Naona Profesa anapoteza sifa ya impartiality anapofanya udadavuzi. Ukweli rahisi ambao amekuwa akiuzunguka na kuupaka mafuta ni kuwa Wazungu, waarabu na wafanyabiashara weusi wote walifanya biashara ya utumwa,sema kila mtu alikuwa na segment yake kwenye ile supply chain ya watumwa. Ushahidi ni...
Ili kuweza kuwa chuki ya namna hii dhidi ya mtu ambaye taifa lilionyesha ni namna gani lilimpenda kwa kujitokeaza kwa mamilioni kila mwili wake ulipopitishwa lazima uwe na kautindio flani ka ubongo hata kama ndugu zako wa karibu hawakuambii unacho.
Kwa hii Post Unakuwa umewakosea sana Heshima.watu waliotumikia hili taifa kwa uaminifu na bila kuiba ingwaje walikuwa kwenye nafasi za kufanya uovu huo. Kila mtumishi angekuwa fisadi kama hao mnaowapigia chapuo, hii nchi ingekuwa ya mwisho duniani. Isinge sogea hata hizi hatua tulizopiga...
Hiyo sekta ya huduma Imeajiri wasichana wengi na vijana wengi sana. Inabidi isimamiwe mabinti wale waheshimiwe na Na walindwe.Ndio maana Inabaki kuwa ajira ya wasichana wa aina Fulani tu. Nchi zilizoendelea Nikawaida kwa mwanachuo kufanya hizi kazi za Huduma kama part time ili kuweza kumudu...
Kuna tofauti ya Dokta ama mhudumu wa afya ambaye ana anahangaika in full contact na hicho kirusi kwa masaa nane ama zaidi kulinganisha na mmachinga aliye pisha na muathirika aliyepiga chafya ama kumuulizia bei ya nguo kwa sekunde 30.
"You can Run through the fire without geting burnt but you...
Andiko zuli sana juu ya Corona. Hapo kwwnye namba nne nadhani Mda simrefu dunia itakubaliana na Mchina tu kila mtu avae Mask. Maana kama tunakubali virusi vya Corona vinasambazwa kwa majimaji yanayotoka mdomoni kwa mtu ambayo yanakuwa yamebeba hivyo virusi, na tunashauri mtu anapopiga chafya...
Habari za Masiku ndugu zangu? Msiniambie ni mbaya kwasababu ya Corona kwakuwa janga likishakuwa la wengi tunainuka juu ya hilo na kuhakikisha tunasonga mbele no matter what. (Waswahili tunamsemo: Kifo cha wengi ni Harusi@*&$ Sijui hawa wazee walimaanisha nini)
UJUMBE WA JANGA LA COVID 19...
Tatizo ni Malezi. Mama hajui baba wa mtoto. Hana cha kumlisha wala kumvizha. Akiamka asubuhi kila mtu la vyake. Mama Ngomani mtoto anaranda mtaani kutafuta hata andazi. Mwisho wake ndio huu.
inamaana Huyo Mfanya Biashara hakujua taratibu na sheria za Nchi? kama kakimbia kwa kuwa anajua hajafata taratibu, hao wasimamizi wangejuaje?
Au ndio zile kasumba za linapo tokea tatizo wengine wakiuke taratibu kwa mgongo wa hilo tatizo? Tufanye kazi tuachane kulalamika hata pale tunapokiuka...
Human beings will never be satisfied until our death. at college i could not stop dreaming such a life.
When i got it, at first with a huge entourage i thought this is it. i enjoyed clubbing and drinking with no one to answer to. but it did not take long, the theory of diminishing marginal...
Be your self. jua sheria na taratibu. haswa usikimbilie kuendesha gari mapema usije ukajifunza kwa njia ngumu. epuka rushwa, ubabaishaji na uchafu, jirani zetu.wanayazingatia hayo kwa umakini mkubwa. kwa ujumla ni ndugu zetu hata.humu watakuwapo. watu wa magharibi ya Tanzania hawatofautiani...
poleni kwa jamii kwa ujumla. sijui huyu mwanadadamu,anaye fundisha na kujenga chuki mioyoni mwa watu ili wauwane yaya anafaidika nn?
Mungu awaguse na kuigeuza mioyo yao wale wote waliojaa chuki na kujipa majukumu ya Mungu ya kuhukumu watu wengine.
Umeweka vizuri sana ujumbe wako. Tubadilike.
Ila pia watu wanatumiwa na watu walio pata pesa, wao wakihisi wanatumia pamoja. Naaah. Ni kama biashara nipe nikupe. Hana cha kumpa hawezi mfata. So kuna upande huo pia. Waulize masela vijiweni wanapigika kila siku na kuletewa nyodo na ma do...
Nadhani anachodai mwandishi cha kwanza ni kwa kampuni husika kuusafirisha mwili kuurudisha kwao, sio familia ianze kuomba omba utadhani ndugu yao alikuwa mzurulaji tu huko iran. Hivyo anaye weza kumsaidia namna ya kuiwajibisha hiyo meli isafirishe meli na kutoa stahiki nyingine afanye hivyo. Sio...
We ni binadamu, unahaki ya kupenda chochote, ilimradi sio kinyume cha sheria, na sio immoral thing to do. Tz yetu sote, wapo wazungu wameacha migorofa na maajabu yote ya technolojia wamependa mapori ya tz wanaishi humo na wa Tz wenzetu wa huko. So feel free, your at home, hata akapanua mapenzi...