Search results

 1. T

  Sasa ni Dhahiri: CHADEMA Walikosea Kumfukuza Zitto!

  Hawajakosea hata kidogo, kanuni na katiba ya chama ndio tatizo... chama kina wenyewe
 2. T

  Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

  Hakuna muuingiliano hapo..hukumu isiyotambulika kisheria ni as good as hakuna hukumu
 3. T

  Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

  Trust me time siyo issue tutadai milele na tutaipata, wanasiasa wako kwa ajili ya kusolve society problems kama c.c.m nachadema watashindwa tuta opt kwa wengine
 4. T

  Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

  Si kwamba huelewi unameza maaigizo ya maaskofu bila kufikiri.. Wanataka hukumu za mahakama ya kadhi yatambuliwe kisheria (siyo kuendeshwa na serikali) Meaning: Kadhi akitoa hukumu yake iwe recognize na serikali.
 5. T

  Swali la Kizushi: Kwanini Buhari Hakusubiri Matokeo Rasmi Kutangaza Ushindi?

  Tanzania ni vigumu wananchi kulinda kura kwa ajili ya mgombea yeyote kwakuwa wote hawaaminiki..wezi na waongo
 6. T

  Uhusika wa Rais Kikwete katika utapeli wa Richmond...kwa mujibu wa Lowassa ?

  Walioko kwenye payroll ya Lowassa wengi akiwemo mtoa mada japo yupo Ukawa??? ni vigumu kuamini mwanasiasa wa upinzani in out anashupalia mambo ya chama tawala.
 7. T

  Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

  Hata kama serikali itaundwa na UKAWA waislamu watadai mahakama ya kadhi...
 8. T

  Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

  Wewe mkuu ni mweupe sana, issue hii itakuwa madai y waislamu forever, kama yatapuuzwa forever wata opt otherwise
 9. T

  Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

  Mkuu goodpoint, ndi maana tunataka serikali itambue hukumu za kadhi, hilo sijui wakristo wanaonani ngumu ..
 10. T

  Mke wa Sumaye kunyang'anywa ekari kubwa za mashamba Kibaha

  Shamba kila mtanzania anaweza kuwa nayo kwa kiwango kidogo cha pesa. siyo ajabu kwa mke waziri mkuu kuwa na shamba
 11. T

  Watanzania wengi ni wamebobea uchumi lala (sleeping economics)

  Ni kweli kabisa a. Nyumba za waswahili zilizo mikoheni, mbezi Beach na Kwingineko haziendani na viwanda walivyonavyo waswahili..assuming kiwanda kidogo cha M.700. (hesabu nyumba za zaidi ya hiyo pesa? b. Kuna tatizo la over emphasize on building houses kuliko kufanya investments
 12. T

  Maswali kuhusu Bandari mpya ya Bagamoyo

  Bandari ya Bagamoyo badala ya Tanga ni Bad decision mtazamo wangu Kupanua chuo cha IFM kwenda Msata ni Good Decision Kwa hiyo naomba usilinganishe hayo
 13. T

  Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

  Mimi siyo Daktari ni mfanyabiashara, Ila ninaona kuna opportunity hapa ninapoishi kuanzisha biashara ya Dispensary/Hospitali ya watoto. Naomba kufahamu masharti na mahitai yake? Inawezekana kwa mtu asiye Daktari kufungua hospitali na kupata faida? unawezaje kuwadhibiti Madkatari?
 14. T

  Kikwete amteua Dr. Mighanda Manyahi M/kiti Bodi ya TANESCO

  Amezingatia sifa au mashinikizo kutoka parokiani
 15. T

  Nitapataje hotuba za rais mstaafu ndugu Ali Hasani Mwinyi?

  Nenda utumishi na TBC wanatunza archives za hotuba za wastaafu
 16. T

  Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

  Nitamkumbuka kwa kuwapendelea wakristo serikalini kwa kuogopa asichukiwe, kufunga masheikh kwa shinikizo la maaskofu, kukataa mahakama ya kadhi ili asiwauhi wakristo period.
 17. T

  Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

  Kwa kupendelea wakristo kwa uwoga na kujipendekeza kwao
 18. T

  Sumaye: Rushwa ikizidi CCM nitajiondoa

  Sumaye pekee ndio ana make sense katika wagombea wa CCM. Wengin hata kukemea tu rushwa wanaona aibu
 19. T

  Mh Lema umetudharau sana wananchi wako

  Chadema wameufanya ubunge kuwa kitu rahisi sana; mimi siamini kama Lema, Sugu, Nassari etc wanastahili taasisi ya ubunge.. Ndio maana siku hizi kila taahira anataka kuwa mbunge,
Back
Top Bottom