469SQM, Chekeni Mwasonga, Kigamboni Karibu na Dar es Salaam Zoo, Tasaf Road. Ni 28KM unbali ukitoka Ferry. Njia zimechongwa zote, na Clean Tittle Deed, Hati miliki ya Wizara. Kina mandhari nzuri sana ya Makazi ya kisasa. Kinauzwa Kwa Dharula Bei Imeshuka hadi 6.7M Tshs. Tuwasiliane PM Twende...
Wakuu nina kiwanja Changu Kigamboni (Clean Title Deed) 469 Sqm, kipo Barabara Tasaf ukitokea Dar es Salaam Zoo.
Block S, Chekeni Mwasonga. Barabara za Mtaa zipo Full Draft. Nakiuza Kwa 8M Tzs. , pM kama upo interested Asante.