MAKUBALIANO YAO VIONGOZI WA VYAMA CHINI YA TCID KWANI BADO YAPO HAI?...UKAWA JE WAko TAYARI KUPOKEA MATOKEO KTK MAZINGIRA YALEYALE WANAYOYALALMIKIA KILA UCHWAO?....
UPDATE.....Mkumbo amekiri kushiri kuandaa waraka kwa siri na alipogundulika akakubali kosa na kuomba mujiuzulu ila chama kikamkatalia. tamko laka rasmi linafuata punde
Ikumbukwe hakuna fikra zilizowahi kunyamazishwa kwa risasi na hakuna gereza au jela iliyowahi kufunga akili za mwanadamu. Majaribio yote duniani ya kuzima uwezo wa watu kufikiria na kujitambua yalishindikana. Yalishindwa Marekani, yameshindwa Uarabuni, Yameshindwa Japan, Yameshindwa China...
Brother...Nakushauri unge upload hiyo kitu kwenye mtandao kama soundcloud au hulkshare halafu ungeileta link hapa...ili kila mtu apate fursa ya kuipata,.iwe kwa sasa au kwa vizazi vijavyo..Barikiwa sana!.
kuna taarifa kuwa ndugu yake ndiyo amevunjika mkono lakini yeye mwenyewe ni mzima - angalau hakuna madhara makubwa yanayoonekana mwilini. Tunamshukuru Mungu...source Mwanakijiji on Facebook
nimesikitishwa na yaliyotokea Arusha' kwanini Polis hawakuwa na taarifa za kiintelijensia kuhusiana na tukio lile?! Mbona kwenye mikutano ya Chadema wanatuambiaga mikutano haiwezi kufanyika kwa sababu kuna taarifa za vurugu?!
nipo Tabora' pamoja na ukweli kwamba ccm ni wengi lakini hakunaga ujinga wa kuzomea hapa! Ninachokijua Chadema kwa sasa inapata wanachama na wafuasi wengi tu kwa sasa!