Search results

 1. JamiiForums

  Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

  Habari wadau, Jamiiforums imekuwa sehemu ya wanachama kushiriki kutoa maoni yao, kuelezea kero zao na kupata ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali nchini, nafasi inayowawezesha kufanya maamuzi mkiwa na taarifa sahihi na zenye ubora. Wapo viongozi wachache kama Dkt. Gwajima D ambao wamekuwa...
 2. JamiiForums

  Watendaji wa JamiiForums watembelea hifadhi ya Ngorongoro baada ya kufanya tathmini ya mipango na maandalizi ya mwaka 2024

  Baada ya kufanya tathmini ya Mipango ya mwaka 2024 na maandalizi yote, Watendaji wa JamiiForums walifanya ziara za kujifunza katika maeneo mbalimbali ya Utalii ikiwemo eneo la Hifadhi ya Ngorongoro
 3. JamiiForums

  Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

  Katika kujipanga kutoa huduma bora zaidi, baadhi ya Watendaji wa JamiiForums walikutana Jijini Arusha kwa lengo la kutathmini shughuli zilizofanywa na Taasisi mwaka 2023 pamoja na kupanga Mikakati ya kuboresha zaidi mwaka 2024. Hii ilijumuisha kujengewa uwezo katika maeneo muhimu ya kiutendaji
 4. JamiiForums

  Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

  Baada ya miezi mitano (5) tangu Msimu wa Tatu wa Stories of Change 2023 ulipotangazwa, kuanza na baadaye kufuatiwa mchakato wa Majaji kufanya uhakiki wa Vigezo vilivyowekwa, hatimaye usiku wa leo Oktoba 7, 2023, Washiriki waliofanikiwa kujishindia zawadi mbalimbali watafahamika/julikana. Kuhusu...
 5. JamiiForums

  Je, ulishiriki Stories of Change? Tafadhali angalia PM yako

  Katika mpango mkakati wa JamiiForums (JF) wa miaka 5 (2020-2024), JF ilidhamiria kuendesha shindano lenye kuwawezesha wananchi kushiriki katika kuongeza ubora wa maudhui ya Kiswahili yenye kuchochea mabadiliko. Shindano hili lianza rasmi mwaka 2021 na huendeshwa kila mwaka. Mwaka 2023 kuanzia...
 6. JamiiForums

  Jinsi ya kujisajili kuwa mwanachama wa JamiiForums.com

  Habari, Kama bado sio Mwanachama wa Jamiiforums unaweza kujisajili kwa kufuata hatua hizi chache na rahisi zifuatazo: 1. Pakua App ya Jamiiforums kwenye kifaa chako (Simu au Kompyuta) Katika hatua hii unatakiwa kupakua App ya Jamiiforums na ku-Install ndani ya kifaa chako. App hii utaipata...
 7. JamiiForums

  Namna ya kuweka andiko lako ndani ya jukwaa la Stories of Change 2023

  Jinsi ya kushiriki Shindano la STORIES OF CHANGE Kama tayari una Akaunti ndani ya JamiiForums.com, fungua Kivinjari chako (Browser) kisha ingia jukwaa la Stories of Change 2023 Bonyeza 'Start Discussion' halafu chagua 'Stories of Change 2023' itafunguka sehemu ya kuweka Tittle au Kichwa cha...
 8. JamiiForums

  Vigezo na masharti ya kushiriki katika Stories of Change 2023

  Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka mshindi. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko ambalo linachochea mabadiliko kuhusu...
 9. JamiiForums

  Uzinduzi wa awamu ya 3 wa Shindano la Stories of Change

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 3 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” Ndugu Wanahabari, JamiiForums (JF) ni asasi ya Kiraia iliyosajiliwa kufanya uchechemuzi wa Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, JF inaratibu jukwaa la JamiiForums.com...
 10. JamiiForums

  Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

  Habari wana JF, Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Mchakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa jukwaani washindi wetu ni kama ifuatavyo. Jukwaa Mshindi Kura Jokes Bujibuji Simba Nyamaume 47%...
 11. JamiiForums

  Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: JamiiForums inatambua mchango wa wanawake kwenye ulimwengu wa Digitali

  Kuelekea siku ya wanawake Duniani, Jamii Forums inatambua umuhimu wa wanawake kushiriki katika sekta mbalimbali kwa kuwa wana uwezo na juhudi za kufanya kazi kwa ufanisi na inajivunia ufanisi na jitihada zinazooneshwa na wanawake katika kutimiza majukumu yao. Mwanamke anapaswa kuaminiwa kupewa...
 12. JamiiForums

  Kulwa Masanja Isenge anyakua milioni 5 katika Shindano la 'Stories of change' 2022

  Baada ya takriban miezi 4 ya kusubiri kumjua atayejishindia zawadi ya andiko bora kwenye kinyang'anyiro cha storie of change 2022 siku imefika, leo ndio leo, washindi watatangazwa na kupewa zawadi zao. Mshindi wa Shindano la “JF Stories Of Change” atakayejinyakulia kitita cha Tsh. Milioni 5...
 13. JamiiForums

  Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake

  UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI? Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu ikiwamo kusababisha kifo ikiwa haujatibiwa Ebola kwa mara ya kwanza ilionekana mwaka 1976 katika...
 14. JamiiForums

  Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha: Usimpige Picha wala kumchukua Video karani wa Sensa bila ridhaa yake

  Wakati zoezi la Sensa ya Watu na Makazi likiendelea, ni vema kukumbushana kuwa Faragha ya Mtanzania yeyote, akiwemo Karani wa Sensa, ni kitu muhimu sana katika nyakati hizi Picha na Video za Makarani zimekuwa zikisambazwa mitandaoni hivyo, tungependa kuukumbusha umma kuwa suala la faragha na...
 15. JamiiForums

  Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

  Kwa wote wanaotaka kushiriki shindano la Stories of Change Tafadhali someni kwa makini vigezo hivi. Hakikisha andiko lako limekidhi kabla ya kutaka kuchapisha. Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili: Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za...
 16. JamiiForums

  Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

  Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa...
 17. JamiiForums

  Uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Shindano la Stories of Change(2022)

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA PILI YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia iliyosajiliwa kisheria kufanya uchechemuzi wa Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, JF inaratibu jukwaa la JamiiForums.com ambalo ni...
 18. JamiiForums

  Aprili 25: Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani na jitihada za kuitokomeza

  Ugonjwa wa Malaria unaendelea kuathiri vibaya Afya na maisha ya watu duniani kote licha ya kuwa unazuilika na kutibika. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Mtoto mmoja hufariki dunia kwa Malaria kila dakika mbili Inakadiriwa kulikuwa na Visa vipya Milioni 241 vya Malaria na Vifo 627,000...
 19. JamiiForums

  Jinsi ya kulinda taarifa zako ununuapo bidhaa mtandaoni

  JINSI YA KULINDA TAARIFA ZAKO UNUNUAPO BIDHAA MTANDAONI Chati hii inaonyesha kwa asilimia nchi zinazoongoza kwa ukuaji wa mauzo ya rejareja ya biashara mtandaoni, huku Ufilipino ikishika nafasi ya juu zaidi Ukuaji wa Teknolojia ya mawasiliano nchini Tanzania, umechangia kwa kiasi kikubwa...
 20. JamiiForums

  Stories of Change: Golder Anael Mmari ashinda Tsh. 5,000,000/- toka JamiiForums

  Yule mshindi wa Shindano la “JF Stories Of Change” atakayejinyakulia kitita cha Tsh. Milioni 5 anatarajiwa kupewa kitita hicho Jioni ya leo Oktoba 15, 2021 katika hafla fupi itakayoanza saa 12 jioni Jijini Dar. Mshindi wa Kwanza atapata Fedha taslimu Tsh. Milioni 5, Mshindi wa Pili Tsh. Milioni...
Back
Top Bottom