Search results

 1. Anonymous

  DOKEZO Kurasini - Dar: Baadhi ya maofisa wa Uhamiaji, wamekuwa na vitendo vya wazi vya kuomba rushwa ili kukupatia huduma kwa wakati

  Ndugu ZANGU, Mimi kimajukumu ni mchungaji wa Kanisa hapa Dar es Salaam. Napenda kueleza uma masikitiko yangu juu ya ofisi za uhamiaji (immigration) zilizopo kurasini. Baadhi ya maofisa wa Immigration hapo wamekuwa na vitendo vya wazi vya kuomba rushwa ili kukupatia huduma kwa wakati. Na usipo...
 2. Anonymous

  DOKEZO Serikali iko wapi masoko yanakuwa machafu kiasi hiki? Kipindupindu kitatuacha?

  Hali ya masoko kwa kweli ni mbaya sana, yaani unaweza kununua bidhaa ukaharibu viatu na ukapata magonjwa mazingira ya masoko yetu. Kila mfanya biashara analipa ushuru wa kuwepo sokoni, hata hivyo inashindwa kubainika hela zinatumikaje? Mbona masoko machafu hadi yanatia kinyaa, na mengine hutoa...
 3. Anonymous

  DOKEZO Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha hali hii. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wajitafakari

  Kawe ni moja ya Kata zilizopo ndani ya Wilaya ya Kinondoni na katika Jimbo la Kawe ikiwa ni moja ya Kata maarufu sana lakini hali ya Kituo cha daladala katika Kata hiyo inahuzunisha sana. Kituo hicho kilichopo Tanganyika Packers kina magari ya kwenda Segerea, Bunju, Mbezi, Mloganzila...
 4. Anonymous

  Makonda ni nani hasa kwenye Siasa za Tanzania? Kwanini nguvu kubwa inatumika kumrejesha ulingoni?

  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM anatarajiwa kufanya ziara mikoa ya Kanda ya Ziwa lakini tetesi za mambo yanayoelezwa kuendelea ili kumpokea yanatia aibu, kutia hasira na kufedhehesha sana. Inadaiwa Mkuu wa Wilaya ya Chato ameziamuru Taasisi zote za Kiserikali Wilayani mwake kutoa...
 5. Anonymous

  Halmashauri ya Mvomero inatoa namba za Watumishi wake kwa taasisi za fedha ili ziwashawishi watumishi kuchukua mikopo

  Halmashauri ya Mvomero inataoa namba za watumishi wake kwa taasisi za fedha halafu hizo taasisi zinawashawishi watumishi kukopa kwenye taasisi zao unaweza pigiwa simu zaidi ya mara 5 na taasisi za fedha mpaka inakuwa kero jamani mtusaidie. Ni hivi, baada ya kuripoti kazini halimashauri ya...
 6. Anonymous

  Mkandarasi anatulipisha Tsh 50,000 kwa nyumba kila mwezi kuzoa taka Masaki (Dar) lakini huduma ni mbovu

  Mimi ni mkazi wa Masaki nimeona ripoti ya gharama za utoaji taka kuwa kubwa mitaa ya Mbezi Beach B (maarufu kwa jina la Mbezi Beachi ya Chini) nikaona nami nipaze sauti yangu kwa upende wetu wa Masaki ndani ya Jiji letu hili la Chalamila. Huku Masaki gharama ni mara mbili ya Mbezi, Mkandarasi...
 7. Anonymous

  Loliondo: Mwarabu wa Dubai anavyosakama Wamasai kupitia Serikali

  Nimemaliza kuisoma hii upya
 8. Anonymous

  DOKEZO Ujenzi holela kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

  Siyo Sopa... Huo mradi wa ovyo unafanyikia juu kabisa ya mlima uliopo mkono wa kushoto ukiwa unaelekea Sopa
 9. Anonymous

  DOKEZO Ujenzi holela kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

  Habari zenu wakuu, Tukubaliane tu kwamba utalii unatutangaza, unatuingizia fedha za kigeni, kuinua uchumi na kutoa ajira. Lakini utalii usiposimamiwa vizuri madhara yake ni mtambuka na ni makubwa sana! Ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti kuna mwamba mmoja anaendelea na ujenzi wa hoteli ya...
 10. Anonymous

  UZUSHI Marekani yawawekea vikwazo viongozi Kenya kwa kuchochea vurugu, yumo Naibu Rais

  Kumekuwepo na taarifa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia gazeti la Mwananchi limeandika kuwa Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo wanasiasa wanne wa Kenya pamoja na familia zao akiwemo Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua baada ya kupata taarifa kuwa wanasiasa hao walipanga na kufadhili...
 11. Anonymous

  Daniel Chongolo fuatilia tuhuma hizi za CCM kata ya Wazo mkoani Dar es Salaam

  Zipo tuhuma za ufisadi mkubwa wa kuuza VITALU 48 vya kujenga vibanda vya biashara kwenye eneo la CCM Kata ya Wazo lililopo jirani magereji Tegeta Wilayani Kinondoni. Wanaotuhumiwa kushirikiana kufanya ufisadi huo ni pamoja na Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Bwana James Mgego na viongozi wa...
 12. Anonymous

  Kero: Barabara za Jeti kwa Gude na Buza Kanisani

  Imeletwa na mwananchi, namsaidia kuifikisha JF: 👇🏾👇🏾👇🏾 Naomba niripoti hii kwa sehemu husika hasa iwafikie walengwa ambao ni viongozi, either wenyeviti wa serikali za mitaa, Diwani ama mkuu wa wilaya DC Jokate Mwegelo. Naomba mtambue wananchi wenu tunaoata tabu sana na hzo barabara tajwa...
 13. Anonymous

  #COVID19 Watumishi wa TBC 1 Watakiwa kujitokeza kwa wingi kupata chanjo ya UVIKO 19

  Watumishi wote wamearifiwa kuwa kesho tarehe 7. 10. 2021 kuanzia saa 6 mchana kutakuwa na utoaji wa Chanjo ya Uviko-19 kwa watumishi wa TBC 1 na tarehe 8. 10. 2021 kuanzia saa 6 mchana Chanjo hiyo itatolewa kwa Watumishi wa TBC BH. Wameombwa kujitokeza kwa wingi kuchoma Chanjo hiyo ili...
 14. Anonymous

  Wanaodaiwa kuteswa na Sabaya watema nyongo

  Baadhi ya watu wanaoishi Kilimanjaro na Arusha wanaodai kufanyiwa vitendo vya ukatili na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya wamesimulia magumu waliyopitia kwa kiongozi huyo. Sabaya ambaye anashikiliwa na vyombo vya dola kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili...
 15. Anonymous

  Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika Telecommunication Industry

  Habari 👋🏾 Kwa takribani siku tano nimekuwa katika mazungumzo na Dr. Dan Havlick, Bw. Medenne Stephenson na Prof. Sara Ramirez ambao ni wakurugenzi watendaji wa kikanda wanaosimamia maslahi ya makampuni ya mawasiliano ya AT&T, T-Mobile na Verizon kwa Kansas City, Toronto na jimbo la Bavaria...
 16. Anonymous

  UNYANYASAJI: Wafanyakazi wa Kiwanda cha Tanzania Biotech Products Limited (TBPL), hawajalipwa Mshahara miezi mitano

  WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA VIUADUDU WA KUTOKOMEZA VILUILUI WA MBU, WALALAMIKA KUKOSA MISHAHARA KWA TAKRIBANI MIEZI MITANO SASA. Wafanyakazi wa Kiwanda cha kutengenze viuadudu(biolarvicide) kwa ajili ya kuangamiza viluilui wa mbu kilichopo Kibaha mkoani Pwani na kinachomilikiwa na serikali kwa...
 17. Anonymous

  Wakazi wa Dar: Tahadhari, epuka njia hii usiku huu

  Njia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi. Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa. Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
 18. Anonymous

  Uchaguzi 2020 Patrobas Katambi amtaka Salome Makamba kuwaomba radhi wanawake kwa uzushi aliosambaza juu yake

  SAKATA la wagombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Salome Makamba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limeendelea kuchukua sura nyingine baada ya hii leo, Katambi kumtaka mpinzani wake huyo ajitokeze hadharani aombe radhi kabla...
 19. Anonymous

  Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni

  Watu watatu waliokuwa wakimfuatilia mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ndg. James Mbatia wakiwa na gari aina ya Toyota Prado namba DFP 788 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mjini Moshi jana saa 10 alasiri eneo la KDC baada ya Polisi kufukuzana na gari hilo na kufanikiwa...
Back
Top Bottom