Search results

 1. ChocolateColor

  Mwanamziki mwingine Msondo Ngoma afariki dunia

  poleni sana wafiwa wote Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema Amina.
 2. ChocolateColor

  DC Bukoba aamuru walimu wachapwe mboko!

  poleni sana walimu wote mliyopata mboko sasa kama wanafunzi wenyewe walikuwa hawaelewi yaani vichwa vizito!! mkuu usilaumu upande mmoja
 3. ChocolateColor

  Kwanini watu wanacheat?

  Mungu atusaidie kwakweli na hili janga la Ukimwi,
 4. ChocolateColor

  Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

  poleni sana wafiwa na majeruhi Mungu awasaidie ili wapone.
 5. ChocolateColor

  TID Atoka Kifungoni kwa Msamaha wa Rais

  ohhh afadhali TID ametoka
 6. ChocolateColor

  Picha - Majambazi yakamatwa yakiiba hoteli ya Mtanzania

  majambazi wakikamatwa jamani wauliwe ili wapungue hii kuwapeleka rumande siku mbili tatu katoka kwaajili ya dhamani alafu anaendelea na kazi yake yaani mmmm sijui!!
 7. ChocolateColor

  Sakata la Wazee EAC: Litaisha lini?

  inasikitisha kwakweli
 8. ChocolateColor

  Mtanzania apata ajali Michigan, Mahututi..

  poleni sana wafiwa na Mungu aiweke Roho ya marehemu mahali pema AMEN
 9. ChocolateColor

  Abakwa mpaka kufa!

  kweli kifo cha huyo dada wa majengo kwa mtei kimeniuma sana kwani namjua sana huyo dada alikuwa hana story na mtu kabisa zaidi ya salamu basi na kuingia kazini na huyo dada alikuwa ni yatima analea wadogo zake sasa wamemuua wadogo zake watalelewa na nani?? yaani inasikitisha sana Mungu anawaona...
 10. ChocolateColor

  Lundenga atelekeza familia

  pole sana mama kwa kuachiwa familia naomba mahakama ihakikishe kuwa huyo mama anapata halali yake yaani nyumba wamejenga wote alafu anaenda kukaa na mkwe mwingine kweli wamama tunanyanyasika sana katika ndoa zetu Mungu azidi kutupa uvumilivu.
 11. ChocolateColor

  Asiyewahi kucheat na ataje jina kamili humu

  Mi nimeshawahi kutoka mara xxxxxxxxx
 12. ChocolateColor

  Naombeni ushauri

  pole sana ndugu yangu mpendwa kwa hiyo ndoa yako ya muda mchache na matatizo hayo piga magoti kwa Mungu wako ili uiombee familiya yako.
 13. ChocolateColor

  SMS iliyoniamsha.. kuna kusalimika?

  makubwa!!!!
 14. ChocolateColor

  Wanafunzi kukaa uchi kwenye matamasha ni dhana au laana?

  Hiki ni kizazi cha nyoka jamani kwani hata njiani utakuta binti kavaa nguo imemuacha maumbile yake wazi yaani mi sipendi basi tu sina chakufanya!!!!
 15. ChocolateColor

  Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

  Mi naona wahaya kwa sasa wamepunguza majida wamasai bwana mmmm njoo Arusha umkute mmasai aliyeenda kidato au aliyebahatika akakamata mawe (madini) utachoka!!!!
 16. ChocolateColor

  Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

  Mi naona wahaya kwa sasa wamepunguza majida wamasai bwana mmmm njoo Arusha umkute mmasai aliyeenda kidato au aliyebahatika akaamata mawe (madini) utachoka!!!!
 17. ChocolateColor

  MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

  Mi naona uchafu alafu haina raha kabisa mmmmmm
 18. ChocolateColor

  Wazazi wa happyskilfull student boarding tabata polen sana

  Mtoto akiwa tumboni ni wamama tu ila akitoka ni wajamii yote hawa watoto popote pale walipo wakifanya jambo baya lazima waonywe si swala la walimu tu hata si wananchi.
 19. ChocolateColor

  Big Brother Africa III

  Kweli she is real degrading her morals!BB3 imekuwa club ya ngono!
 20. ChocolateColor

  Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

  Naomba kufahamu nikitaka kujua napata mtoto wa kike au wakiume. Wanajamiii nisaidieni. Asante.
Back
Top Bottom