Search results

 1. May Day

  Shairi: Sauti ya Dahuu

  Happy besdey Dahuu.
 2. May Day

  TMA yasema mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam kwa siku 4 kuanzia Jumatano Nov. 15, 2023

  Nikisikia habari ya mawimbi makubwa kama nina safari ya kwenda Zenji nahisi kuchanganyikiwa, natamani kungekuwa na usafiri wa Basi kwenda Zenji..
 3. May Day

  Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

  Na kama ile ya Baleke ingekuwa Goli stori ingekuwa tofauti...sidhani kama ingefikia kuwa mbaya vile.
 4. May Day

  Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

  Na sasa wapo wanasheherekea huko, hii yote kuwatia hasira mzidi kuvurugana...msikubali.
 5. May Day

  Mashabiki wa Yanga wajitokeza Kwa wingi mitaa ya Jangwani Kwenda kupata supu

  Nyie fakamieni tu na huu msimu wa mvua hamkawii kunyweshwa supu ya Vyura.
 6. May Day

  Mashabiki wa Yanga wajitokeza Kwa wingi mitaa ya Jangwani Kwenda kupata supu

  Nyie fakamieni tu na huu msimu wa mvua hamkawii kunyweshwa supu ya Vyura.
 7. May Day

  Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

  Huko Jangwani siji, hiyo supu sina imani nayo.
 8. May Day

  Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

  Labda kila Mtu ana namna yake ya kutathmini mechi. Ila kwangu naona tulizidiwa mbinu tu na mechi ikawa mzigo mzito kwa Wachezaji, tutawalaumu Wachezaji bure bila ya sababu.
 9. May Day

  Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

  Sio wote tuombe radhi, ila kuna Wachache wanaosumbua wengine..tupo wenye akili na kujua maana ya kushindana.
 10. May Day

  Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

  Ndio tunasema hivyo.
 11. May Day

  Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

  Hakika Inauma, mimi mwenyewe ile siku nilibaki ukumbini nimeduwaa sielewi kilichotokea utadhani nasubiri kipindi cha tatu mechi iendelee walau tupunguze hata mbili.
 12. May Day

  Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

  Wangedeka tu ni afadhali, sasa wanataka kuvunja kabisa timu kwa mambo ya kijinga kabisa. Kule England juzi juzi hapa Totenham kapigwa na Chelsea, jana kapigwa na Wolves, sasa nao wachanganyikiwe kisa kupoteza mechi mbili?.
 13. May Day

  Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

  Ni Mamluki hao, Shabiki wa kweli hana akili hizo. Mfano hili la kuwatuhumu Wachezaji kabisani ajenda iliyopenyezwa na maadui, na Simba tunapokea tuna na kwenda nalo kama dodoki linavyofyonza kila kitu.
 14. May Day

  Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

  Kumezuka mtindo wa baadhi ya Mashabiki kujiona kwamba wao ndio Mashabiki wenye haki au bora au kindakindaki sana kuliko Mashabiki wengine. Kila jambo wao wanataka kuliongelea hata kama hawana chochote wanachofahamu kuhusina nalo. Ni ushabiki gani huu wa kushindwa kukubali timu kupoteza au...
 15. May Day

  Je, ni sahihi mzazi kumuuzia mwanae kiwanja?

  Nipo upande wa Mzazi. Nadhani ungekidhi vigezo vya kukupatia bure angekupa. Kama umekipenda lipa pesa, au la kanunue kwingine. Sanasana omba akupunguzie.
 16. May Day

  Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

  Ndio maana kuna ule usem i "Mswahili ni ngozi ya tako, haitakati hata kwa neko".
 17. May Day

  Nashauri Wachezaji hawa wa Simba SC leo wasiende Uhuru Stadium na wakienda Walindwe sana ili Wasipigwe

  Uongozi wa Simba uwe makini na Mashabiki Wachonganishi, wengi wao ni Mamluki tu wanaojifanya Mashabiki kindakindaki wa timu. Hata Wachezaji nao wanaumia kupoteza mechi, ila sasa kma timu inazidiwa wafanyeje?.
 18. May Day

  Madanguro yaboreshwe, yarasimishwe

  Hii ni kama biashara ya gongo tu, kila wakati kunakuwa na operesheni lakini biashara haifi. Shughuli yoyote yenye Wateja kuiua ni ngumu sana.
 19. May Day

  Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

  Kama umeshasema kakuzidi kipato hayo mbona yanatarajiwa. Katika mambo ya kuombea yasitokee kwenye ndoa ni Mke kuzidi kipato, kama bado unaitaka ndoa kuwa mpole.
 20. May Day

  Bunge litaendelea kutunga sheria za kibaguzi hadi lini?

  Sisi Wananchi wa kawaida Mswada wetu ni ule wa bima ya afya, huu wa wakubwa ngoja nikae pembeni.
Back
Top Bottom