Search results


 1. Pepombili

  Polisi Yawaonya Wanaokula Hadharani mwezi wa Ramadhani

  POLISI Mkoa wa Kusini Pemba, limewataka wananchi kuwa na utamaduni wa kuvumiliana kidini na kuheshimu imani za wengine, kwa kuepuka kula hadharani katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwani kufanya hivyo kunaweza kusababisha uvunjifu wa amani miongoni mwa jamii. Jeshi hilo limesema...
 2. Pepombili

  Kipindi cha "Jukwaa kwa Jamii" Redio Imaan Kimeanza live

  kipiindi kimeanza live wanaanza kumchambua mwalim nyerere
 3. Pepombili

  Redio imani - elimu bila mipaka

  Asalaam Alekum Ndugu wana jamii nimekuwa msikilizaji wa Redio imani karibu kwa muda wa miezi 6 sasa mfululizo bila ya kubadilisha kwa kweli nimejifunza mengi mno na nimekuja kugundua baada ya utafiti mdogo nilioufanya nimegundua karibu asilimia 50 ya watanzania mpaka 70 wanasikiliza hii redio...
 4. Pepombili

  Shule yaridhia mwalimu aache kazi kwa kudaiwa shoga

  Uongozi wa Shule ya Sekondari ya Majengo, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro inayomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi umeridhia kuacha kazi kwa mwalimu wa kiume wa shule hiyo anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.Kufuatia hatua hiyo, Bodi ya shule imemlipa mwalimu huyo Endrew...
 5. Pepombili

  Kelele za dar live mbagala

  Toka kumenzishwa huu ukumbi pale mbagala zakhiem kumekuwa na kelele nyingi sana za muziki ambazo hutusumbua sana sisi wakaazi wa mbagala usiku wakati wa kulala kwa kweli naomba serikali ya mtaa ijitahidi kudhibiti hizi kelele au la sivyo ule ukumbi uondkoshwe au waweke sound proof kuzuia kelele.
 6. Pepombili

  Wanatafuta umaarufu wa kimataifa kwa kukaa uwanjani ili eti prince chalesi awaone

  hii ya mwaka huu ni kali sana wamesikia prince anakuja arusha wakaamuwa kujiweka uwanjani eti wasikike maana jamaa alipewa dhamana akagoma kuichukuwa kumbe lengo lake lilikuwa abaki mahabusu ili wenziwe wakae uwanjani prince chalesi awaone kesho akienda arusha na kwa vile wao wako tayari kupokea...
 7. Pepombili

  Wajumbe wa UN kutoka mataifa ya Ulaya wanakimbia kikao - Ahmed Najad anawapaka live!

  Rais wa Iran yupo live UN akihutubia wajumbe na anawapaka live mataifa ya ulaya na marekani wazungu wote wamekimbia ukumbini maana yanwachoma
 8. Pepombili

  ‘Sheria hairuhusu vileo kuingizwa Pemba’

  KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, Hassan Nasir amesema Sheria ya Kupiga Marufuku Kuingiza Vinywaji vyenye Kilevi katika kisiwa cha Pemba ya mwaka 1928 bado ipo na haijafutwa. Kamanda Nassir alisema hayo wakati alipokuwa akizungumza na Waislamu waliokuwa wakitishia kufanya maandamano...
 9. Pepombili

  Zanzibar: Wanaokula hadharani, kuvaa nguo fupi kukiona

  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imelitaka Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaokula hadharani na kuvaa nguofupi wakati huu wa mfungo mtukufu wa Ramadhani. Tamko hilo limetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohammed Aboud Mohammed, alipozungumza...
 10. Pepombili

  caller tone za Tigo

  Naiomba kampuni ya simu ya Tigo iwe makini sana inapompatia mteja wake caller tone hasa zile za imani. maana unaomba caller tone ya kiisilamu unawekewa kwaya ya kanisa au unaomba nyimbo ya kanisa unawekewa qur an sasa tunawaomba muwe makini sana hasa kwenye hizi huduma zenu musituudhi wateja...
 11. Pepombili

  Buy gold for reserves, Central bank advised

  The Parliamentary Committee on Parastatal Organisations Accounts (POAC) yesterday advised the Bank of Tanzania (BoT) to consider maintaining gold reserves, by mainly buying the mineral from small scale miners. POAC Chairman Kabwe Zitto said that they don’t see the reason for BoT not to buy gold...
 12. Pepombili

  Wajumbe 2 tu humu jf ndio wenye michango ya ukweli na wanatikisa jf nzima

  Hawa member 2 wa JF ndio huwa nasoma michango yao humu ndani maana wankimbiza ile mbaya 1. Muhadhir 2. Majimshindo BIG UP michango yenu ni yenye akili sana
 13. Pepombili

  Diwani wa Chadema asalimisha AK47 kwa RC Mara

  DIWANI wa Serengeti, Chacha Samwel Gibewa (Chadema) amesalimisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Enos Mfuru bunduki aina ya AK 47 ambayo amekuwa akimiliki kinyume cha Sheria. Kiongozi huyo wa wananchi aliwasilisha bunduki hiyo Jumanne jioni baada ya madiwani wenzake kumtuhumu kwa kuchochea...
 14. Pepombili

  Nini suluhisho la Tanzania kwenye mivutano ya kidini na kisiasa

  Katika kupitia maoni na mada mbali mbali zinazojadiliwa kwenye JF nimegundua jambo moja la msingi amablo watu wengi lazima hulijadili nalo ni la Dini . Dini imechukuwa nafasi kubwa kwenye mijadala ya JF hata katika masuala yasiyohusu dini kama vile masuala ya uchumi, naamini ya kwamba ni vigumu...
 15. Pepombili

  Mwana Siasa Safi wa Tanzania (Dr Slaa, Dr Kikwete, Maalim Seif, Hamad Rashid au Mboe)

  Jamii ya kitanzania ni jamii ya watu wa aina mbali mbali kama zifuatazo: 1-Wakulima 2-Wafanyakazi 3-wafanyabiashara 4-Wanasiasa 5-Wafugaji Lakini kwa hali ya sasa inaonesha ya kwamba fani ya siasa imevamiwa na jamii ya watu wenye asili ya Ukulima na ufugaji, na asili hii ya watu hawa...
 16. Pepombili

  Hivi ni kweli huwezi kuwa rais wa tanzania mpaka ukubalike kwa waisilamu ?

  Unaamini ya kwamba Historia inajirejea ? Nikweli kuwa Kura za Waislamu zinamchango mkubwa kumuweka Raisi yeyote madarakani hapa Tanzania. Hili lilianza tangu wakati wa Mwalimu Nyerere. Muulizie mchango wa Bibi Titi Binti Muhammad, Sheikh Hassan Bin Amir, Mshume Kiyate,Haidari Mwinyimvua,Tewa...
 17. Pepombili

  Dr Slaa na Zanzibar

  Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Yaani muunganiko wa nchi mbili ya Zanzaibar na Tanganyika) katika kupitia habari nyingi kutoka kwenye vyanzo mbali mbali vya habari nimegundua kwamba Dr Slaa pamoja na chama chake cha Chadema huwa siwasikii kuyaongelea sana masuala ya...
 18. Pepombili

  DPP kuiadhibu CHADEMA?

  MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amesema yupo sahihi katika utendaji wa kazi yake, kwa kuwa anafuata sheria na kwamba endapo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kitapuuza barua yake ya onyo, sheria za nchi zitachukua mkondo wake ikiwamo kufunguliwa mashitaka na Ofisi ya...
 19. Pepombili

  Kenya kuruhusu mfumo wa kifedha wa Kiislamu

  Kenya hao wanaanza kuujuwa uisilamu sasa wabongo nyie kaaeni tu na makanisa yenu hayo ya kinyonyaji na mifumo yenu ya kikatoliki
 20. Pepombili

  Makosa ya kikwete na tukilinganisha na makosa ya viongozi waliopita

  Mpaka sasa sijaona kosa la kikwete alilolifanya toka ashike hatamu ya uongozi wa Tanzania, kuna kasumba tu zimeanzishwa na wafuasi wa chama cha chadema na viongozi wao ili wapate kumchafua JK na wameshindwa. Sasa wanatumia njia ya fujo na maandamano ili wamchafue kama walivyochafuka viongozi...