Namuunga mkono Waziri
Waziri ni mtekeleza sera, na kuwa na vision.
Waziri amejua tatizo la slums linatokana na Nini! Hivyo ni juu ya watendaji wa Wizara kutekeleza vision.
Kuna mtu ameuliza je masikini wataweza? Majibu ni kuwa wataweza!
Halmashauri na manispaa mara nyingi Huwa na akiba ya...
Ilani ya CCM ni kuwa na watalii 5 Mil by 2025
Hata wapike data namna Gani, hawatafika hiyo namba.
Muda ni huu, wa kufanya maamuzi magumu, na kutenda... Tayari Rais ameonyesha njia, !
Inatakiwa Waziri wa Utalii, akutane na wadau wa Utalii, Tour Operator, na TANAPA, halafu kuwe na uamuzi...
Hakuna kitu, ni wizi tu wa EWURA
Yule mbunge alisema kuna kikundi Cha watu Serikalini, na Wizara ya Nishati, Tpdc , EWURA...wanapiga Dili
Mafuta yameshuka Bei, Russia anauza mafuta Bei rahisi mno...
Na kununua mafuta Russia huwezi kuwekewa vikwazo, maana hata Ulaya wananunua gesi huko...
Kweli kabisa, Serikali inayo matumizi ya anasa....
Badala Serikali kubana matumizi, Serikali inakamua wananchi...mara Tozo, mara Kodi, mara Mafuta...
Kila Lita Moja ya mafuta, Serikali unachukua Shs 800 .
Kwa Nini Serikali isitoe hapo Shs 200 tu Kwa Lita?
Halafu ikapunguza Posho za maafisa...
Vita ya uchumi, ni kwenye Chakula na mafuta.
Serikali ifufue TIPER, ni kiwanda Cha refinery ya crude oil. Tena TIPER ifufuliwe haraka mno, tununue crude oil, na kusafisha wenyewe, na kuweka akiba .
Kila Kanda iwe na Reserve...IRINGA/Mbeya, Mwanza, Tanga, na Mtwara.
EWURA ni waongo
Wanasema...
Tatizo la Serikali ya Tanzania ni matumizi makubwa, ya Anasaa
Kama Vita ya Ukraine ina athiri uchumi, Kwa Nini Serikali isibane matumizi, kupunguza Posho, kupunguza matumizi ya V 8
Imran Khan amesahau historia, wakati Pakistan unapigana na India, USA na UK walimsaidia Pakistan.
Russia walimsaidia India
Unaona India amesimama na Russia...Yes
Hili ni jukwaa, hivyo ukiandika upotoshaji...ukosolewe
Unaandika kitu kujustify wizi, na madili ya kupandisha Bei stock... everybody knows your intention
Upotoshaji
Waziri wa Fedha, anakazania tu miradi miradi, anakwepa Ukubwa wa Serikali, na Posho zao, anasa zao na V 8 zao.
Serikali ipunguze matumizi ya anasa
Miradi inaendeshwa Kwa mikopo
Mmeweka Tozo, za Kijenge barabara, hospital..na mkakopa tena
Sasa umeandika Nini hapa? Hii ni bla bla tu ...Sihitaji kuelewa bla bla
Lete solution , proposal ya kupunguza Bei ya mafuta
Ukileta hesabu zako Zina Faida gani Kwa jamii?
Wakifumuana ndio nafuu Kwa Watanzania, tujue madhambi ya watawala...Bila kujali ni lini wamefurumua...KATIBA MPYA ni muhimu
Yaani wanakalia ardhi kubwa, akina Mkapa, Mwinyi, Sumaye...mpina, na wengine...kisa wanayo vijisenti walivyokula rushwaa!
Badala ya kulima Alizeti na Karanga, mafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.