Search results

 1. S

  Swali Fyatu: Kwani Tatizo Gani Wameweza Kulitatua Likaisha?

  Watanzania pia wajue kama wakosoaji ni wale wale, wenye ukosoaji ule ule, wakikabili makosa yale yake kwa namna ile ile wanastahili kupewa nafasi za kukosoa tena?AU watafutwe wakososaji wengine ili tupate watawala wengine?
 2. S

  RC Hapi asema safari za bombardier Iringa zitakuza utalii, uwekezaji na biashara

  Wajua Ruaha Nationa Park ipo mkoa gani? Hifadhi ya Ruaha Jump to navigationJump to search Hifadhi ya Ruaha iko katikati ya Tanzania umbali wa kilometa 128 magharibi ya mji wa Iringa. Hifadhi hii ina ukubwa wa kilometa za mraba 1300. Hifadhi hii ni maarufu kwa wanyama aina ya kudu wakubwa na...
 3. S

  Fatma Karume Yamkuta Twitter, Ni Baada Ya Kusema Hajasomeshwa Na Serikali Ya CCM

  Anakuja kukumbuka haya maovu baada ya baba yake kuachia madaraka?Kwanini hakuwa anakosoa baba yake alipokuwa Ikulu ya Zanzibar?
 4. S

  KENYA: Wawekezaji wa kitanzania wanunua hisa kubwa katika Benki ya Equity

  Duuuuuh!!!Watu wengine wa ajabu kweli,hivi kuwekeza nje ya nchi sio uzalendo?Hivi haya makampuni ya Kenya yanaye wekeza Tanzania hayana uzalendo na nchi yao?Unaijua KCB?Kenya Commercial Bank?Wana Matawi Tanzania?Nenda TIC ulizia makampuni yaliye wekeza Tanzania kutoka Kenya? Mabalozi yote ya...
 5. S

  Kwanini matajiri wengi wana roho mbaya?

  Pia kuna maskini wengi huchukia matajiri kwa kuhisi umaskini wao umesababishwa na hao matajiri,na kama hutokea tajiri kafisilika au kapatwa janga lolote maskini hufurahikia.
 6. S

  Picha: Huyu ndiye mke wa Ali Kiba

  Nafikiri Ali kiba angekuja kukushauri umchagulie mwanamke wa kuoa umpatie house girl wako
 7. S

  Arusha: Wakili Fatma Karume achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

  kwani kwenye karatasi za kupigia kura waliweka nembo za vyama?
 8. S

  Indian School Dar es Salaam

  Na Mashaka sana na IQ yako hivi hata ku google huwezi ukaona ubaguzi wa wazungu?
 9. S

  Indian School Dar es Salaam

  Wamewazidi wazungu? kwa mfano wale wa Afrika Kusini kipindi cha ubaguzi?
 10. S

  Hatimaye Tanzania yapiga kura Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

  Naona huku watu wanabishana kama vile ni Tanzania tu ndiye iliye pinga Jerusalem kuwa makao makuu ya Israel,Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi 128 ,yaani nchi zote hizo mijinga hayana akili ?Iliyo ungana na Mareakni ni nchi 9 tu,walio abstain ni 35,Je ingekuwa uchaguzi kidomokrasia nani...
 11. S

  Nimetimiza miaka 10 kama member wa JamiiForums

  Hongera kwa kutimiza miaka 10 JF
 12. S

  Chama cha Mawakili, Tanganyika Law of Society (TLS) kinalaani vikali kushikiliwa kwa Tundu Lissu

  Kingine kuizungumzia TLS kwenye ofisi ya Chadema ,
 13. S

  Tupia Picha ya Zamani ya Kiongozi wa Sasa...Naanza na Huyu

  Bunge la kwanza la Tanganyika Huru,Mwalimu kashika sigara!
 14. S

  Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

  Innocent lives lost!!!!Inahuzunisha ,Inasikitisha ,Utakuta walitoka shuleni wakiwa wanafuraha,bashasha wakifurahikia wanapokwenda!Ooh maskini wamepoteza maisha!Gone too soon!
 15. S

  Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini

  Katika kuongeza hoja ya huyo Mbunge tangia nimsike sijawahi kumsikia hata siku moja akikosoa chama chake au kumkosoa mwenyekiti wake hadharani sasa yeye anawabeza wana ccm na mawaziri wamkosoe Rais je yeye aliwahi kukmosoa Mbowe hadharani?
 16. S

  Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

  Polisi wetu!! Wamepoteza maisha wakitumukia nchi! Wote ni vijana kabisa!Wameuliwa kwa lipi?Lengo la Muuaji au wauaji ilikuwa nini haswa ?Kuwachukulia silaha ?Au kuwaondoa duniani?
 17. S

  Mtifuano kati ya Jenerali Ulimwengu na Mary Chipungahelo a.k.a Mama Chips

  Nakumbuka wakati ule gazeti mmoja liliandika 'Mkuu wa Mkoa na wa waziri wagombea uchafu wa Jiji' Wakati huo Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alisema jiji ni la Dar ni chafu ,Mkuu wa Mkoa alikuwa Marry Chips akalalamika suala la usafi si wa jiji si jukumu la waziri wa mambo ya ndani ni la...
Back
Top Bottom