakuwa mtu wa ajabu au naye ana tabia kama za huyu mtoto. Binafsi nimelea wengi tena wenye tabia chafu kuliko huyo wa kwako. Haya mambo bwana yanahitaji busara sana. Huyo dadaako ni rahisi kukulaumu kwa kuwa kalishwa maneno na mtoto huyo...
 9. BiMkubwa

  Mama yangu kapata stroke mke hataki kumhudumia

  Kabla hatujarukia kumsema mkeo kuna mengi hujaweka bayana: 1. Je mkeo ni mfanyakazi au mama wa nyumbani? 2. Kama ni mfanyakazi, je ana dhamana ofisini kwake? 3. Mnaishi nyumba ya kupanga au ya kwenu? 4. Je mna nafasi? 5. Je mna uhusiano imara na mkeo? Maana usitegemee ubabe wako, ubahili...
 10. BiMkubwa

  niokoleeni ndoa yangu waungwana

  Je umepimwa wewe? Maana usiseme hana tatizo inaeezekana sperm count yako iko chini sana. IVF ni njia nzuri. Ila na yeye aache kujipa stress mambo haya hayahitaji stress.
 11. BiMkubwa

  Wewe mwana JF una taaluma gani?

  Degree ya kwanza - UDSM Degree ya Masters - UDSM Phd - University of Florida at Gainesville JF tulianza kunako zamani baada ya forum yetu ya wanaAtlanta kukosa support na website kufungwa. Tukahamia JF.
 12. BiMkubwa

  Namtafuta Upendo Mbogo

  Yuko Atlanta USA
 13. BiMkubwa

  Namtafuta Upendo Mbogo

  Bbbbbbbb
 14. BiMkubwa

  Elimu inapogeuka adui mkubwa wa ndoa...nini kifanyike?

  Narrow perspective. Period!
 15. BiMkubwa

  Dk. Joyce Ndalichako, usibabaishwe na mtu yeyote

  Huwa nashangazwa na maelezo haya. Je unafahamu kuwa mume wa Dr Ndalichako ni Muislam?
 16. BiMkubwa

  Kabila gani nibora kwa kupata Mke ambaye anaweza kufaa nakushi mazingira yeyote

  Swali halina tofauti na swali hili; "Je ni duka gani naweza kupata viatu vizuri zinazofaa kuvaliwa mazingira yoyote?"
 17. BiMkubwa

  Ndugu wa mume kiboko aisee

  Nivea, story yako ni ya upande mmoja ila pia mumeo naye yaonekana anamkwepa mama yake. Kuna jambo na kuna walakini. Mtu huwezi kumpita mama yako mzazi sebuleni kwa salaam za hi! Hata siku moja! Imagine ingekuwa mama yako? Usije chekelea hapo pengine mama amegundua kitu kilichojificha kwa mumeo...
 18. BiMkubwa

  Tunaomba ushauri kati ya Honda HR-V na Honda CR-V?

  Kwa asiyejua Honda basi atakwambia ni gari bomu. Honda ni kati ya magari bora na yenye uimara kushinda toyota. Naaema hivyo kutokana na uzoefu wangu maana ninaendesha CRV 2009. Nimeshawahi kuendesha CRV 2003 na 2005. Kwa mazingira ya TZ inahitaji gari yenye nguvu. Pia salama na siyo chambo la...
 19. BiMkubwa

  Kenya on the Move: Profiles of Kenya's Cabinet Secretaries Nominees

  Impressed with his selection minus Ngilu. Am exhausted with Ngilu here and there. Just saying........
Back
Top Bottom