Kwanza kabisa natanguliza shukrani kwa jf nzima kwa namna inavyosaidia kubadilisha maisha yetu, jf ilinisaidia kupata kazi enzi hizo nimemaliza chuo kikuu.
Baada ya shukrani naomba mdada mzuri anayeishi Dar ambaye yupo tayari kufanya maisha na mimi awasiliane na mimi kupitia 0654 531 647. Sina...
Mimi ni kijana wa miaka 28 sasa, Nina elimu safi ya chuo kikuu kutoka moja ya vyuo maarufu hapa nchini. Kwa sasa nafanya kazi katika taasisi moja ya kimataifa (USA based organization). Nishakuwa na mahusiano na wanawake kadhaa huko nyuma ila mahusiano mengi yalivunjika kwa kuwa nilikuwa sana...
Mimi kwa sasa sielewi, hawa chadema wamejitoa au hawajajitoa? km hawajajitoa ni ugumu gani wanaoupata wa kutueleza wananchi ni nn haswa ni hatima yao juu ya huu mchakato? tumesikia jana warioba anaendelea kuunda mabaraza na wao wapo kimya. Hiyo kamati kuu tuliyoambiwa itakaa hatuisikii inakaa...
Habari ambazo ni tetesi zinasema kwamba umoja wa mashirika yasiyo ya kiserikali yakishirikiana baadhi ya wanasheria nguli hapa nchini wapo katika hatua za mwisho kuandaa kuweka court order itakayozuia utekelezeji wa kauli ya serikali ya kufuta matokeo mpaka hapo kesi ya msingi itakapoamuliwa na...
The foreign reporters came to Kenya to cover the General Elections and are expecting violence like 2007/2008 but Kenyans have maintained peace throughout the electioneering period.
Yesterday, CNN which has sent numerous reporters posted a story about Kenyans preparing for violence somewhere in...