Search results

 1. Hivi punde

  Umewahi kufiwa na mke au mume ukiwa unamuuguza? Inauma sana

  Wanabodi, umofia kwenu. Kufiwa usikie tu, mtu uliyemzoea kila wakati upo nae, anafia mikononi mwako na hutawahi muona tena ulikuwa unalala nae kitanda kimoja miaka yote! Anafukiwa ukiona live kabisa. Acha tu wakuu. Alamsiki.
 2. Hivi punde

  Kuchelewa kufunguka kwa mfumo wa malipo Bajeti mpya ya Serikali

  Kila mwisho wa mwaka wa fedha (Juni) mfumo wa malipo ya serikali huwa unafungwa, na baadae kuchia mwezi Agosti. Kipindi hichi cha katikati, hakuna malipo ambayo hufanyika ukiachilia mishahara ya watumishi. Swali langu, kwanini huu mfumo huchelewa kufunguka, huwa wana-set vitu gani kwa muda...
 3. Hivi punde

  Kwanini Watumishi wa Serikali hupokea mshahara tarehe tofauti tofauti?

  Hapa kuna hoja. Hazina kupitia Wizara ya fedha inakuwaje watumishi wa Umma (serikali) hupokea mishahara yao tarehe tofauti tofauti? Mara waanze Serikali Kuu, mara Serikali za Mitaa, Mara Mashirika ya Umma, mara Polishi sijui Jeshi... shida iko wapi? Yaani watu wanapokea mshahara tarehe 1...
 4. Hivi punde

  Mtaani pesa ipo, itumie vizuri akili yako

  Mtaani tunamoishi matatizo ya watu, mahitaji ya watu ni mengi mno. Mtu ana hela, halafu hana akili kabisa...hawa ndiyo wengi mno. DSM kwa mfano, kuna watu hawana elimu kubwa, wana vijiwe vya kuhudumia kuku, chips, bits, mazagazaga kama yote wakati wa usiku na mtu anakesha akifanya kazi. Kaajiri...
 5. Hivi punde

  Sababu za mtu kujiua!

  Aisee hatari sana
 6. Hivi punde

  Sababu za mtu kujiua!

  Kumekuwa na matukio mengi ya watu kujiua either kwa kunywa sumu , kujinyonga, kujichoma kisu au kujipiga risasi... Tulio hai hatujui ukali wa maumivu wakati wa kukata roho. Hali kadhalika hatujui huko tuendako kukoje. Hata siri ya kaburi hatuijui. Wengi wanahisi, kukisia kutokana na vitabu...
 7. Hivi punde

  Usipende kufikia kwa ndugu uwapo safarini

  Nikiwa na safari zangu kwenda eneo fulani, sipendi kufikia na kulala kwa ndugu ama rafiki. Napenda privacy sana. Unafikia kwa ndugu inawalazimu wao mambo yafuatayo; 1. Kula vyakula ambavyo siyo kawaida yao, ilimradi tu wakuridhishe wewe. Hata kukopa watakopa. Kuna wakati unakula hadi watoto...
 8. Hivi punde

  Tumbo la kuhara ukiwa safarini ni habari nyingine aisee

  Jana nilikuwa na safari ya Dsm - Dodoma ndani ya basi la abiria. Ni basi la daraja la tatu, basi la watu wa kawaida tu. Wakati tunaondoka Magufuli stendi, mvua ilikuwa inanyesha sana. Ndani ya dakika kama 20 tukiwa kwenye mwendo, tumbo likaanza kuunguruma mdogo mdogo. Nikalichukulia poa...
 9. Hivi punde

  Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

  Imagine, kuna haya mabasi Ester Luxury Tilisho Happy Nation Sauli New Force Arusha Express Shabiby Abood Machame Express Kapricon Kilimanjaro Express Dar Express Zube Saratoga Mgamba Kimbinyiko Abc Ally's Saibaba etc etc Malori ndiyo usiseme. Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei...
 10. Hivi punde

  Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

  Kuna msemo unasema:- "Never Underestimate the Power of Stupid People in Large Cloud".... Mtandao wa hawa watu ni mkubwa sana wana nguvu ya hatari sana duniani kote. Nyuma ya hawa watu kuna mataifa makubwa sana yanawapa nguvu na pesa nyingi sana. Pesa chafu! Mataifa makubwa duniani maarufu...
 11. Hivi punde

  Kunywea pombe club ni hatari sana

  Kuna wakati tunakitafuta kifo sisi wenyewe, hasa walevi na wanywa pombe za usiku kwenye club au bar za uchochoroni huko. Ukiwa club inatokea unasogea pembeni kuongea na simu, unaenda toilet, unakuwa busy kuangalia mpira au kupiga stori na unakuwa ushatupia bia kadhaa kichwani, yaani hujali...
 12. Hivi punde

  Maajabu ya Kijiji cha Myamba, Same Mkoani Kilimanjaro

  Ni Kijiji chenye kabila la Wapare na dini ya Kisabato. Kipo juu sana kwenye milima ya Upareni yenye msitu mkubwa wa Shengena. 1. Kuanzia Ijumaa saa 10 hadi Jumapili huwezi kupata huduma muhimu za kijamii mfano usafiri wa basi, hiace au Costa. Maduka yote hufungwa. Huwezi kupata huduma hata ya...
 13. Hivi punde

  Rais Magufuli alishatangulia mbele za haki, hakuna haja ya kumtusi wala kumsimanga

  Rais wetu wa awamu ya 5, Dkt Magufuli alishafariki, hatuko naye tena. Hasikii, haoni tena. Amerudi mavumbini. Mtu amefariki tarehe 17/3/2021 lakini hadi leo kuna watu wanamsema vibaya, wanamtukana na kumsengenya as if huko aliko anasikia, kumbe siyo! Tuwe na roho ya huruma kwa marehemu. Hata...
 14. Hivi punde

  2025 Mama Samia atawashangaza wagombea wa CCM. Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe

  Mama Samia kwa jinsi alivyo fair na mwenye huruma, hapendi wizi wa kura, kubeba Wabunge/Madiwani wa CCM, kuleta vitisho na mambo ya kuficha, kutesa ama kupoteza watu hasa wanaharakati. 2025 kila mtu ataubeba mzigo wako mwenyewe.Wagombea ambao wanategemeaga kubebwa imekula kwao. Watatumia fedha...
 15. Hivi punde

  Huna umuhimu kwa sasa ndo maana huteuliwi

  System haiwezi kumteua mtu asiye na umuhimu kwa nchi. Hata kama una PhD, una pesa lakini hujulikani, umejificha huko unafikiri nani atakuona?! Kazi kunung'unika, kulalamika, kujificha, huonekani kwenye shughuli za kijamii, hutoi msaada. Maana yake huna umuhimu, huna impact. Nchi haina hasara...
Back
Top Bottom