Search results

 1. K

  Airtel money na tigo pesa tatizo

  Siku ya Jumatatu 16/feb/2015 nilimtumia mtu pesa kutoka katika akaunti yangu ya airtel money kwenda kwa akaunti yake ya tigo pesa, pesa haikufika kutokana na maelezo yake ingawa kwangu sms ya pesa kutoka nilipata. Niliwapigia wakasema imeingia direct kwenye tigo pesa account yake, still jamaa...
 2. K

  Unyanyasaji wa kutisha kwa mtoto Nasra mkoani Morogoro: Aishi kwny box kwa miaka 4!

  kama mtumishi wa umma anatakiwa kuheshimu haki za binadam,,,,,kwa hili amekiuka bora afukuzwe kazi ikiwa wakwake tu amemshindwa je wengine atawaweza?
 3. K

  Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

  Mwenye kuku au anayefahamu wapi naweza kuwapata pls tuwasiliane namba 0655 486 486
 4. K

  MV magogoni

  jamani hili la matangazo ya airtel na mganga wa tiba asili badala ya KUTANGAZA JINSI YA KUJIOKOA,JINSI YA KUTUMIA MABOYA NA LIFE JACKETS wakati inapotokea dhoruba baharini limekaaje?au ndo mambo ya 10percent?SUMATRA PLEASE SAIDIENI KTK HILI
 5. K

  Rostam Aziz aachia ngazi CCM

  Msukumo huo si mwingine bali ni ule wa kuamua kuachia nafasi zangu zote za uongozi ndani ya chama, nikianzia na ile ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa nikiuwakilisha Mkoa wa Tabora na hii ya ubunge wa Igunga ambazo kama si kwa baraka za chama changu nisingelikuwa nazo.
 6. K

  Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

  no matter TALL or SHORT what they need is MIKITO YA UKWELI mpaka wapige bao moja au zaidi na kuhisi kuzimia kwishney.......
 7. K

  Msaada wa mafao ya kustaafu

  msaada tafadhali wa wapi pa kuanzia,muhusika ni babu yangu alikuwa halmashauri ya wilaya ya iramba,anasema anazo document zote ingawa amezisahau singida kwani yeye tukonaye hapa dar kutokana na kuumwa.kama inawezekana tuziagizie ziletwe kisha afanye process zote hapa dar ndo maana naulizia...
 8. K

  Ipe maneno picha hii

  Ntafute nkupe mikakati ya enzi za mwalimu.....
 9. K

  Upanuzi wa bandari upande wa kigamboni

  jana wamemaliza kuweka mipaka ya ekari 100 kutokea baharini kuanzi mbuyuni kama unaelekea vijibweni,pia kiwanda cha gesi kimepitiwa na program hiyo.sasa ndo kusema bandari wanafuata hiyo rama ya mji mpya ama bado implementation haijaanza?
 10. K

  Upanuzi wa bandari upande wa kigamboni

  Ijumaa iliopita Wajumbe wa baadhi ya Mitaa ya VIJIBWENI walikutana kujadili upanuzi huo,na jana walikuwa wanakagua mipaka bandari itakapoishia. je program itakayo chukua muda gani mpaka kuhamisha wakazi? je Mafao wanazingatia VITU GANI nafikiri mfano mzuri tuchukulie waliohamishwa kurasini, Vitu...
 11. K

  Kumpoteza mtu unayempenda!!

  pole sana mpendwa, wanaume wanachukizwa na vitu fulani fulani vinvyopelekea kuachana na wapenzi wao..mtafute hata kupitia mtu mwingine akueleze sababu ya KUKUACHA, Ninauhakika ipo sababu huwezi achwa bila SABABU,tafadhali mtafute atakueleza pengine hapo mwanzo HUKUMSIKILIZA ndio maana KAKUACHA...
 12. K

  Augustino Lyatonga MREMA, Namvulia Kofia

  Hivi MREMA ameshawahi rudisha kadi ya CCM? ni lini au wapi? Kwanini anataka UENYEKITI kila anakohamia wakati ni suala la wanachama kumchagua ama la? Huu kweli sio u-double agent kweli jamani?
 13. K

  Augustino Lyatonga MREMA, Namvulia Kofia

  Hivi mrema ameshawahi rudisha kadi ya CCM?WAPI NA LINI? Kwanini anataka awe MWENYEKITI kila anakohamia? Hii sio dalili za double agent kweli?
 14. K

  Utamu wa penzi ni yale maugomvi - aisee

  kwa wastaarabu ndo mwanzo wa kuliboresha ili usijemkosa mamsapu ama mume kwa ajili ya maisha yako,familia kwa ujumla........... kwa wasio wastaarabu ndo imetoka as wife ataona kuwa hakuwa kwenye right choice while mume ataona kwanini apate usumbufu ikiwa wanawake wapo wengi.......
 15. K

  Utamu wa penzi ni yale maugomvi - aisee

  kwa wastaarabu ndo mwanzo wa kuliboresha ucjekosa laaziz wako na wtu kukushushia hadhi ktk jamii kwa wasio wastaarabu ndio imetoka hiyo wife atabase kuwa alikosea kuwa na wewe wakat kidume kitaona yanini haya matatizo wakat viburudishio vipo kibao tena cheeeap
 16. K

  Kakamatwa live!!

  awe mpole za mwizi 40,kama jamaa hana hiyo tabia inawezekana labda ni rafiki yake aliazima hiyo kamera na kusahau kudelet hizo bad pic
 17. K

  Mv magogoni kulikoni?

  Hii pantoni tangu imezinduliwa hata mwaka bado kasi yake imepungua sana. Mwanzoni tulitumia dk 5 kufika magogoni au kigamboni sasahivi ni dk 15 kwanini?au kunatatizo gani lisijeleta maafa jamani
 18. K

  Maximo hata tukiwafunga Ivory Coast hutapona

  kakalende hivi kipingu si alishawahi anzisha hizo academy?sasa hivi yuko BMT but nothing why au creativity yake imeisha?
 19. K

  Maximo hata tukiwafunga Ivory Coast hutapona

  hizo pesa anazolipwa zitumike kuanzisha hizo sports academy kwa watoto ikiwa wakubwa hawafundishiki
 20. K

  Msaada Kwenye Tuta Jamani: Ni Vizuri Kulijua Hili Kabla ya Kuingia Kwenye Ndoa?

  nafkiri kwakuwa hawezi kubeba mimba..... hapo vipi penny?
Top Bottom