Search results

 1. tindikalikali

  Ali Kiba - Lupela

  Hii ngoma itasumbua sana duniani..maana ndo muziki unaopendwa kwa sasa!!
 2. tindikalikali

  Naomba kujulishwa jinsi ya kudownload movie kwa simu

  Kuna app inaitwa flud hii ni zaid ya utorrent, kwangu imenifaa zaidi!!
 3. tindikalikali

  Kwa mara nyingine tena nimeumizwa

  Kweli atulie tu..kulia lia kunamaanisha anataka kumlazimisha mungu afanye vile anavyotaka yeye!!
 4. tindikalikali

  Kwa mara nyingine tena nimeumizwa

  Afanye kazi nyingine za kukuza uchumi..mbona atawakimbia mwenyewe??
 5. tindikalikali

  Msaada uume unatoa maji maji!

  Wakuu kama wiki imepita nilikuja dawa za Malaria inaitwa Ekelfin na ikanisababishia kiuvimbe kwenye uume upande wa kushoto na tako ya kushoto pia, nasema hivi maana ni mara ya pili nakunywa hii dawa na inaleta matokeo haya haya!! Lakini safari hii uvimbe ulikuwa na muwasho sana na kupelekea...
 6. tindikalikali

  Waziri Muhongo asimamisha kazi na kukamata vifaa vya kampuni ya Off Route Technology, Mbeya

  Hao wapo kwa ajiri ya siasa tu..kutwa wanahangaika na wapinzani!!
 7. tindikalikali

  Masharti ya mganga ili uwe tajiri

  Mawazo ya kimaskini hayo..fanya kazi hakuna utajiri wa namna hiyo!!
 8. tindikalikali

  Mungu na Shetan wanapopiga story!!

  Mkuu mbona katika hilo andishi linasema shetan akaondoka mbele ya uso wa mungu, roho ina uso??
 9. tindikalikali

  Mungu na Shetan wanapopiga story!!

  Kweli mkuu...maana wanapiga story friendly kabisa!!
 10. tindikalikali

  Mungu na Shetan wanapopiga story!!

  Mkuu mimi nina wasiwasi huenda wameshamaliza tofauti zao zaman sana!!
 11. tindikalikali

  Mungu na Shetan wanapopiga story!!

  Wadau nafikiri wengi tinaifahamu hadithi ya kuhusu Ayubu na yanayoitwa majaribu!! Katika hicho kitabu (Ayoub 1; 7) Mungu anamuuliza shetani "umetoka wapi?" Shetani anajibu "nimetoka duniani katika kutembea huku na huko"(bado sijajua mahali walipokutana), Hawa wawili wanaendelea kubadilishana...
 12. tindikalikali

  Ni swali gani ambalo hupendi kuulizwa?

  Uko wapi? Unafanya nini? Una malengo gani na mimi?
 13. tindikalikali

  Njia ya kumtongoza mwanamke akakupenda daima

  Yaan huu ndo ukweli ulio uchi..yan kama mimi nimeteseka sana na mapenzi wakati sina kitu...saiz wao ndo wanapanga msururu wengine wanarudi wanalia... Kwa hiyo pesa ndo kila kitu, vaa vizuri..ishi sehemu nzuri..nunua gari yani huna haja ya kitongoza..kila mwanamke atakuona jembe!!
 14. tindikalikali

  Nakosa cha kuongea na mpenzi

  Tupia kapicha basi
 15. tindikalikali

  ALI KIBA Kimziiki kwisha kabisaa!!

  Umeona mkuu hii ni chuki ya kiwango cha juu kabisa
 16. tindikalikali

  Ukweli kuhusu mazingaombwe....!

  Enzi zile nasoma shule ya msingi kulikuwa na vijana waliokuwa wakija shule kwa ajili ya mazingombwe. Walikuwa wakifika shuleni mara kwa mara kwa ajili ya maonyesho hayo. Walikuwa wakipewa kibali na mwl mkuu/mwl wa michezo pamoja na kupewa darasa la kufanyia mazingambwe yao kama ukumbi. Pia...
Back
Top Bottom