hapo sijuwi, lakini simu kama iphone huwezi kupata imei (njia rahisi ya *#06#) bila sim card. tatizo sio software mkuu labda kama wewe unajua ulijaribu kufanya modifctn yeyote ile hadi umepoteza imei
pole mkuu,
kuna ndugu yangu alikuwa anatatizo kama lako. alifanya kila ishu ya ku factory na hata ku root.
tatizo hapo ni wewe uliweka line (sim card vibaya), vipini vya kusomea line havigusi bati ya dhahabu ya sim card vizuri.
nilimtengezea ndugu yangu kwa kunyanyua vipini vya simu (sim...
Battery saving mode mfano kwa simu au computer hupunguza mwanga wa screen na inafanya simu au computa iwe ina run vitu kwa spidi ndogo ambayo itakusaidia kupata masaa zaidi kwenye kifaa chako
nashindwa kuicha opera kwenye simu. yaani yoka nokia symbian hadi leo bado najikuta ndio default browser. nadhani ni mazoea tu lkn ki ukwel8 browser zingine zime improve sana.
jaribu kubadilisha acces point
nenda settings,mobile network, access point, bonyeza menu button tengeneza new, alafu jaza kwenye apn internet na apn name andikainternet kisha save.
it download safi kabisa
heshima zako mkuu!
nimefurahi na kusikitishwa pia kwa ufafanuzi ulioutoa hapa juu.
nilichofurahi ni kuwa ume juwa kuwa kuna ugonjwa wa "Ku-Generalize" kama ulivyosema, kwa hili si pingi kabisa!
kilichonisikitisha hujaangalia upande wa waislamu, kwa hilo si kulaumu lakini kwa mdadisi na...
ningependa mada moja kwanza, ya ugaido na CIA tufunguwe uzi mwingine.
mzee mohamed na kaka yangu nyerere naona kwa mwendo huu tutaelimika kwa urahisi zaidi.
mzee wangu kwa heshima zote, sioni umuhimu wa kuendelea kupeana ilmu hapa kwenye thread hii. tufungue nyingine uzidi kutuelimisha. mungu akulipe na akupe subra ya kuvumilia njama zao.
mtu yeyote aliyesoma hapo juu hahitaji ilmu yeyote kujua nia yako. Unachuki na waislamu na mungu wao bila kujua kuwa huyo mungu kuna wakristu na mayahudi wanamwita kwa jina hilo hilo.
Tuombe radhi waislamu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.