Search results

 1. FaizaFoxy

  Serikali kuweka shule za English Medium siyo ubaguzi kwa wanafunzi wa kitanzania?

  Jazijaanza leonhizo. Nafahamu Dar shule ya Olympio ina English Medium ilianzishwa miaka mingi iliyopita na ni ya serikali.
 2. FaizaFoxy

  Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

  https://youtu.be/mBGNIcuy3zc?si=TafoJgWU0W9TOhaf
 3. FaizaFoxy

  Jinsi Iran ilivyojipata chini ya utawala wa Ki-Ayatollah

  Umeiruka historia kubwa ya Iran. Mwaka 1953 yalifanyika mapinduzi yalioongozwa na Uingereza na Wamarekani kumpindua Waziri Mkuu aliyekuwepo madarakani kidemokrasia na kuwapa vibaraka wao kina Shah madaraka yote. "The 1953 Iranian coup d'état, known in Iran as the 28 Mordad coup d'état...
 4. FaizaFoxy

  Kwa sasa kuishi Dar es Salaam ni utumwa na mateso makubwa mno

  Wakuja mmejazana, rudini makwenu mkaishi huko.
 5. FaizaFoxy

  Dr. Biteko: Bwawa la Mwalimu Nyerere lipo Salama. Limepunguza athari za mafuriko

  Silt inayotuwama bwawa la Nyerere lazima itakuwa na dhahabu ya kutosha.
 6. FaizaFoxy

  Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

  Hao kama unakaa nyumba yenye wapangaji wengine, inabidi nyumba nzima ishughulikiwe kwa dawa za uhakika na nyumba za jirani pia. Hilo ni zaidi ya janga.
 7. FaizaFoxy

  Mama Samia Atunukiwa Udaktari wa Uchumi (Doctorate of Economics Degree) Uturuki

  Sikuelewi unasema nini. Wewe unampangia Rais wa nchi kazi zake? Wewe unafanya kazi ipi?
 8. FaizaFoxy

  Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

  Mazayuni hawatabaki salama maisha yao yote.
 9. FaizaFoxy

  Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

  Mazayuni hawatabaki salama maisha yao yote.
 10. FaizaFoxy

  Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

  Mazayuni hawatabaki salama maisha yao yote.
 11. FaizaFoxy

  Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

  Olewa binti wacha umalaya.
 12. FaizaFoxy

  Kiswahili fasaha kinatoweka

  Karudie kusoma.
 13. FaizaFoxy

  Kiswahili fasaha kinatoweka

  Hakuna nyingi qala kidogo. Aghalabu ni aghalabu, asiyejuwa hatojuwa hata kulitumia kwake kwenye sentensi. Kiarabu chake ni "ghalban" (غالباً). Mimi naijuwa lugha kama lugha tu, siyo mkalimani.
 14. FaizaFoxy

  Kiswahili fasaha kinatoweka

  Halimaanishi kwa wingi wala kwa uchache. Aghalabu ni aghalabu.
 15. FaizaFoxy

  Kuuliza si ujinga, Mtu akifariki watu wanasema Apumzike kwa Amani huwa wanamwambia marehemu au wanamaanisha nini?

  Hao siyo Waislaam. .Waislaam tunatakiana tuwe kwenye amani kila tunapokutana "Asalaam Alaikum" na tunapopatwa na msiba tunafarijiana kwa kukumbushana kuwa sote ni wa Allah na kwake ni marejeo.
Back
Top Bottom