Search results

 1. M

  JK's 8 Days Iringa Tour

  anajidanganya tu kuhusu mambo muhimu kama EPA na mengineyo lazima atayatolea tu maamuzi awe anapenda ama hapendi , safari hii rafiki zake wanaomsifu wamegoma kutoa pesa lazima atajitosa tusubirie muda tu, hakikia mheshimiwa lazima achague kusuka tuuuuu
 2. M

  Meremeta & TANGOLD Revealed!

  hakuna mtu aliye serious hapa Tanzania cha maana huyu waziri mkuu wapinzani waje na hoja ya kumshtaki kwa wananchi kama alivyofanya slaa naona hii ndio dawa . lakini kwa aliyosema leo naye naona historia itamuhukumu kwa kusema uongo bungeni. mahandaki ya Buhemba ina maana wamefukia mabomu...
 3. M

  The Radar Scandal: Investigation & Progress

  Jamani chenge tayari ametajwa na wanashughulikia sasa hawa waliopewa tuwatafute ili tuwamalize serikali wakose pakufichia uovu hebu wanaowajua watoe wasifu wao ili tuwamulike waliko watueleze walilipiwa nini na kwa kazi gani. huyo wa salamander ndiko chenge alikoiba kwahiyo aliwapa hakika...
 4. M

  Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

  mimi simpendi sana RA lakini kama amefikia hatua ya kutaka kuwaambia aliwatumia kufanikisha mamabo yake bungeni kuwa ni wababaishaji ningefurahi sana angepewa nafasi hiyo maana ingekuwa bora sana kama wabunge wangekubali kuwa kikulacho ki....., maana sisi tukiwaambia wabunge wa CCM ni...
 5. M

  Mkataba wa TRL (TRC)

  jamani jamani hivi kuna hitaji waziri mkuu ashangae mushkeli wa mkataba chenge si yeye na kikwete ama kuna ufundi wa maneno umetumika tena hapa? pinda anajikosha hana lolote! nawambia watanzania huu mkataba ni hovyo kuliko yote ili muamini hilo sasa pesa zinamwagwa juu ya capacity charge ya...
 6. M

  Mkataba wa TRL (TRC)

  Huu ni uhuni ambao huyu kasheshe hawezi kuuona leo atauona mpaka mambo yakiharibika. waziri mkuu wakati wameingilia kati mgomo wakaahidi kulipa pesa za mshahara kwa kiwango hicho leo anarudi kuwapa pesa za kulipa makubaliano ya kwanza yalikuwa hayajulikani ama walikuwa hawajui zitakazolipwa...
 7. M

  Finally, they are telling us.. !!

  sio mawazo ya "kijinga" mimi nina hakika zaidi ya asilimia 100 ni kweli wasomi waliopewa nafasi ndio chanzo cha umaskini wa afrika hasa Tanzania. mfano; wamezindua regulatory authority nyingi sasa hivi ,EWURA, SUMATRA n.k umewahi kujiuliza EWURA wanakata asilimia ngapi kwenye bili za wateja wa...
 8. M

  Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

  naomba kujulishwa kuhusu nyumba anayoishi sasa sitta nasikia ni ahsante kapigwa mshiko kafyatua ghorofa! kwa kuwasaidia wale waliokuja kuwekeza wakati akiwa bosi wa kitengo hicho. halafu mke wake maana anao wengi (magret)naye amejengewa shule kama ufisadi wake kwa kampuni ama kwa shukurani ya...
 9. M

  Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka

  maskini asiyejua hata kutengeneza gari haamini mtengenezaaji shame!!!
 10. M

  Bilioni 50 zinazodaiwa kurudishwa BOT kumbe changa la macho

  sasa tunaitaka serikali iwatoe ndugu zetu wote walioshikwa kuiba kuku ama makosa madogo yote kwa makubaliano ya wazazi nfugu na viongozi wa mtaa na masheha maana kesi zao hazihitaji waendelee kuhudumiwa na kopdi zetu huko na wakati wezi wakubwa na wahalifu wa uchumi wetu wamebagain hili ndilo...
 11. M

  Ufisadi mwingine wa TISCAN na TRA

  mimi nawahakikishia Mizengwe hawezi kitu kaingia kulinda makosa ya BWM hakika wadanganyika wengi wameonyesha kumshabikia huyu lakini ni chaguo la mkapa huyu amekaa IKULU kwa fadhila za huyu BWM anakwenda kuminya siri zote zisitoke bahati nzuri ni udhaifu wa kikwete ndio unatusaidia kupata nyeti...
 12. M

  Kubenea... Sali sala yako ya mwisho!

  mimi hii nchi naishangaa sana, mna habari hadi sasa kuwa kamanda wa Tibaigana anajiandaa kustaafu mwezi wa sita? huyu mzee anajua madhambi anayofanya yeye na wenzake kina mwema hao hapo polisi, huwezi kuwakamata wale walinzi eti ndio waliomwaga tindikali kwa hao kina kubenea huo ni uongo...
 13. M

  Kitendawili Prof. Sarungi,igogo Na Fedha Za Tacaids Na Makao Makuu Ya Wilaya Rorya

  hakika wote mnaobishana humu so what, nyererist na mchumia juani. nasikitika sana mbona mmeruka hoja kuu? hiyo KOSHIKA women group ilala ndiyo ina network kubwa Dar na UTEGI? nadhani kuna logic huu wivu mnaousema sio jibu. kama ni wivu wa kweli sio shida lakini kwanini waibe wakati kila...
 14. M

  Ditto Mwenyekiti mpya Bodi ya Korosho?

  halafu ndugu zangu mnajadili mada za humu ndani kizembe kweli! sasa ikija kuthibitika ni kweli huyu aliyeomba habari hii iwekwe katika nyepesi atajutia haraka zake? mnashangaa hilo wakati chenge amerudi katika baraza la JK? wadanganyika tuna mdudu wa kuamini watu sana, humu ndani kuna...
 15. M

  All about Edward Hosea, Mwanyika

  unajua nashsngaa sisi waTz mbona kikwete hahusishwi katika richmond??? nani mwenyekiti wa baraza la mawaziri? yapi yaliyopindishwa katika kikao cha baraza la mawaziri? kikwete alichukua hatua gani muda wote huo? kwanini kikwete alimuondoa yule mama mwakilishi wa IMF kurudi kwao ? kwanini...
 16. M

  Kenya Election 2007: Outcomes

  hakuna shida kufa kwasabbu ya kudai haki mbona sisi kwetu tarime tunauana kwa kugombea ardhi tu sembuse kuibiwa haki ya msingi ? mimi nawaamini wakenya kuwa sio watu wa kuogopa kitu na mtakuja kunishuhudia haya kibaki atakufa siku sio nyingi kama kila kitu kitaendelea hivi, zile tetesi...
 17. M

  Kenya Election 2007: Outcomes

  kalonzo hana kitu anabakia kulialia wakati nayeye kwake ndio ameongoza anajitetea eti na wengine wamepata kura kwao wakati anasahau kuwa hao wenzake wana uwezo kumzidi ama ni ujinga usiojiweza kutathmini.
 18. M

  Ole wako Kikwete ukileta usanii report ya BOT

  nyie humu ndani bado mnatuletea upuuzi hivi rais aliyechaguliwa na wananchi mnataka tusimpe vitisho kwanini? naomba muwe werevu rais anakoromewa na raia bila kujali hali yake rais ni nani kwa raia wewe? kikwete anawajibika kwa upumbavu wote unaofanyika bila kujali ujinga wake ni gharama kwa...
 19. M

  Kenya Election 2007: Outcomes

  ahsante sana K-T, kwakweli umekuwa current ni hakuna mfano hata vyombo vyote vya habari tunazozipata ziko nyuma yako lakini kila tulichonacho ndio nao wanarudia tu hakika source unayoitumia ni neutral na inafaa kuhudumia wananchi, viva JF. pumzika kisha urudi hapa tunakuhitaji kwa kazi kubwa...
 20. M

  Kenya Election 2007: Outcomes

  hongera raila you keep wanna!!! hongera tena sana sasa njia yetu iko nyeupe kibaki hakika akishinda kuna mkono wa mtu!!
Top Bottom