Search results

 1. Baraka Mina

  Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), leo Desemba 28, 2023

  Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Zanzibar ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atatunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) leo tarehe 28 Desemba, 2023...
 2. Baraka Mina

  TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

  Without a doubt, Dr. Gabriel Nduye the greatest bishop we never had. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa maisha yake na utumishi wake uliotukuka katika kanisa na nchi yetu. Ni msomi ambaye daima hakuwa na makuu, ukikutana naye huwezi kukosa kitu cha kukusaidia na kukujenga katika maisha yako.
 3. Baraka Mina

  TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

  Alikuwa mshauri bora, kiongozi imara mwenye maono makubwa ya maendeleo endelevu ya kanisa, mkoa wa Njombe na taifa. Pumzika Msaidizi wa Askofu KKKT - Dayosisi ya Kusini Dkt. Gabriel Nduye.
 4. Baraka Mina

  Mobhare Matinyi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke. Uteuzi huu unaanza mara moja. Julai 2, 2023, Rais Rais Samia...
 5. Baraka Mina

  Jokate Mwegelo ateuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

  Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Katika kikao...
 6. Baraka Mina

  DOKEZO URGENT: Binti wa miaka 16 ameozeshwa kwa lazima kama mke wa pili, huko Laela, Sumbawanga

  Uwajibikaji ni moja ya sifa muhimu kwa kiongozi. Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima katika hili unastahili pongezi za dhati. Tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu akujalie uzima na siha njema ili uendelee kufanya kazi kwa weledi. Tunahitaji kusonga mbele kwa pamoja na kujenga jamii salama ambayo itakuwa...
 7. Baraka Mina

  Dkt. Shoo: Kanisa litaendelea kutoa waraka

  Ndiyo, mbele ya Rais kasema hivyo.
 8. Baraka Mina

  Dkt. Shoo: Kanisa litaendelea kutoa waraka

  Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT jijini Arusha amesema kanisa litaendelea kukemea yale yote ambayo yapo kinyume. Katika kufanya hivyo, kanisa lisihesabike kuwa linachanganya dini na siasa bali Serikali...
 9. Baraka Mina

  KKKT waunga mkono uwekezaji Bandarini, TEC nao wataunga tu

  Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT jijini Arusha ameeleza kuwa viongozi wa dini wakiwemo KKKT, TEC, BAKWATA, CCT na wengineo walikutana na Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha mwanzo na kuzungumza...
 10. Baraka Mina

  CCM yatoa Baraka zote kwa DP World kufanya uwekezaji wa Bandari

  Hamashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana katika kikao chake cha kawaida makao makuu ya chama hicho jijini Dodoma leo Jumapili, Julai 9, 2023, chini ya Uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na mambo mengine imejadili mkabata wa makubaliano ya uwekezaji na uendelezaji wa...
 11. Baraka Mina

  Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

  Cheo ni dhamana na pia uongozi ni huduma. Tumuombe kiongozi wetu.
 12. Baraka Mina

  Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

  Mkuu taarifa hata haujaiandika vizuri; uteuzi na utenguzi uko wapi sasa? Usiwe na papara, tulia; andika vema kisha tuma.
 13. Baraka Mina

  Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar...
 14. Baraka Mina

  TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

  Asante sana kwa kututumia wimbo huo. Mwingine ni huu
 15. Baraka Mina

  TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

  Kweli kabisa Mkuu, tunatakiwa kuwa tayari; maana hapa duniani hatuna uraia wa kudumu.
 16. Baraka Mina

  TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

  Kipaji maridhawa kimeanguka; sisi sote tu wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea siku moja.
Back
Top Bottom