Search results


 1. Gospel Preacher

  Matangazo haya ya Nguvu,urefu na kunenepesha uume ni aibu kwa jamii na Taifa kwa ujumla.

  Nimekasirishwa na matangazo haya ya biashara mitandaoni, naiomba serikali ifuatilie haya aisee kwa ujumla na ni uganga huu wa kwenda kinyume na uumbaji wa Mungu. Ni aibu kwetu na taifa kwa ujumla.
 2. Gospel Preacher

  Kero: Adha ya Usafiri Mbezi-Makabe Serikali tusaidieni.

  Habari zenu ndugu zangu Watanzania, Na wakazi wa Dsm, Kama mkazi wa mbezi msakuzi-makabe na Mtanzania halisi, Napenda kutoa wito kwa Serikali yetu kuanzia ngazi ya mkoa, Usafiri huu ni mbovu na mgumu saana, barabara inachongwa kila siku lakini magari Bado ni vipanya vya zamani tunajazwa abiria...
 3. Gospel Preacher

  Msaada :password za IPAD zmesahaulika

  Habari zenu ndugu zangu, naomba msaada namna ya ku secure i pad ambayo password zake zimesahaulika kwenye upande wa iClaud naomba kujulishwa namna bora ya kufanikiwa...maana siwezi kupakua chochote Wataalam wa haya makitu nisaidieni
 4. Gospel Preacher

  Equit bank tawi la Mwenge ni kero

  Habari zenu ndugu zangu, napenda kufikisha kero zangu kwa uongozi wa Equit bank tawi la mwenge kwa wafanyakazi mjirekebishe maana mmezidi uvivu na kutegeana, kazi kama wafanyaka ni wachache fanyeni muajiri watu wanasaka hajira mtaani. Acheni uvivu na kutegeana utakuta wafanyakazi mapokezi mnaa...
 5. Gospel Preacher

  Ndege nzuri tokea Dsm to Nairobi

  Habari zenu ndugu zangu, naomba kuuliza wazoefu wa safari za ndege kutokea dsm kuelekea Nairobi, ni ndege ipi nzuri na yenye uhakika wa safari? Sanjari na bei rafiki? Naomba msaada sana katika hili. Naomba msinifikirie vibaya ni mara yabgubya kwanza kutumia huu usafiri ndugu zangu na hakuna...
 6. Gospel Preacher

  Naomba msaada namna ya kusajiri ministry ya maombi na ushauri.

  Habari zenu wanasheria, naomba msaada namna ya kusajili ministry, ya maombi na ushauri, tafadhari naomba msaada wataalam wa sheria nafahamu kwamba mnayajua haya sana. Ni hatua gani zinatakiwa na ninasajilia wizarani au kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya? Na ni vitu gani vinatakiwa? Karibuni ndugu...
 7. Gospel Preacher

  Serikali liangalieni hili la mashabiki kusafiri na Stars kwenda Cape Verde

  Habari za asubuhi watu wa JF, Leo nimesikia Serikali imetoa ndege kwa lengo la kuipeleka Taifa Stars ktk visiwa vya Cape Verde, kwa jambo hilo kwanza naipongeza Serikali yetu saaaaana. Lakini napenda kutoa wazo katika hilo juu ya bei ya abiria ambao watapenda kwenda na timu huko Cape Verde ili...
 8. Gospel Preacher

  Msaada: Basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Nairobi?

  Wakuu habari ,ninategemea kusafiri kuelekea Nairobi mwishoni mwa mwezi huu, je? Ni Bus gani zuri lenye Ac, viti vyenye nafasi ndani, yaaki kwaufupi luxury Bus, Linalotokea dsm kwenda Nairobi, tafadhari naomba mnijuze na bei zake. Mungu awabariki sana. Kribuni.
 9. Gospel Preacher

  Kwanini wanaume wengi wanaona wanawake wa nje ndio warembo?

  Ni swali ambalo napenda kuwauliza wana jamii forums najua nyie mnauzoefu mkubwa sanaaa, hivi ni kwann wanaume wengi walio ndani ya ndoa wanawaona wanawake wa nje ndio warembo sana, kiasi hata cha kuwatamani kulala nao? Napenda kujua ili niwasaidie watu, tafadhari naombeni majibu. Asante sana.
 10. Gospel Preacher

  Msaada wa kusajili kikundi cha maombi

  Habari ndugu zangu, namboa msaada namna ya kusajili kikundi cha maombi kama asasi ya kijamii, ni nahitajika vitu gani na wanasajilia wapi? Asante.
 11. Gospel Preacher

  Translator wa lugha ya english-swahili anatafutwa

  Habari zenu watu wa Mungu, kama kichwa kinavyojielezea hapo juu, Anatafutwa mtaalam wa lugha hususan ya English na Swahili kwa lengo la kutranlate kitabu Cha Kiswahili to English. Vigezo: 1. Awe na uelewa mzuri wa lugha ya kiswahili na Kiingereza 2. Awe na ujuzi wa matumizi ya Computer na...
 12. Gospel Preacher

  Namna ya kui trick express vpn ili upate kuitumia bila kulipia

  Leo nimetembelea sehemu ya mbagala na viunga vyake hakika nimeipenda mbagala, maisha ni rahisi sana, na hakuna gharama ya vyakula, mihogo ya kukaanga, chips,matunda, kuku, samaki,nyama, na vyakula vingine viingi sana, mbagala ni nzuri sana, kulinganisha na maeneo mengine kimaisha. Mungu...
 13. Gospel Preacher

  MSAADA: LAPTOP YANGU INATATIZO LA MISTARI KWENYE SCREEN

  Ndugu zangu naomba kusaidiwa ama kuambiwa ni nini hiki au nifanyeje ili kutatua maana imekuwa ni kero kwangu juu ya laptop yangu. Model - Lenovo G 580 Windows- windows 7 Tatizo hili hutokea pale ninapoiwasha huwa inakaa muda hata wa dakika 10 ndio naipata screen na kazi zangu zinaendelea...
 14. Gospel Preacher

  Msaada kuhusu sheria ya mtandao - TCRA

  Habari za asubuhi ndugu zangu, nimeona vizuri kuuliza jambo hili ili kupata msaada wa kisheria na elimu juu ya hii kitu inayoitwa Mtandao. Nauliza kwa sisi wachungaji haturuhusiwi pia kupost YouTube video ktk page yangu za mahubiri mpaka tupewe kibali TCRA? au sheria inasemaje katika hili...
 15. Gospel Preacher

  Picha:Dhana ya Punyeto, Ushoga na Sexy toys(chanzo cha vibamia)

  Habari zenu wana Jamii Forum, kama mfululizo wangu wa masomo, leo napenda kuwashirikisha jambo hili hatari. Watu wengi wamejiingiza katika mambo wasiyoyajua kiundani na hii hupelekea matatizo makubwa kwenye maisha yao. Punyeto: hii ni aina tendo la mapenzi ambalo mtu hujitengenezea mpenzi wake...
 16. Gospel Preacher

  Maombi na Ushauri Bure kwa wote.

  Bwana Yesu asifiwe /Asalaam aleykum ndugu zangu Watanzania na wasio Watanzania, napenda kuwa julisha kuwa, kwa uweza wa Mungu Mkuu aliyeziumba Mbingu na Nchi nimeanza Huduma ya maombi na ushauri kwa maswala ya kiroho bure kwa wote. Jambo hili nimeamua kulifanya ili kukamilisha hatima yangu ya...
 17. Gospel Preacher

  Ukumbi wa Ibada unahitajika

  Habari zenu ndugu zangu wa Jamii forum, napenda kuwajulisha kuwa ukumbi wa ibada unahitajika DSM (Wa kukodishwa) Kwa maeneo ya Kijitonyama,Mabibo, Kigogo, Boko-Bunju, Kongowe-Toangoma, n.k Unaweza kuwa ukumbi au banda ambalo linaweza kukarabatiwa na ukafaa kwa ibaada. Karibuni Simu: 0625568600...
 18. Gospel Preacher

  Ukumbi wa Ibada unahitajika

  Habari zenu ndugu zangu wa Jamii forum, napenda kuwajulisha kuwa ukumbi wa ibada unahitajika DSM (Wa kukodishwa) Kwa maeneo ya Kijitonyama,Mabibo, Kigogo, Boko-Bunju, Kongowe-Toangoma, n.k Unaweza kuwa ukumbi au banda ambalo linaweza kukarabatiwa nablikafaa kw ibaada. Simu: 0625568600 Sent...
 19. Gospel Preacher

  Dalali: wa ukumbi wa kukodi unahitajika.

  Habari ndugu zangu, Natafuta ukumbi/Banda la kukodi kwa lengo la kufanya kituo cha maombi na ushauri,napenda liwe na capacity ya ku hold watu 80 mpaka 100, maeneo ya Yombo, Mbagala, Mtoni, Buza,kongowe ya mbagala, liwe na miundo mbinu ya vyoo, na usalama wa eneo, pia lisiwe katikati ya makazi ya...
 20. Gospel Preacher

  Mkianza kuwaona Maaskofu ni watu wa kawaida ktk jamii basi anguko li karibu.

  Mkiona maaskofu wanawashauri na kuwakemea badala la kuchukua hatua na kutafakari makemeo na mashauri yao, na matamko ya Maaskofu hawa badala yake mnawajibu kwa vijembe vya mitandaoni na kwenya magazeti, basi jua kuwa anguko lipo karibu sana. Ninaposema kuwa Maaskofu msiwachukulie watu wa...