Search results

 1. akilimtindi

  Nakutakia mapumziko mema Mh Rais huko Serengeti

  Yericko Nyerere kwa hili uliloandika nimekukubali sana, Ng'wamapalala hajakosea kusema una kipaji. Nami naunga mkono kwamba Rais wetu aliye na mamlaka yote akapumzike vyema huko Serengeti.
 2. akilimtindi

  Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

  Salamuni wanajamvi, naomba japo kuchangia hili. Hii ilijulikana ila ushahidi wa wazi ndio haukuwepo, ninachoona hapa ni mnyukano wa siasa kuanza kupamba moto na mara nyingi ikifikia hatua hii wengi huanza kuangalia masilahi yao binafsi ambayo ni hulka ya kawaida kabisa kibinadamu. Lipumba...
 3. akilimtindi

  Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

  Hii picha inasikitisha sana, kuna wanaoomba itolewe lakini mimi naomba iachwe ili watanzania waone kwa macho yao kwamba lilitendeka na sio propaganda. Kuna umuhimu wa CDM kuchora mstari kama alivyoshauri Mwanakijiji recently maana kimsingi tusingependa kuona haya yanaendelea kutokea kwa vyovyote...
 4. akilimtindi

  Bungeni: Taarifa ya tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne yasomwa

  ccm watu wazima kabisa akili zimekuwa kama watoto, wameshusha viwango vya ufaulu bado wanetu wamefeli... sasa wanashusha viwango vya usahihishaji ili ionekane wanetu wamefaulu... wanataka kumridhisha nani kama sio kutupumbaza sisi wenye watoto waliofeli? Upuuzi wa serikali umeshapita kiwango cha...
 5. akilimtindi

  Mateso ya Absalom Kibanda yasitutishe, yatutie nguvu za kupambana kwa umakini zaidi

  Chadema ni Makamanda hata kama hamtopenda waitwe hivyo itabaki kuwa hivyo, matokeo mnayaona wenyewe..!
 6. akilimtindi

  Mateso ya Absalom Kibanda yasitutishe, yatutie nguvu za kupambana kwa umakini zaidi

  Lazima upindishe mambo majibu yanapokosekana, huna hoja na siwezi kubishana na wewe.
 7. akilimtindi

  Mateso ya Absalom Kibanda yasitutishe, yatutie nguvu za kupambana kwa umakini zaidi

  Hivi Mkuu ukisikia mlio wa Mbuzi nje ya nyumba yako kisha ukatoka na kukuta mahindi yako yameliwa utamkimbiza Mbuzi au utamwacha na kuanza kumsaka aliyekula mahindi? Naomba jibu...
 8. akilimtindi

  Mateso ya Absalom Kibanda yasitutishe, yatutie nguvu za kupambana kwa umakini zaidi

  Mmekamia sana kwamba CHADEMA wanahusika na sio Serikali, nimeuliza swali rahisi na nashangaa niliyemwuliza kakimbia moja kwa moja ama karudi kwa ID nyingine. Inawezekana kweli Serikali haihusiki kwenye hili, je ni wapi katika haya matukio tata Serikali inahusika? Hata sisi tungependa tuilaumu...
 9. akilimtindi

  Balaa lingine kwa waandishi: Mhariri Mgamba apata ajali

  Mapambano ya kulikomboa Taifa hili na kuchukua Keki ya Taifa inayong'ang'aniwa na wachache, wewe uko upande upi? Unamiliki Keki ya Taifa au ungependa kuiona inachukuliwa na kurudishwa kwa wanyonge?
 10. akilimtindi

  Balaa lingine kwa waandishi: Mhariri Mgamba apata ajali

  Ni hatari sana iwapo wauaji watakuwa na akili za kutumia mambo kama ajali kupunguza wapambanaji, itakuwa rahisi sana kuudanganya umma kwamba ni ajali ya kawaida kama Kiongozi wa Tanzania kusema uongo maana ni jambo la kawaida Kiongozi wa Tanzania kusema uongo. Hakuna Mtanzania atakayeshangaa...
 11. akilimtindi

  Balaa lingine kwa waandishi: Mhariri Mgamba apata ajali

  Pole sana Ndugu yetu Richard Mgamba, yawezekana ilikuwa ajali ya kawaida lakini inawezekana pia ilipangwa kabisa na wahusika kuhakikisha wanawapunguza ninyi mlioko mstari wa mbele kwenye mapambano. Ni muhimu kukaa kwa tahadhari zaidi kwa sasa ili kuendelea na mapambano maana mnatakiwa...
 12. akilimtindi

  Mateso ya Absalom Kibanda yasitutishe, yatutie nguvu za kupambana kwa umakini zaidi

  Nashukuru kwa mchango wako, naomba nitenganishie yapi serikali inahusika na yapi serikali haihusiki kati ya matukio kadhaa yenye utata siku za karibuni. Naomba nitangulize jibu kwamba ukiniambia serikali haihusiki popote sitakuwa na haja ya kuendelea kujadiliana na wewe.
 13. akilimtindi

  Mateso ya Absalom Kibanda yasitutishe, yatutie nguvu za kupambana kwa umakini zaidi

  Ndugu zanguni Wana-JF, nawapeni pole sana kwa majanga yanayowaandama wapenda haki wa nchi hii na wale wote wanaofanya bidii kuuweka uovu wa nchi hii wazi mbele ya wale wasiojua kinachoendelea. Binafsi napenda kutoa pole kwa familia ya Kibanda pamoja na familia za wengine wote waliowahi...
 14. akilimtindi

  Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

  safi sana, tuko patamu sana sasa...
 15. akilimtindi

  Rais Shein akagua gwaride rasmi siku ya EID

  punguza hasira kamanda wangu, tutabanana taratibu mpaka tuwatoe nje ya ulingo
 16. akilimtindi

  Rais Shein akagua gwaride rasmi siku ya EID

  Tukienda hivi nina wasiwasi iko siku tutamwona Mufti au Ponda nao wakikagua Geshi Fulani
 17. akilimtindi

  Chaguzi za ndani ya CCM: Lowassa awabwaga Kikwete na Sitta

  Nimekuelewa Mkuu Michael Aweda, nadhani siri zingine zinaihusu ofisi. Tuko pamoja.
 18. akilimtindi

  Chaguzi za ndani ya CCM: Lowassa awabwaga Kikwete na Sitta

  Mkuu Mikael P Aweda, Nakubaliana na wewe sana kwamba CDM kushinda inawezekana, pia nakubali na iko wazi kabisa kwamba ccm inatapatapa sana kwasababu iko kwenye harakati za kufariki. Ieleweke kwamba hatumwogopi EL ila maelezo yangu ni kwamba tumeshashuhudia EL anaweka pesa nyingi sana na...
 19. akilimtindi

  Chaguzi za ndani ya CCM: Lowassa awabwaga Kikwete na Sitta

  Nadhani EL anakuwa kama Zuma, habari nyingi kuhusu ubaya wa Zuma zilienenea sana wakati wa kuelekea uchaguzi wao, hata hivyo Zuma aliibuka mshindi na leo ndiye raisi wa Afrika ya Kusini. Kiukweli tukubaliane EL ni mtaalam wa siasa chafu na kwa hapa Tanzania viongozi wengi wenye moyo wa...
 20. akilimtindi

  Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

  Kitendo cha serikali kuleta JWTZ kwenye hili kinaonyesha ni jinsi gani watawala wanaaza kuzidiwa na nguvu za matukio, hizi ni dalili tosha kwamba tunaelekea kwenye vita kamili. Nina wasiwasi na nia, uwezo na ujasiri wa serikali kuwathibiti hawa wanaojiita waislamu. Tatizo ni kwamba hii ni hali...
Back
Top Bottom