Search results

 1. M

  Kuinyima misaada Russia ni ujinga usiofikirika kwa Marekani

  Koba, unaonyesha upungufu mkubwa wa 'exposure' fanya utafiti kwanza ujue Urusi ni kitu gani.
 2. M

  Mtumishi mwandamizi Ikulu adai kufukuzwa kama mbwa...

  mhn, kazi kwelikweli, hatutafika , kwa michango ya watu inaonyesha tusivyo kuwa waadilifu, na ukiwa muadilifu unatukanwa! nilikuwa napita tu !
 3. M

  'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne

  unamtindio wa ubongo wewe ! ki vipi chadema inahusika, sana sana kama si chadema basi asingegundulika kuwa anatumia mavazi ya kijeshi kinyume cha sheria, hakutumwa na chadema kuvunja sheria, na kama alivunja sheria akahukumiwa na mahakama na mwenyewe kukiri kosa lake, basi hiyo ndiyo stahili...
 4. M

  Joseph Mbilinyi (SUGU) MB afanya kweli Mbeya Mjini

  Mradi mzuri, kweli ukitekelezwa tutasonga mbele
 5. M

  Zitto & Dr. Slaa Kaeni kitako katika hili

  hujui ulisemalo, labda kama umetumwa
 6. M

  Mpaka wa Malawi na Tanganyika uko hapa!!!!

  yaaani wewe una akili sana! nimeipenda sana hii !
 7. M

  Mwl.Nyerere alifanya jambo hili mbele yangu mwaka 1998

  Mwalimu alikuwa yeye, na hakujifanyisha, kujiigiza wala kujifananisha, alichokuwa anakisema ndicho alichokuwa ana kiishi, yeye alikuwa ndiye yeye yule na si mwingine kwa mema, mazuri na mapungufu, kama mungu alivyo mjalia ndiyo maana anaheshimika, na ataendelea kuheshimika kwa wote wanao penda...
 8. M

  Kashfa ya Ufisadi Bandari ya Dar

  Namshangaa Mh Chambo kumteua Bw Jaso Rugairuza kuwa Mwenyekiti wa kamati,anamfahamu vizuri huyo Mhe Rugairuza ??kweli,Hvi Tanzania inakwenda wapi? Huyu jamaa aliyeteuliwa hafai kwani ni yeye ndiye aliyesababisha mrundikano wa wa mizigo pale Bandarini alpokuwa Port Manager kabla ya Cassian...
 9. M

  Photographers' Corner

  nimejitambua, leo kweli baada ya kuangalia picha hizi, nimejifunza mengi mno. hongera nyingi kwa walio post picha zao humu na nimesikitika sikupita mapema kuangalia huku. I will come back one day with a big suprise BIG UP and thanks to all that contributed to this thread !!!
 10. M

  Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

  tutafika tu, tunakaribia, tuchinjane weeeee halafu tuta heshimiana na kuijenga tanganyika yetu pamoja
 11. M

  Waliogawa Sanda Nachingwea ili Kudhibiti M4C Wafariki Dunia!

  [LIST] [URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/279951-waliogawa-sanda-nachingwea-ili-kudhibiti-m4c-wafariki-dunia.html#"]
 12. M

  CHADEMA yawa gumzo Marekani, vua gamba vaa gwanda!!

  Wachangiaji kweli munanipa raha, vijembe vyenu kweli ni powa!
 13. M

  Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

  William, Hongera sana kwa kuthubutu, nilitamani sana nikuone ukijieleza pale bungeni jana , na bahati nzuri nikabahatika kukushuhudia ukijieleza, sikufahamu, lakini nilifarijika kwa maelezo yako na nilitamani wakupitishe, bali nafasi zilikuwa chache. Unaweza, jiamini na uthubutu tena mwanzo mzuri !
 14. M

  Times Up! Hadji, Nyoni and Mtasiwa must go Now!

  Katika nafsi yangu nimeamua kubadilisha mwelekeo wa historia ya nchi yangu, nakili maandiko haya , watu watakuja yakumbuka, 2012 ni mwaka wa mwisho wa uhujumu na unyanyasaji ! ni mwaka wa mwanzo wa mwiasho wa propaganda za amani kuwa kisingizio cha kuwaibia wananchi, na mimi nitathibitisha hilo...
 15. M

  Madaktari bingwa Muhimbili kuanza mgomo kimapinduzi Jumatatu

  Tanganyika , Tanganyika yangu nakupenda sana , ila kwa hali hii inavyo endelea , harufu kali ya damu inanukia, mzaha mzaha huzaa usaha ! wengi wetu tulikuwa mabingwa wa kuimiliki kalashnikov , na kwenye Range tulifika mpaka kwenye Tano bora ya kikosi, sasa naona wakati unasogea watu kukumbushwa...
 16. M

  SMS iliyoniamsha.. kuna kusalimika?

  kwa heshima ninayo kupa Mzee MwanaKijiji, hapa nimesoma between the lines, nimekuelewa vyema, kweli kazi ipo !!
 17. M

  Picha: Mazishi ya Regia Mtema Ifakara

  Alikuwa mtanzania aliyependwa na watanzania wengi, ona hata Ole Sendeka naye yupo !! na wengine wengi tu mpaka huko Ifakara, huu kweli ni upendo kwake bila kujali kitu chochote zaidi ya UTU. kwaheriri dada Regia
 18. M

  IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema

  Regia ! ama kweli katoa fundisho kwa watanzania wote, kuwa chama si hoja, hoja ni usafi wa moyo wako na uzalendo kwa watanzania wenzako, mapenzi mema kwa nia njema yakitendwa matokeo yake ni upendo ulio onyeshwa kwake na watanzania wote, bila kujali itikadi zao ziwe zozote zile !! mungu ailaze...
Back
Top Bottom