Asante kwa ushauri mkuu. Sijapuuza utaalamu, kuweka humu ni hatua ya kupanua mawazo Kwanza kabla kuendelea na hatua za kitaalamu.
Unapokutana na mtalamu huku na wewe una walau abc, una nafasi nzuri ya kumfanya achangamke tofauti na ukiwa tiara tu.
Mnapojadili msichanganye connection na Rushwa. Connection inaweza kuwepo bila Rushwa. Unapozungumzia connection unapaswa kufahamu ilikuwepo, ipo na itakuwepo milele na milele. Vitabu vyotee vya dini tunazoamini connection zimo za kutosha. Wapo wanafunzi wa Yesu walipata mchongo huo kwa...
Dah! Mimi huwa si muumini wa kuuliza mambo ya estimated cost huwa naona ni kupoteza muda, muhmu ni kuanza na ulichonacho tu. Nikimaliza ndo ntawaeleza wengine nimetumia sh ngapi....hahaaa
Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....
Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza fanya nyuma pakawa mbele na mbele pawe nyuma ipi itakuwa ni busara zaidi?
Pia naomba kufahamishwa...
Zimekuwepo taarifa kutoka kwa mashabiki na wanachama wa club ya Yanga wakishawishi na kutaka sana ndugu Hers agombee urais wa Yanga.
Nafikiria hivi hawaoni mgongano mkubwa wa kimaslahi iwapo kweli Injinia Hersi akiamua Kugombea na akawa Rais!!?
Kvp!!? Hers ni sehemu ya wafadhili wa sasa wa...
Ndugu omba hizo nafasi za jeshi utakuja kunikumbuka mchango wangu.
Nilikutana na nafasi kama yako, nilipata nafasi ya kujiunga chuo pamoja na nafasi ya kwenda jeshi la polisi. Nilichagua kwenda chuo baadhi walienda course ya polisi. Hivi sasa toka nimemaliza chuo Nina miaka saba jobles...
Leo asubuhi katika kusikiliza vyombo vya habari nimesikia taarifa ya kibali cha ajira ikiwemo za utendaji kimetolewa.
Naomba kufahamu kwa wenye kufahamu hizi ajira hutolewa kwa mfumo upi na hutumia mchakato gani?
Kwenye kuchagua mkoa napata machaguo vizuri ila kuanzia wilaya, halmashauri, jimbo, n.k machaguo hayaji na nikiandika kwa kawaida hayakai. Vipi shida ni nini hapo? Nifanyeje kuendelea??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.