Search results

 1. B

  Ajali mbaya ya Jet Fighter uwanja wa ndege Dar, tumempoteza kamanda mmoja

  Whatever it is ,is a loss,big loss of life and the jet,may God be a companion to those remaining
 2. B

  Vurugu Z'bar:Askari mwingine auawa

  Hizi damu za kuchinjana zina laana mbaya sana maana huwa zinamlilia Mungu toka ardhini,believers wake up for prayers,this contrary spirit ig gaining speed!
 3. B

  Dalili za Jei Wii kuitwaa Zenji sasa zinaonekana wazi wazi kabisa

  God shall see us through Gloriously,wao wanataja pesa na nchi za kukimbilia sisi tunalitaja jina la Bwana,mkono wa Mungu haukimbiwi maana uko mahali pote,wasidhani watasalimika kwa kutoroka nchi,wana wa Gadhafi walikimbia nchi lakini walikamatwa.Kwa kumtegemea Mungu wetu mwaminifu tutashinda
 4. B

  Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

  Mungu anashughulika na roho hii ya uponda na uamsho,baada ya dhiki...
 5. B

  Kariakoo Lutheran!!Kweli Wakristo ni wana kondoo!

  Nina mashaka na ukristo wako ndugu
 6. B

  PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

  Angalia usijaribiwe ndugu,hatupigani vita vya damu na nyama,pigana vita vya kiroho,utaona matokeo hadharani,Mungu wetu hasaidiwa wala hatetewi na mwanadamu,hupigana mwenyewe na kisasi ni juu yake na sio juu yetu
 7. B

  Nape Nnauye atajwa kuandaliwa kuwa Katibu Mkuu CCM

  Mh! kwa ccm yote yanawezekana
 8. B

  Hongera Lowassa, Hongera CCM kwa kukata ngebe

  Ninaamini 100% sio wewe unaezungumza haya! hakuna tija yoyote kuwagusa watumishi wa Mungu,bali ni kutafuta laana tu! hata jina unalotumia latosha kukukumbusha kuwa you are driving along the wrong road.
 9. B

  Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

  Maazimio mazito sana,tutarajie ngojera za tendwa na nape very soon
 10. B

  Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

  Intelegensia leo haina kazi kwani nayo imeenda kuswali muda wa maandamano!
 11. B

  Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

  Vip gari za washawasha,bunduki za flying objects na mabomu aina ya mwangosi yapo around?
 12. B

  Viongozi Tanzania tuache dhulma.

  Du inaonekana una hasira nao vibaya mpaka imepekelekea kujiunga na JF faster,ndo kamtindo kao hako,waulize makarani wa sensa watakupa experience zaidi!
 13. B

  Re: Ajabu madodoso ya sensa yaisha,zatumika photocopy!

  kama kukusanya data tu ni photocopy, vip uhalisia wa taarifa zake? kama nchi something is very wrong somewhere,kwa stail hii,hikuwako haja ya kufanya sensa,wangesubiri wajipange vizuri,zoezi la once in ten years linafanyika kihuni! So sad!
 14. B

  Cwt waipa serikali siku saba

  Siku mamluki wakiondolewa katika ualimu,solidarity itakuwepo,kwa sasa kuna former barmaids waliochakachua vyeti hawawezi kamwe kuivimbia "sirikali"
 15. B

  Re: Ajabu madodoso ya sensa yaisha,zatumika photocopy!

  Kwani sheria inasemaje kama karani hajakuhesabu yeye nae anapelekwa mahakamani?lawyers please
 16. B

  Re: Ajabu madodoso ya sensa yaisha,zatumika photocopy!

  Sikujua kama tatizo ni kubwa kiasi hiki! sasa cha kupeleka hadi watu mahakamani nini? kama tu waliotayari kuhesabiwa hawajafikiwa! Ingekuwa Serikali ni kama kocha,mkataba wake ungesitishwa mara moja,hii ni hatari sana,bilions zimetumika halafu dodoso notebook na daftari?we real cant be...
 17. B

  Re: Ajabu madodoso ya sensa yaisha,zatumika photocopy!

  Pamoja na mbwembwe zote tumejiandaa vya kutosha...kila kitu kiko tayari! kweli dhaifu,authentic ya taarifa hizi za copy au za vinotibook inatia shaka,kuna uwezekana tukapata takwimu za kupikwa
 18. B

  Re: Ajabu madodoso ya sensa yaisha,zatumika photocopy!

  Nimemaliza kuhesabiwa kama dakika moja iliyopita,karani aliyenihesabu ametumia dodoso lililotolewa photocopy, amedai wameambiwa yameisha na wamepewa kopi. Ni hapa manisapaa ya Lindi. Je hii ni halali kutumia dodoso kopi wakati dodoso zina serial number? Kiukweli hali hii imenigutua sana na...
Back
Top Bottom