Search results

 1. Mohamedex121

  Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

  Vipi wadau !! Hivi mazoezi nayo yanasaidia kuondoa ganzi kuna kanishauri niwe nakanyaga kokoto na nyayo za miguu peku ??? Nayo hii itasaidia wakuu?? Natanguliza shukurani
 2. Mohamedex121

  Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

  Sawa shukurani sana mkuu! Swala za TAHHAJUD niliziacha kwa muda ngoja nizirejee haraka sana
 3. Mohamedex121

  Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

  Wadau!! Nimeanza na tiba ya kitunguu swaumu nimekimenye na kukisaga kisha nimepaka kwenye nyayo za miguu. Je kitabibu inasaidia?? Maana hili wazo nilipewa na mtu.
 4. Mohamedex121

  Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

  Ngoja nianze na tiba za kisuni mengine yatafuta kidogokidogo kama tatizo likiendelea kuzidi
 5. Mohamedex121

  Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

  Sawa mkuu ngoja nipambane na tiba za kisuni ikishindikana tutaangalia ustaarabu mwingine
 6. Mohamedex121

  Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

  Hata mimi niliamini hivo ila mwaka huu baada ya mauzauza nimeamini uchawi upo
 7. Mohamedex121

  Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

  Shukrani! Unaweza kunipa list ya dawa za kununua maana hata huku dar machimbo ni mengi sema..
 8. Mohamedex121

  Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

  Shukrani sana mkuu. Mafuta ya mzaituni nilikuwa nishayaweka kwenye list kwenda kuyanunua apo kesho. Mengine ni mafuta ya abatsoda, pia nataka nimtafute shekhe aje anipe kisomo
 9. Mohamedex121

  Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

  Mi ni muislamu bado sijawa na imani na mambo ya kikristo. Ila shukurani nitalifanyia kazi kwa kuhudhuria makanisani maana kwenye matatizo kama haya nisiweke udini
 10. Mohamedex121

  Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

  Kurogwa kwangu kunauhusiana vipi na mafanikio yangu mkuu??? Maana kama kusoma nimesoma japo sina ajira rasmi zaidi ya umachinga, nimeshapoteza biashara yangu ya studio naishi kusogeza siku...
Back
Top Bottom