Search results


 1. kichaa msafi

  Ni watu wa aina tatu tu ndio wasemao ukweli daima

  Nisiwachoshe wakuu kama mada isemavyo,kuna makundi matatu ya watu wasemao ukweli daima nayo ni; 1. Vichaa: hawa watu ukisikia wanakuambia kitu usikipuuze huwa hawana desturi ya kudanganya japo watu wengi tunawapuuza sana siku zote. 2.Walevi: Hawa nao wanaingia kwenye kundi hili pale wanapokuwa...
 2. kichaa msafi

  Sitaisahau siku hii ya Alhamisi

  Habari zenu waungwana, Hongereni kwa kazi na poleni kwa ukata tulionao. Nije kwenye mada, mwaka 2010 mwezi wa 12 tarehe 23 siku ya alhamis pale Dodoma nilipatwa na tukio moja lililoniacha kinywa wazi. ilikuwa hivi, nimetoka zangu chuo udom nikapita homu makole ndo nilikopanga, nikaweka baadhi...
 3. kichaa msafi

  Naomba kujuzwa faida nyingine ya nguruwe zaidi ya kula nyama

  Kama kichwa cha habari kisemavyo. Kila mnyama ambaye anafugwa na binaadamu anafugwa kwa faida zake, na matumizi yake hayajifichi. Mfano. 1.Paka ni kukamata panya 2. Kuku,kanga na bata kula nyama na mayai pia 3.Mbuzi, ngombe,na kondoo, ni nyama,maziwa na mafuta 4.Mbwa kutusaidia ulinzi na...
 4. kichaa msafi

  Nakupenda lakini umechelewa

  Nisiwachoshe wakuu, Ipo hivi wakati naishi hapo Dar kabla sijaja huku kwa madiba kutafuta maisha nilikuwa na mpenzi, na tulipendana sana na tulikuwa na mipango mingi sana ya kuja kuishi pamoja na kuanzisha familia, na hata baada ya kuondoka hapo mawasiliano yalikuwepo tena sana ilikuwa haipiti...