Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza: “Kutoka tetemeko la ardhi la Februari 6, leo ametolewa chini ya vifusi huko Antakya, Uturuki hai na...
UVUMI
Hivi karibuni baada ya Elon Musk kuununua mtandao wa Twitter kuliibuka uvumi kwamba bilionea huyo amepanga kurejesha akaunti zote za Twitter zilizofungiwa, kasoro ile ya aliyekuwa Rais wa Marekani kuanzia mwaka 2017 hadi 2021, Donald Trump.
Kichwa cha habari cha taarifa hiyo kinasomeka...
UVUMI
Raila Odinga, kiongozi wa chama cha upinzani cha Orange Democratic Movement cha Kenya na aliyekuwa mgombea urais katika uchaguzi wa Agosti 2022 nchini humo, alimtaja waziri wa zamani wa sheria Martha Karua kuwa mgombea mwenza wake tarehe 16 Mei.
Mara baada ya tangazo hilo, picha...
MADAI
Picha ya mwigizaji na mtayarishaji filamu maarufu wa nchini China Jackie Chan akiwa amevalia fulana iliyochapishwa picha ya Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa rais wa Uganda Yoweri Museveni, imekuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii. Maandishi chini ya picha yanasomeka kwa Kiingereza: "Rais...
MADAI
Tovuti moja inadai kutangaza nafasi za ufadhili wa masomo katika chuo kikuu nchini Norway na kusambaa katika mitandao ya kijamii.
Tovuti hiyo ina ujumbe wa Kiingereza ulioandikwa vibaya unaotafsirika: "Kasome Nchini Norway Kozi Yoyote Uliyochagua Bila Malipo kwa Muda wote wa programu"...
MADAI/UVUMI
Ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland umekuwa ukisambaa mitandaoni ukiwa na kichwa kinachosema "Rais Samia aongeza matumaini mapya kwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Scotland na Tanzania,"
Gazeti hilo linalosomeka kuwa ni toleo la 1 Novemba 2021 la gazeti la...
MADAI/UVUMI
Video moja iliyowekwa kwenye mtandao wa Facebook inadai kuwa Naibu Rais wa Kenya William Ruto "ameichochea" jamii yake ya Wakalenjin dhidi ya Wakikuyu wakati wa mkutano wa kampeni kabla ya uchaguzi wa Agosti 9 2022.
Katika kipande hicho cha video kilichochapishwa tarehe 29 Julai...
MADAI/UVUMI
Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa. Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya...