Sakaya ni UKAWA akitokea CUF!ni mpiganaji sana huyu mama!Si mzaliwa wa Kaliua na waliingiza ukabila eti hawawezi kutawaliwa na mchaga!!Wanakaliua wamekaa na kuamua nani anawafaa
Kutoka Jimbo la Kaliua Hatimaye Magdalena Sakaya Ni Mbunge halali kupitia UKAWA!Mzee Kapuya hata wakati wa kusaini alikuwa wakutafuta kwa aibu!Nasema kwa aibu kwa sababu nimefuatilia kampeni kwa ukaribu na SAKAYA NI HAKI YAKE KUSHINDA!!JANA MTOTO WA KAPUYA ALIFANYA VURUGU WAKATI UKAWA...
watu hawa SI WA KUJITOLEA NI WATAALAMU AMBAO WANAHITAJIKA KULIPWA KAMA INAVYOTAKIWA!Huwezi kumwambia mtu aje Dodoma toka Tabora na Humpi hata shilingi na wakati huo huo umewaita kwa Kuwaambia hela ya Malazi na Chakula utawalipia!Leo toka Asubuhi hakuna linaloendelea na waangalizi wapo hoi kwa...
Habari ya kazi wakuu!Jana tarehe 20/10/2015 LHRC waliita waangalizi wa Uchaguzi zaidi ya 200 kwa lengo la kuwapa mafunzo Juu ya namna gani wataangalia uchaguzi kama WAANGALIZI wa ndani wa Uchaguzi katika Ukumbi wa Chuo cha Saint John Dodoma!
Mafunzo yalikuwa ni ya siku moja yaani tarehe 20...
pole mkuu.hata mimi juzi ndo shemeji yako karud home kwa mgogoro mdogo.sasa ushauri wangu ni huu.waeleze wazazi wa mkeo kwamba huna uwezo wa kuwajengea kwani si lazima ila ni kama hisani.pia mkeo mwambie kwamba wewe umemwoa ili mjikomboe na kizazi chenu na si vınginevyo.kuwajengea huwa...