Search results

 1. Kibona

  Shule zenye ada ndefu zaidi Tanzania

  Hizi shule hazitumii mtaala wa kitanzania, kwahiyo huwezi kuziona kwenye orodha ya Necta tuliyoizoea.
 2. Kibona

  Namuunga mkono Spika Ndugai, ujenzi Bandari ya Bagamoyo uendelee

  Kwasasa simwamini kikwete, Magufuli wala Ndugai. Ninachotaka ni mkataba uwekwe wazi ili tujue nani muongo nani mkweli.
 3. Kibona

  Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

  Haya ndio madhara ya kuongoza watu kidikteta, siku umeondoka watu wanaanza kuongea wanachokiamini ambacho ni tofauti ni ulichokuwa unawalazimisha wafanye. Lakini ni funzo pia kwa nchi hii kuwa vetting system haifanyi kazi na matokeo yake ndio haya utawala umejaa deadwoods kibao wasio kuwa na...
 4. Kibona

  Who owns East Africa?

  Kweli kabisa ndugu yangu Chamoto, nilisha badili mawazo kitambo. Sasa hivi naona kabisa kila nchi itatue matatizo yake. Tushughulikie matatizo yetu kwa nguvu, mambo ya kuungana tuachane nayo kabisa, yatatuletea matatizo makubwa.
 5. Kibona

  Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

  Mie watoto wangu hawatasoma shule yoyote ya serikali as long as niko hai. Na hata chuo ntahakikisha hawasomi Tanzania.
 6. Kibona

  COCO BEACH: From City Dump to Paradise. A design proposal for a public Beach in Dar, Tanzania

  Mmmh!!! Ndugu, umeelewa hoja ya hawa waandishi? Mie mbona naona hoja yao inahalalisha Manji kupokonywa hiyo project!
 7. Kibona

  Serikali yapiga marufuku shule binafsi kufanya mitihani ya kuchuja wanafunzi

  Tanzania bado ujamaa unatusumbua. Sioni sababu kwanini serikali inaweka vikwazo vya ajabu ajabu kwa shule binafsi. Kama mwanafunzi na mzazi wake hawataki kuchujwa, si aende kwenye shule za serikali zisizokuwa na mchujo? Yaani serikali inataka shule binafsi ziendeshwe kama vile za serikali, kwani...
 8. Kibona

  Warusi Wageuziwa Kibao na Kuvuliwa Nguo Kweupe!

  Umenifurahisha sana, hebu fikiria mtu anasema kirahisi tu kuwa US akibaki peke yake atapigwa na Russia. Hii naona ni wishful thinking tu, sidhani kama watu hapa wanajua uhalisia wa wanachoongelea.
 9. Kibona

  Tetesi: Wakenya wanataka waruhusiwe kufanya kazi Tanzania bila Vibali, rais asikubali

  Walio wengi wanaishi kama wahamiaji haramu mkuu, na Marekani haina mpango wa kuwaruhusu kufanya kazi bila vibali wamexco. Kwahiyo mnaojaribu kutushawishi kuwa Tz iondoe work permit lazima msupport na hoja za msingi. Hakuna taifa lolote linalotaka kuruhusu wageni kujiingilia kiholela kufanya kazi...
 10. Kibona

  Tanzania yajitoa katika mpango wa Visa ya pamoja Afrika Mashariki

  Msimuonee Kikwete, yeye ndio aliyewapiga pini wakenya mpaka wakaamua kuanzisha CoW. Kwahiyo hapa magufuli anaendeleza tu lakini kikwete aliwadhibiti.
 11. Kibona

  Msimamo wa Rais Magufuli na Tanzania kwa Ujumla Suala la Syria na Urusi

  Siku hizi dunia imebadilika sana, Mwalimu Nyerere alikuwa anafanya yake wakati wake na ilifanya vizuri. Lakini kwa Sasa hivi watu wako bize kutafuta namna ya kujenga ma-value chain ya kibiashara au kutafuta namna ya kujichomeka kwenye yale yaliyopo tayari. Sasa ukileta upendo wa mshumaa...
 12. Kibona

  TANZIA: Aliyewahi kuwa Meya wa Dar, Dr. Didas Massaburi afariki, Rais atuma Salamu za rambirambi

  Duh kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Huyu Didas si alisema Lowassa hatamaliza wiki!! R.I.P Masaburi.
 13. Kibona

  Ziara ya Mfalme wa Morocco Mohamed wa VI nchini 19-23 October, 2016

  Kaona Ulaya hawamwelewi kaamua kugeukia Africa. Baada ya jeuri ya miaka mingi kaamua kutafuta kampani ya masikini, na kwa kuanzia anatafuta mlango wa kuingilia AU.
 14. Kibona

  Tanzania yajitoa katika mpango wa Visa ya pamoja Afrika Mashariki

  Hoja anayotoa Balala kuwa Tz imejitoa kwasababu inaogopa ushindani kutoka Kenya ni mwendelezo wa upumbavu wa wakenya dhidi ya Tz. Balala amesahau kuwa Kenya ndio iliyojitoa Kwanza kwenye jumuia ya Kwanza ambayo ilikuwa imefika mbali zaidi kuliko hii. Kama wakenya wanaamini ktk umoja mbona...
 15. Kibona

  Tanzania kukataa kuweka saini EPA ni pigo kwa Kenya

  Mie sioni shida hapo, Tanzania tumeangalia maslahi yetu na si ya Kenya. Kenya nayo ilikuwa inapush hiyo EPA kwa maslahi yake na sio ya Kenya. Mie nilikuwa naupinga vibaya mkataba huo maana hauna tija zaidi ya kuja kutuulia viawanda vichache vinavyojitokeza. Na kwa kuwa sie ni moja ya LDCs bado...
 16. Kibona

  Rais Museveni: Mradi Bomba la Mafuta ghafi, utapita Kaskazini mwa Tanzania hadi Bandari ya Tanga

  Hongera sana Magufuli na wote waliowezesha bomba kupitia Tanzania. Maendeleo yanaletwa na miradi kama hii. Unapokuwa na miradi mingi kama hii unachochea ukuaji wa kiuchumi na pia ushawishi wa kisiasa na kiuchumi nao hukua.
 17. Kibona

  Tanzania opposes AU intervention force in Burundi, pushes 'political solution'

  Mie nadhani washauri CoW waache kusupport vikundi vinavyoleta vurugu Burundi maana issue ya term limits ilishavunjwa hata na Museven na kagame. Kazi yetu watz ni kuhakikisha tu kuwa nkurunziza anamaliza miaka mingine mitano bila kuondolewa na CoW.
 18. Kibona

  Ukaguzi wa vyeti feki Serikalini umeanza rasmi, waanza na Walimu

  Wasisahau orodha ya kainerugaba msemakweli
 19. Kibona

  Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

  Pamoja na hayo mengi yaliyosemwa; Dr. Magufuli afute permanent employment, kuwa na ajira za mikataba tu hii itaongeza sana ufanisi wa wafanyakazi.
Top Bottom