Wiki iliyopita Jumanne Julai 26, 2022 kulifanyika uchaguzi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Kata ya Mijelejele Wilayani Masasi ambako Juma Polle ni Diwani wa Kata hiyo ya Mijelejele. Juma Polle aliomba nafasi ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa kutokea Kata ya Mijelejele.
Kwenye nafasi...
KATIBU MKUU WA CCM TAIFA CDE DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO MAALUMU NA JOEL NANAUKA, DODOMA.
28.03.2022
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Cde Daniel Chongolo, Leo amekutana na Ndg Joel Nanauka na kufanya naye mazungumzo katika ofisi Kuu za CCM jijini Dodoma.
Katika mazungumzo...
Na Bwanku M Bwanku.
Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili pendekezo la kuitishwa kwa Mkutano Mkuu wa CCM lililotolewa kwenye Kikao chake cha Desemba 18, 2021 na...
Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam)
Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii
Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni...
Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa .
Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita...
Jana Jumatano Machi 02, 2022 Viongozi wetu wa Dini walikutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kufanya nae mazungumzo mbalimbali pale Ikulu.
Katika hali iliyonishangaza Mimi na nadhani hata kwa Watanzania wengine wengi ni hatua ya Viongozi wa Dini kuomba Rais Samia na Mamlaka zake zitumie busara...