Search results

 1. P

  Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

  Hofu yangu pia iko hapa…wale wenye msimamo mkali wa kidini watakubali kuswali kibra kuelekea bar za kukesha , watu wanaoogelea utupu …na uchafu mwingine unaoendelea pale ??? NDIO MAANA TUNAULIZA WATU WA MIPANGO MIJI WAMEFIKIRIA NINI KURUHUSU HILO ………. Migogoro mingine inazuilika ….., wangeacha...
 2. P

  Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

  Haikataliwi kutenga sehemu za kuabudu … lakini kujenga jengo la kudumu ni kuja kutafuta matatozo baadaye kwani wote pale wameambiwa wajenge majengo ya muda
 3. P

  Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

  Huo wa mwenge ulikuwepo pia kuna kanisa la wasabato
 4. P

  Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

  Mtu mwenye rekodi ya jinai na anayeendelea kutishia kudhuru raia ndio mama ameona anafaaaa kwenda kumwakilisha kwenye mkoa wa kimkakati , na Makao makuu ya afrika mashariki ambako mara nyingi atatakiwa kumuwakililisha kwenye masuala ya kimataifa
 5. P

  Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

  Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipangp mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujemgwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi Hakuna anayekataa watu kuswali lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokua awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji...
 6. P

  Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

  Naona kabisa kwa tabia yake makonda hatamaliza mwaka arusha kama ambavyo Uenezi amekaaa miezi michache….. Wanamtafutia kufanyiziwa
 7. P

  'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

  Ukikutana na Afisa tawala au utumishi mkorofi anammsimamisha afisa usafirishaji na drivers kwa sababu ni kweli lazima wajibu walikua pale kwa maagizo ya nani ?? Naambiwq hata mqgizo ya makonda ya senema hayajatekelezwa hata moja …. kiutumishi hakuna na mamlaka ili mqagizo yatekelezwe ni lazima...
 8. P

  Mkoa wa rukwa unahitaji mbadala wa mkuu wa mkoa aliyepo

  Mbona alifanya kazi nzuri alikotoka?
 9. P

  Msifananishe Shambulio la Ole Sendeka na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu

  Ole Sendeka Kajipiga risasi kutafuta huruma kwa wapiga kura kuelekea 2025….propaganda hizo …asipotezee watu muda
 10. P

  Halima Mdee ndiye Mtu Pekee aliyekuwa Sahihi kumpokea Uwenyekiti Mbowe

  You may be right ndio maana kwenye hotuba yake mbowe alieleza hadharani kuumizwa na Halima Mdee akieleza amemuandaa kwa muda mrefu
 11. P

  Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

  TPDF tunayoijua wametoa clearance Wapi ?? MAGU mwenyewe hakuweza kuwapelekesha…… hakuna millitary na security analyst anayeweza kukubali kuwapa watu wa Nchi Moja Pwani nzima ya km 1,200 Tena ambao Miaka 100 iliyopita walikuwa na Madai ya kumiliki Pwani ya Afrika mashariki kwa km 20 [ a case of...
 12. P

  Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

  Kwani Dunia hii wawekezaji ni DPW tu , ni Hatari Kimkakati kumpa kampuni Moja Pwani nzima …Huko wangetangaza upya tupate wawekezaji tofauti kutoka Maeneo tofauti Duniani Ili tusije kuhujumiwa.
 13. P

  Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

  Kaka tunakosa vipi wasiwasi kama makubaliano wananchi waliitangaziwa wasiwe na Shaka ni bandari ya DAR peke yake …. Tena Gate chache leo tunaona hadi mtwara na tanga wanaandaliwa ?
 14. P

  Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

  Hili sitaki mtu aamini au Aiamini Lakini kuna siku tulikua Quatar mwanadiplomasia mmoja wa moja ya nchi za Ulaya Mashariki akatuambia “ nchi yenu ina mahusiano maalum na UAE “ … akasema wana Ukoo wa ufalme walimuambia Tanzania ni kama moja ya mataifa yanayounda UAE … sasa nikajiuliza ni kwa...
 15. P

  Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

  Kumbe ndio maana TEC walisema hawaamini kama ni lot tatu tu hadi waone mkataba uliofichwa
 16. P

  Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

  Kama una ndugu anafanya bandari za Mtwara na Tanga uliza nao wamepewa Tangazo ; sasa kama ni dar lot tatu tu kwanini kuwatangazia hadi wa mikoani ?
 17. P

  Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

  Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World. Hii ni kinyume kabisa Mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati. Ieleweke kuwa suala la...
 18. P

  Jokate: Rais Samia anajiamini ndiyo maana ameruhusu Wapinzani waandamane

  Ashukuru magu katangulia angeepata wapi ruhusa ya kujichanganya na kuvaa nguo nzuri ……alikuwa kama ajuza…
Back
Top Bottom