Search results


 1. X

  CCM na Newtons laws of motion

  Wana jamvi nimekumbuka O-level physics nai-apply kwenye siasa kwa wakati uliopo! Newtons First law of motion: Newton's first law states that every object will remain at rest or in uniform motion in a straight line unless compelled to change its state by the action of an external force. Chama...
 2. X

  Rais Hana Hela ya kuongeza watumishi mshahara period!

  Mkulu kaongea ki-utu uzima .Kwa mtazamo wangu serikali haina hela .Bandarini mizigo imepungua sana , utalii majanga , migodini stori inaeleweka, mtaani biashara zimesinyaa , kilimo mazao yameshuka thamani baadhi mpaka asilimia 500 hela ya kuongeza watu mishahara itatoka wapi? Karibuni watu...
 3. X

  Viatu kama si saizi yako lazma vikupwaye au vikubane

  Hivi viatu vilivyovaliwa Mwaka jana ama ni vikubwa sana kwa mvaaji kiasi kwamba akitembea anadhani kila anayeongea anamsema yeye kwa hiyo anazuia fursa za watu kujieleza au vinambana sana anahangaika anaona kila anayetaka kuongea atamsema yeye alinavyoangaika au labda viatu viliibwa akapewa kwa...
 4. X

  JPM KUKAA KIMYA KUHUSU ZANZIBAR TUMEKUELEWA

  Jpm kukaa kwako kimya kuhusu Zanzibar tumekuelewa, wewe ni msema kweli na msema kweli ni mtu wa Mungu ,ukweli unaujua hivyo unaona ni bora kukaa kimya. Asante Tumekuelewa !Ila Mungu huyu huyu wa msema kweli, huwa hamfichi mnafki!
 5. X

  Kusema unabana matumizi bila kusema unaokoa shilingi ngapi ni upuuzi!

  Hii waziri ya hiyo kitu inahusiana na TBC ,anatuambia anabana matumizi bila kutuambia anatumia bilioni nne asipoonnyesha live atatumia sh ngapi na hivyo anaokoa sh ngapi na hiyo hela anayookoa inatumika vipi ni crap ? Censorship Imeanza period!
 6. X

  Ugonjwa nchi hii si Majipu Pekee

  Naanza kupata wasiwasi kuwa baada ya miaka kumi tutakuwa pale pale au vibaya zaidi kwa kuwa nchi hii ina maradhi mengi. Tukifanya siasa za kutumbua majipu pekee ,basi malaria kipindupindu ,ngoma nakadhalika hata visipotuua vitatudumaza. Fikra pevu na pana zinahitajika kuhakikisha tunatoka hapa...
 7. X

  Ugonjwa nchi hii si majipu pekee

  Naanza kupata wasiwasi kuwa baada ya miaka kumi tutakuwa pale pale au vibaya zaidi kwa kuwa nchi hii ina maradhi mengi. Tukifanya siasa za kutumbua majipu pekee, basi malaria kipindupindu, ngoma nakadhalika hata visipotuua vitatudumaza. Fikra pevu na pana zinahitajika kuhakikisha tunatoka hapa...
 8. X

  Vipofu,wajinga ,maskini ....tunatia huruma kama nchi

  Tuna macho lakini hatuoni, Rasilimali nyingi lakini maskini,wasomi wengi lakini mambumbumbu,wanasheria wengi lakini hatujui sheria, jina kubwa uwezo mdogo. Ndiyo maana watu nchi hii wanajifanyia wanavyotaka,wnapindisha sheria ,wanavunja katiba ,madawa ya kulevya ,ujangili,twiga wanapanda ndege...
 9. X

  Wanasheria wetu hamna kitu

  Wanasheria wetu wachovu HAMNA KITU,katiba inavunjwa hakuna kesi mahakamani,katiba imevunjwa kufuta matokeo zanzibar wako kimya,katiba imevunjwa kutangazwa matokeo wako kimya,katiba imevunjwa kumpa cheti jpm wako kimya,katiba imevunjwa kumuapisha wako kimya,katiba imevunjwa kuitisha bunge...