Search results

 1. Geeque

  Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

  Yaani nyinyi wapambe wa Lowasa mmeshafanya Urais ni cheo cha kupeana kiushkaji. Kwamba mtu akiwa rais basi akitaka rafiki, ndugu au mtoto wake awe rais, lazima itokee. Kwa mtazamo wenu Kikwete alimtaka Membe awe Rais, mbona Membe hakushinda hiyo nafasi ya kugombea Urais? Tuambieni hapa chanzo...
 2. Geeque

  William Malecela Toka BCS - Jambo hadi JamiiForums

  Toka enzi za Nyenzi, YoungAfrican, BCS, Darhotwire, Jambo mpaka Jamii Forums. Lemutuz alikuwa ni mwanajumuiya mwenye hoja zilizojaa madini na zenye mashiko pale anapoamua. Mwenyezi Mungu Ampumzishe Kwa Amani, Lemutuz.
 3. Geeque

  Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

  Mnapoteza muda wenu kubishana na huyu mla vumbi chokambaya na wenzake. Hana hata uhakika wa mlo wake wa kesho, kazi kunukisha kikwapa kwenye daladala.
 4. Geeque

  Machinga waanza kunyanyaswa rasmi hawatakiwi huu si wakati wa wanyonge

  Nilipita mitaa ya Posta ndani ya Dar Es Salaam, baadhi ya mitaa imeharibiwa kabisa na vibanda vya wamachinga. Yaani hakuna mpangilio wala sehemu ya wapita miguu. Ni kero kubwa sana, waondolewe na wapelekwe sehemu maalum ya kufanya biashara zao.
 5. Geeque

  Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

  Ni aibu sana kwa Waziri Mkuu kulitangazia Taifa takwimu za UONGO ambazo hana uthibitisho nazo na hakuhakikisha anatumia vyanzo sahihi kupata ukweli. Mtu kama huyu si anaweza kuliingiza Taifa kwenye maafa makubwa kutokana na taarifa feki za mitaani.
 6. Geeque

  BAKWATA: Hatujapokea taarifa yoyote kuhusu kwenda ibada ya Hijja ukiwa na chanjo ya Corona

  BAKWATA inaongozwa na watu WAJINGA na WAPUMBAVU
 7. Geeque

  Unamkumbuka marehemu Jerry Nashon Dudumizi?

  Katika nyimbo zote alizoimba Jerry Nashon, hii ya Pesa Zanisumbua ameimba kwa hisia kali sana. Ni nyimbo ambayo naisikiliza mpaka leo hii ikiwa imejaa huzuni, huruma, na tumaini huku akinguruma na sauti yake ya Dudumizi. Mwenyezi Mungu Amlaze Mahala Pema.
 8. Geeque

  Bahati nasibu ya kuhamia Marekani, Tanzania tulishafunguliwa na Marekani?

  Tanzania itaondolewa kwenye orodha ya "ban" ya Green Card kuingia Marekani baada ya Joe Biden kuapishwa na yeye kusaini executive order. https://www.bongoradio.com/joe-biden-aahidi-kuiondoa-tanzania-kwenye-nchi-zilizowekewa-vikwazo-vya-kusafiri-marekani/
 9. Geeque

  Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

  Sarcasm 101 Usidhani unasifiwa, bali unadharauliwa!
 10. Geeque

  Tundu Lissu asema ameamua kwenda uhamishoni Ubelgiji kwa sababu ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo

  Hii mentality ni ya kijinga sana na inaonyesha jinsi mlivyokuwa na mavichwa makubwa huku akili hamna hata kidogo. Hivi unadhani kila mtu lazima aje na mtaji wa dola milioni 1 au zaidi? Kuna watu wengi wana uwezo wa kufungua small businesses ambazo mara nyingi hutoa ajira kwa wengi na mtaji wake...
 11. Geeque

  Tundu Lissu asema ameamua kwenda uhamishoni Ubelgiji kwa sababu ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo

  Sasa unadhani hii wanamkomoa nani zaidi ya kupunguza ongezeko la vitega uchumi kwa nchi na upatikanaji wa ajira kwa raia wengi.
 12. Geeque

  Tundu Lissu asema ameamua kwenda uhamishoni Ubelgiji kwa sababu ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo

  Ukishakuwa mpambe wa CCM lazima uwe na Akili Kinyesi Kubwa Jinga Zumbukuku
 13. Geeque

  Tundu Lissu asema ameamua kwenda uhamishoni Ubelgiji kwa sababu ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo

  Serikali ya Tanzania inakataa uraia pacha kwa Watanzania halisi waliozaliwa na kukulia Tanzania ambao kila siku wanatuma mamilioni ya pesa nyumbani, kufungua miradi na kusaidia ndugu, jamaa na marafiki lakini wanawakubalia raia wa Caribbean kukaa Tanzania bila ya Visa. Huu ni ujinga wa hali ya...
 14. Geeque

  Trump aliwalea madikteta wa Afrika, kung'oka kwake ni pigo kwao. Sasa wataanza kushughulikiwa bila huruma

  Ni kweli kabisa madikteta wa Afrika waanze kujiandaa kwa sababu wakati wa utawala wa Trump hakuwa na interest yeyote kushughulikia mambo yanayohusu haki za binadamu kwa Afrika. Utaona kuanzia January 20, 2021 haya mambo yanaaza kushughulikiwa kwa ukaribu kabisa na serikali ya Joe Biden.
 15. Geeque

  Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

  Wana asili ya Uholanzi, baba au babu yao alikuwa mkulima Mlowezi kutoka Uholanzi kule Turiani.
 16. Geeque

  Yale matamko ya Ubalozi wa Marekani kuhusu COVID-19 nchini yameishia wapi?

  Tahadhari bado zinatolewa na ubalozi wa Marekani, nadhani walitoa moja wiki iliyopita na unaweza kuangalia hapa Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
 17. Geeque

  Tanzia ya Dkt. Dau kwa rafiki yake hayati Benjamin William Mkapa

  Yaani wadini mmeshindwa kujizuia na mmetoka mafichoni baada ya kuona tu jina la Dr. Ramadhani Dau. Nakumbuka jinsi mlivyokuwa mnamuandama wakati wa uongozi wa wake pale NSSF, mbona sasa hivi wamewekwa watu wenu mnaoimba nao kwaya lakini ndio kwanza shirika linadidimia na kuingia hasara kila...
 18. Geeque

  Mkapa above the law?: Allegations

  Hahahahah naikumbuka sana, inabidi tuirudishe for real, aisee tumetoka mbali 😂
 19. Geeque

  Mkapa above the law?: Allegations

  Mazee Nyani Ngabu, yaani we acha tu ndugu yangu hahahahah
Back
Top Bottom