Search results

 1. F

  Serikali imesema ina mpango wa kununua ndege nne mpya kwa ajili ya usafiri wa abiria

  Hakuna nchi inapata maendeleo bila kuwa na shirika la ndege lenye nguvu. Naipongeza serikali kwa hili. ATCL inatakiwa ijiimarishe kwanza katika safari ambazo makampuni mengine hayazifanyi kama route ya kigoma kwa kutumia Q400 (abiria 78 speed kama ya jet tu) halafu kwa kutumia ndege hiyo kuingia...
 2. F

  Steven Wassira adai hakubaliani na ushindi wa Easther Bulaya

  Uchaguzi huu unavituko
 3. F

  Chanzo cha ajali ya chopa iliyombeba Filikunjombe

  Tusubiri ripoti itatoka tutajua ukweli. Sijakubali kama huyo meandishi alimuhoji mtaalamu. Angemuhoji jibu lingekuwa tusubiri uchunguzi period wamefunzwa hivyo.
 4. F

  CCM imehalalisha ukabila? Magufuli anahutubia kilugha

  Hakututendea hako tuliokuwa tunamsikiliza kupitia radio.
 5. F

  Ikulu yakanusha Mshahara wa Rais Kikwete kufika dola 192,000

  Analipwa ngapi sasa? Duuh ntamzidi lowassa mshahara tehetehe. Na per diem ipunguzwa pia sitting allowance.
 6. F

  Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

  Kuna mahala nipo wanaccm walikuwa wanamkutano ukumbini wametoka na kukaa kama waliochanganyikiwa. Kuna dalili kama kuna wengi watamfuata mamvi
 7. F

  Mapadre waanza rasmi kumpigia Magufuli kampeni

  Kilichomtesa EL ndo hicho tu. KKKT watasubiri sana bongo Uraisi ni Katoliki na Islam tyuuuu.:A S angry::A S angry:
 8. F

  Hakuna haja ya kuangaika na maji ya DAWASCO, chimba kisima kwa bei nafuu sasa

  Pia niko pugu marneo ya sekondari. Kuna majirani zangu wamechimba around mita 100 lakini maji yanachumvi kali sana. Maji wanayopata hayafai labda kuflashi choo tu. Nataka kujua pia je kuna uwezekano wowote mimi nikichomba kupa maji tofauti na hayo?
 9. F

  Master of Engineering Management, CoET

  Nawasalimu Umofya kwenu? Ninapenda kujiunga na kozi tajwa hapo juu evening class kwa hiyo nahitaji kujua yafuatayo. 1) masomo yanaanza na kuisha muda gani 2) ni siku ngapi ndani ya week kuna vipindi na ni zipi hazina. 3) walimu wako flexible kuaccomodate matakwa ya mwanafunzi mmoja mmoja...
 10. F

  TTCL imejaa Wazee, Tangazeni Nafasi za Kazi

  Wazee ni tatizo kwenye serikali na taasisi zake. Unajua mtu akikaribia kustaafu ubora wa utendaji wake unapungua sana na anakuwa mtu wa kukusanya kila senti inayokatiza mbele yake. Kukiwa na safari ya kimafunzo nje ya nchi atafanya kila hila aende yeye na matokeo yake darasani kunakuwa na babu...
 11. F

  Gharama za kupiga rangi

  Nitajitahidi kuweka hiyo floor plan lakini ukubwa wa nyumba ya kawaida kama nilivyoeleza ktk post yangu mojawapo. Nisaidi kwa uzoefu wako kukadiria.
 12. F

  Gharama za kupiga rangi

  Asante sana. Na je kawaida fundi mmoja anaweza kuchukua muda gani kumaliza kazi?
 13. F

  Gharama za kupiga rangi

  Kuna plaster tu hivyo skiming bado. Ukubwa ni nyumba ya kawaida yaani ina vyumba vitatu vya kulala, study room, sebule, dinning room na store. Nahitaji kujua gharama ya ufundi tu sio vifaa. Thanks again
 14. F

  Gharama za kupiga rangi

  Pia kama kuna mafundi wa kupiga rangi si vibaya wakitupia namba zao.
 15. F

  Gharama za kupiga rangi

  Husikeni ni kichwa cha somo. Ninahitaji kujua gharama ya kupiga rangi ya ndani ya nyumba ya vyumba vinne. Gharama ijumishe pia maandalizi kuandaa kuta na dari. Thanks in advance.
 16. F

  Hotuba ya Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali, 2014 / 2015

  Nimejitahidi kuangalia factor zote ulizoainisha hapo. Fanya hesabu kidogo nawe utapata majibu si tofauti sana na hizo hisabati nilizoweka.
 17. F

  Hotuba ya Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali, 2014 / 2015

  Taratibu Kibo10. Kwani kuna mnyonge kapunguziwa ushuru?
 18. F

  Hotuba ya Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali, 2014 / 2015

  Akili yao yote ni ongezeko la kodi tu na sio kingine. Tegemeeni magari mengi mabovu kuingia nchini na wajasiriamali sasa nunueni yale mafisi ya kuvuta magari yaliyoharibika au kugongana. Kama kuna mwananchi kutoka nchi zingine za EAC atwambie huko kwao vipi?
Back
Top Bottom