Mzee Mwanakijij,
Tarehe 30/5/2013 Wazanzibar kadhaa wamefungua kesi (Petition) Mahakama Kuu ya Zanzibar wakiomba Mahakama hiyo itangaze kuwa Muungano ni batili. Kesi hii imeshafikishwa mahakamani ingawa bado haijapangiwa kusikilizwa. Huenda na hizi ndiyo muendelezo wa siasa za Zanzibar na hatua...
Mi tatizo la wingi wa watu halinisumbui sana. Lakini kinachonisumbua ni huo mfumo wa nusu kwa nusu walioanzisha. Mtu anaweza kujiuliza, hivi baada ya kukubali hasa sisi watanganyika kutungwa kwa sheria mbovu hii ya mchakato wa katiba, tutakuja kukataa tena, kama Wazanzibar wakitaka kwenye katiba...
By the way what is FB? Do we think a country can not live without FB? Wale jamaa wanatumia misaada kama fimbo ya kupitisha mambo yao. Umefika wakati tuache kuomba omba.
Wakati kikwete anaingia kugombea kwa ufisadi mkubwa ambao haujawahi kutokea kwenye nchi hii, mangula alikuwa katibu mkuu wa chama. Kama yeye ni makini kwa nini ndani ya miezi sita hii aliyotangaza asianze na mwenyekiti wake aliyeasisi mtandao wa kifisadi? Pia, wakati chama kinachukuwa mabilioni...
Nitanzania tu nchi ambayo inaweza kukaa na Waziri Muongo, tena kwa kuthibitishwa na mtu mzito kama Spika na bado mtu huyu akaendelea kuwa na uwaziri wake.
Kitu ambacho kila siku najiuliza, kwa nini tunaridhika na kupata kodi tu kama ndiyo stahili yetu? Hivi, watu hawa wanapochukua raslimali zetu sisi tuna stahili kodi tu?
Hata hiyo royalty ni kodi tu nayo. Kwanini tusiwe na share ya 50:50 then, wote tulipe kodi? Hatuwezi kuendelea kuwa shamba la...
Hivi Nape una maana zile Salamu za Rais ulizotoa pale zilikuwa feki? Basi hasira za huyu jamaa ni za kweli. Kwamba, Muasisi wa TAA amezikwa bila kiongozi wa kitaifa. Hata mi hapo naona kuna tatizo.
Kwa kweli lengo la Eric Kimasha limetimia. Alitaka kujua hicho ulichosema. Je, ulienda kwa...