Search results

 1. J

  Ni elimu gani muhimu lakini haifundishwi shuleni wala vyuoni?

  Elemu ya nidhamu ya fedha na elimu ya kazi za mikono ikiwemo kilimo
 2. J

  Rais Samia asikitika kuona wafanyabiashara wakitumia mbinu kukwepa kulipa kodi

  Yeye mwenyewe ni matunda ya wizi wa kura. Sasa anawezaje kukemea wanao kwepa kodi? Kodi zenye we zikilipwa zinaishia mifukoni mwa wanasiasa wezake . Ni bora kukwepa kodi kuliko kutowa kodi kwa wezi wa kura. Kulipa kodi ni kuwezesha wezi wa kura kupata hela za kuiba kura na kupata madaraka ya...
 3. J

  Wanaume mnakera sana

  Hivi wanawake Nani kawadanganya kuwa mwaume kazi yake ni kuwa take care wanawake. Yaani mtu unataka mwanaume akutake care kama vile mgojwa wa akili? Halafu akikuhudumia yeye anapata nini in return?
 4. J

  Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

  Ukifanya mazoezi, ukaacha kula vya kula vya wanga na sukari, ukala mara moja kwa siku. Ukawa unapuzika masaa nane kila usiku. Mwisho wa siku bado utakufa.
 5. J

  Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

  Kwani professor Janabi ana miaka migapi? Mbona yeye mwenyewe kazeheka?
 6. J

  Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

  Wanake wa siku hizi wako kama wanaume tu. Wanachepuka halafu wa kamatwa wanakuwa wakali. Wanawake wa zamani walikuwa wanachwa na waume zao miaka miwili wakati mme kaenda kutafuta pesa na akirudi wanakuwa mke anamsubiri bila shida. Lakin wa siku hizi ni shida tu.
 7. J

  Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

  Kwani kasoro yake ni nini? Unamuacha kwa kosa gani? Unaweza akamuacha mwanamke aliye kuvumilia na umasikini wako kwa miaka mitano halafu akifikiri labda ukimuacha maisha yatakuwa Mazuri! Ila ukweli utakuja kumkumbuka wakati yeye kaisha kusahau.
 8. J

  Nampenda mke wa mtu ila nami nina mke na watoto!

  Unatafuta kifo. Rudi kwa mkeo mlee Watoto. Siki mkiharibu ndoa zenu halafu mkaamuwa kuishi na mzinzi mwezako mtajikuta mnaanza uzinzi Tena na watu wengine.
 9. J

  Miche ya matunda, viungo, mbao na mingine mingi inapatikana

  Uko mkowa gani? Kama Dar unapatikana wapi?
 10. J

  Miche ya matunda, viungo, mbao na mingine mingi inapatikana

  Mimi taka miche ya dragon fruits unayo?
 11. J

  Kuna baadhi ya Vijana wa Chuo ni wajinga sana

  Ukiwa msomi hutakiwi kuogopa kusikiliza watu popote. Msomi unatakiwa usikilize halafu ndio utumie usomi wako kujuwa upungufu wa ulicho ambiwa. Pia unatumia usomi kukubaliana au kukataa baada ya kusikiliza. Sasa wewe unataka wasomi wasikilize tu watu wanao fanana na mwalimu wao?
 12. J

  Kuna baadhi ya Vijana wa Chuo ni wajinga sana

  Sio wanafuzi tu wa vyou hata wahitim wa vyuo Hawana maarifa yoyote ya utatuzi wa chagamoto zilizomo kwenye jamii zao. Wingi waishia kujitenga na jamii zao akifikiri kwa kuwa wamesema Hawana cha KUJIFUZA kwa watu ambao hawajasoma. NDIO MAANA WASOMI WENGI WAKO MIJINI WAKIZUNGUKA NA FILI YA VYETI...
 13. J

  Iran prepares to open new front in Western Africa

  Why Africa always seek solutions for Africans" problems everywhere else but not within Africa. Africa will never succeed until we have leader who act like grown up people. The leaders who know African issues can only be solved by Africans themselves. I
 14. J

  Nitawashangaa Wanawake kama Watashindwa Kumuunga Mkono Rais Samia Uchaguzi wa 2025 Kwa Juhudi anazofanya Kuwakomboa

  Yaani Kuna watu Tanzania ni wendawazimu kwenye vipimo vya nchi nyingine ila Tanzania wanaonekana wanaakili Sana. Yaani mtu eti anataka Samia wanake wamsupport kwa vile ni mwanamke mwezao. Au kwa vile amegawa mkopo kwa wanawake. Hivi hela za mkopo kazi towa wapi? Au kazi towa kwenye kodi za nchi...
 15. J

  Hatuna utawala wa sheria tuna watawala wa sheria

  WAKILI mahiri na msomi kweli kweli. Pia shangazi wa taifa, Bi Fatma Karume, amesema kuwa hatuna utawala wa sheria Bali tuna watawala wa sheria. Hii inamaana gani kwamba nchi inaendeshwa kwa matakwa ya watu na sio kwa majibu wa sheria. Kwa maneno mepesi ni kwamba watawala au watu wenye...
 16. J

  Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

  Pole Sana kwa kuwa na moyo mapana. Wewe mweleshe vizuri namna ya kushirikiana kulea Watoto wenu wawili. Halafu kila mtu aendelee na maisha yake. Ndoa ni uaminifu kama uaminifu hakuna ndowa inakuwa ni mateso. Wote bado vijana hamtakiwi kuishi kwa mashaka. Muachane tu kwa Amani na kama mke Hana...
 17. J

  Benki Kuu ya Tanzania yatoa Taarifa kuhusu Wizi katika Sekta ya Benki, miamala ya simu yaongoza kwa wizi

  Mimi huwa nasema ukisha ruhusu wizi kwenye saduku la kura, unakuwa tumeruhusu wizi kwenye kila kitu. Ukitaka kukomesha wizi tuanze na katiba mpya, ili tukomeshe wizi wa kura. Tukiwa ikiwa Hilo nchi itanyoka. Ukikomesha wizi wa kura umekomesha wizi wa mitihani mashuleni. Umekomesha wizi haki za...
 18. J

  Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

  Wao wanaangaria soko kama wakiiba vitu vya kuumiza akili hakuna anaye penda, ila wakiimba ujinga kumbi zinajaa. Sasa mwenye makosa Nani anayeuza kinacho uzika au anaye nunuwa kisikuwa na faida kwake?
 19. J

  Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

  Wafirika sijui Nani katuloga. Watu wanao dai kulinda maadili wako kwenye nyadhifa hizo kwa kura za wizi. Yaani kuvaa nusu uchi ni kuvuja maadili, ila kuiba kura sio kuvuja maadili. Kuiba fedha za Uma sio kuvuja maadili, kuuwa watu wakati wa uchaguzi sio kuvuja maadili. Kutumia magari na Mali za...
Back
Top Bottom