Search results

 1. lidoda

  Maxence Melo: Utambulisho wa majina mitandaoni utaua habari za kiuchunguzi

  Kwani watu wanalazimishwa kuja kusoma ktk mtandao wa Jamii Forums kama wanakereka? Kwa nini wasianzishe mtandao wao na wawalazimishe kila mtumiaji wa huo mtandao atumie jina halisi.
 2. lidoda

  Dr. Makongoro: Serikali isijifiche nyuma ya IPSAS Accrual. Elezeni vizuri tzs 1.5t zilipo

  Hizi Trilioni 1.5 lazima zitatemwa au tutaambiwa wapi zilipo. Maana kila kona kuna mashabulizi. Sasa watetezi wa upotevu wa hizo hela wataanza personal attack badala ya kuhoji nini kilicoandikwa
 3. lidoda

  Serikali kuanza kuwafuata watu maeneo ya mkusanyiko ili kuwapima magonjwa ya UKIMWI na Kifua Kikuu(TB)

  Baa zinafunguliwa jioni na wanywaji wa maofisini wanaanza kunywa kuanzia saa 1 usiku. Kwa hiyo hao wapimaji watafanya kazi overtime mpaka usiku? Wale wasiokunywa pombe kama Walokole, Waislamu na wengine ambao hawatakunywa hawatapata fursa ya kupimwa? Au hili zoezi linawahusu wanywaji tu...
 4. lidoda

  Barua ya Evarist Chahali kwa viongozi na wafuasi wa upinzani (Hususani CHADEMA)

  Hapa mbona nashindwa kukubaliana na wewe.Sababu mpkaka sasa havi hakuna mahakama yoyote iliomfungulia mashtaka Lowasa kwa "ufisadi". Hii mahakama ya ufisadi mpaka sasa hive waliowekwa au kushtakiwa ni wa upande mwingine tu. Sasa utaniaminishaje kuwa kumpokea Lowassa lilikuwa kosa kubwa...
 5. lidoda

  Kijana Allen Achiles aliyefariki baada ya kupigwa na Polisi azikwa na mamia Mbeya

  lakini ni kweli kibaki kama tulivyoambiwa?? Mbona vibaka hawazikwi kwa nyomi hii?
 6. lidoda

  Kujiuzulu ubunge kwa Mtulia na uthibitisho kuwa hayawezi majukumu ya ubunge hivyo hafai atatusaliti tena

  Mbunge anachaguliwa na wananchi na sio Raisi. Sasa hawa wabunge wanao jiudhuru eti kwa ajili ya kumwuunga mkono Raisi hawajui kuwa wanavunja makubaliano na wananchi ya kuwatetea Bungeni? Sasa kwa nini wabunge hao hao waende kuomba kura kwa wananchi badala ya wao kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa au...
 7. lidoda

  Kwanini hawa viongozi wanaojiuzulu wasisubiri mpaka kipindi cha uchaguzi ujao?

  Mbunge anachaguliwa na wananchi na sio Raisi. Sasa hawa wabunge wanao jiudhuru eti kwa ajili ya kumwuunga mkono Raisi hawajui kuwa wanavunja makubaliano na wananchi ya kuwatetea Bungeni? Sasa kwa nini wabunge hao hao waende kuomba kura kwa wananchi badala ya wao kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa au...
 8. lidoda

  Jeshi la Polisi lamjibu Waziri Kigwangalla, lasema halifanyi kazi kwa mashinikizo

  Kwa nini huyo Waziri asishikwe kwa uchochezi? Kwa nini asiwekwe ndani kuisaidia polisi? Mbona wasio mawaziri wa upande wa CCM wakisema hivyo wanawekwa ndani? Hii sio double standard? All in all Kigwangala lazima aufyate. Polisi lazima watam nockout Kigwangwala
 9. lidoda

  Siri ya ya Makinikia na Bombardier

  Nimesha agiza Noah lakini wanadai advance. Wenzangu mmeshapata Noah zenu?
 10. lidoda

  Historia ya Palestina

  Isitoshe katika Quran tukufu hakuna hata sehemu moja ilioitaj Jerusaleim au Palestina
 11. lidoda

  Historia ya Palestina

  Mkuu mbona historia yako ina matundu mengi kuliko Swiss cheese
 12. lidoda

  Kiwango cha uzalishaji wa dhahabu kupitia barrick kimepungua!

  Lakini zile dola milioni mia 300 tulizoambiwa tutalipwa zimeshalipwa ? Usisahau kuwa Noah zetu hatujazipata bado
 13. lidoda

  Muungano na mazonge yake: Sukari ya Zanzibar hairuhusiwi kuuzwa Tanzania Bara

  Nimekuelewa Isaa. Lakini ninyi wa Wazenj mlipata fursa nzuri sana ya kuukataa huu Muungano feki ktk Rasimu ya Katiba. Pale Bungeni kura zenu za kuukataa Muungano huenda mngepata Uhuru wenu. Sasa ninyi mnaumia na sisi tunaumia. Poleni sana
 14. lidoda

  Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya yako

  “Alcohol may be man's worst enemy, but the bible says love your enemy.” “I drink to make other people more interesting.” “In wine there is wisdom, in beer there is Freedom, in water there is bacteria.” “First you take a drink, then the drink takes a drink, then the drink takes you.”
 15. lidoda

  Muungano na mazonge yake: Sukari ya Zanzibar hairuhusiwi kuuzwa Tanzania Bara

  Lakini kuna mtu anaweza kuniambia wapi Zanzibar wanalima miwa? Hii sukari sio ya kutoka Pakistani au China?
 16. lidoda

  Msaada: Mwanangu hapendi kula

  Hata mtoto wangu ilikuwa ngumu sana kula hasa ktk umri huo ijapo hakung`ang`ania chipsi. Sasa kwa vile mama amemzoesha chips, jaribu kumpa chipsi kidogo baada ya kila mlo kamili(baada ya balance diet). Hii fanya kwa kila mlo hata kama ni mara tatu kwa siku. Asipokula mlo kamili usimpe hiyo...
 17. lidoda

  Njoo tuongee na January Makamba: Asema nyumba ya mama Lwakatare inasubiri maamuzi ya mahakama kubomolewa

  Kwa vile ukame unatukabili sana nchi yetu, na kasi ya ukataji kuni sasa hivi inaongezeka sababu ya uwingi wa watu na wengi wananchi hawana uwezo wa kununua rasilimali yetu ya gesi... ukiangalia vilevile tuna nguvu kazi nyingi zinapotea na zinatia hasara. Ningependekeza hawa wafungwa kwa nini...
 18. lidoda

  Mh.Rais Magufuli,raia hatuna amani kama jamii ya "wasiojulikana" Tanzania inawazidi maarifa jamii inayojulikana

  Kwa vile Raisi wetu anawapenda Watanzania na kaahidi kuwalinda Watanzania nina imani sana Raisi wetu mpendwa ataweza kuwaomba M15 au M16 au FBI au hata CIA na mashirika mengine kuja kupeleleza na kuwakamata hawa "watu wasiojulikana". Nina imani sababu sisi raia wa Tanzania ndio muhimu zaidi...
Back
Top Bottom