<br />
<br />
Una uhakika na unachokinena?vipi kuhusu wale fisi,simba,mbweha,kalungulyeye,nyati pamoja na chui?unadhani ni rahisi,sisi ni wamoja mkuu,tushirikiane.
Inashangaza sana yaani tatizo juu ya tatizo!!!Machaguo yamechelewa sana,tumevumilia,yanakuja kutoka saa 50 na zaidi web yao haifunguki,MUNGU atusaidie.
Senetor hiyo ni kweli kabisa nimeangalia programmes zangu zipo,za mshikaji pia zilikuwepo ila za mshikaji mwingine hamna,wameandika hivi,NO RECORDS FOUND,click here to add or modify programess,NI KWELI KABISA.