Search results

 1. MVUMBUZI

  Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

  Mfumo wa anga kwa maana ya anti- aircraft missile system lakini siyo mfumo wa kupambana na Balistic missile.. Master of Air superiority kwa maana ya nchi yenye uwezo mkubwa wa jeshi la angani bado ni Israel. Pia mfumo wa kisasa wa kupangua ballistic missile kwa kutumia battery aina ya Arrow.
 2. MVUMBUZI

  Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

  Sisi tunatumia intensive agriculture. Kilimanjaro Eneo dogo high technology then chakula kingi. Ninyi mnalima ekari 5 za maharage unavuna debe 1 tu.
 3. MVUMBUZI

  Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

  Unachoongea hapa ni pumba tu na sijajua dhamira yako ni kuelimisha au ku portray uwezo wako finyu wa kufikiri.Ninyi ambao hamzalishi mazao kwetu ndio wengi ombaomba. Inasaidia nini kuwa na mji wenye magorofa halafu mna upungufu wa chakula
 4. MVUMBUZI

  Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

  Kama fedha ipo itabidi muwalipe pamoja na riba maana kama itabidi wainngie mkataba mwaka huu 2022 bei za pembejeo zimepanda karibia mara mbili . hiyo difference inayotokana na inflation mnaifidia vipi.
 5. MVUMBUZI

  Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

  Yaani statement kama hii ni ya kisiasa mno. Hawa watu mnawasaidiaje maana nina wasiwai kama wataingia mkataba mwingine. Fedha ipo ?
 6. MVUMBUZI

  Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

  Hii haina tofauti na hosegirl kunywa maziwa ya mtoto. Serikali inatakiwa iwashughulikie viongozi wa ASA na ikiwezekana iwaondoe
 7. MVUMBUZI

  Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

  Watu binafsi wametumia mitaji yao kuzalisha lakini taasisi ya serikali inawadhulumu?
 8. MVUMBUZI

  Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

  Hii ni sabotage kufifisha juhudi za sekta binafsi kushirikiana na serikali
 9. MVUMBUZI

  Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

  Ameutaja mtandao wa kudhulumu fidia na pia ametoa email ili kutoa ufafanuzi ni vema haya yasipuuzwe
 10. MVUMBUZI

  Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

  Kinachoandikwa inaonyesha ni kweli maana huwezi kuwa na bifu na watu wote hao
 11. MVUMBUZI

  Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

  Mwendee inbox maana aliyeandika anajitambua sana soma between the line
 12. MVUMBUZI

  Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

  Kuondoa uongozi wa juu ni chachu tu ila mizizi imeachwa huku chini naomba sana vilio vya wanachi visikilizwe
 13. MVUMBUZI

  Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

  Kuna mtandao uko TANESCO uatakiwa uondolewe kabisa
 14. MVUMBUZI

  Kusoma Masters na PhD UDSM ni kutafuta ugonjwa wa moyo

  Chuo Kikuu Huria internal supervisor anakaa na kazi yako miezi 4 na External supervisor anakaa na kazi yako miezi 6
 15. MVUMBUZI

  Arusha Ushoga na Usagaji umeshamiri hadi Bar za kuuza mashoga zipo

  Eti mtu anakuja Arusha week mbili anaandika repoti chafu hivi. Mbona sisi wenyeji ndio kwanza tunapata hizi taarifa?
 16. MVUMBUZI

  Makongoro Nyerere jifunze kutoka kwa Chalamila, punguza Masihara

  Waache kuabudu teuzi that is the right sentence to use. Mbona sisi tunaendelea kuishi na hatuko kwenye teuzi bana?
 17. MVUMBUZI

  Makombora ya Yemen sasa yana uwezo wa kuipiga Israel

  Mwaka 1948 mara tu baada ya Israel kutangaza uhuru wake waarabu kwa umoja wao walitaka kuifuta Israel ikiwa changa kabisa. Kama una majibu kwa nini hawakuweza na badala yake wakapigwa wao usishabikie usichokijua. Soma historia ndiyo utajua hata Iran ikileta ujinga itapigwa tu.
 18. MVUMBUZI

  Jenerali Ulimwengu: Wazalendo wote wanatakiwa kumuunga mkono Rais Samia

  Nampongeza Jenerali kwa hii insight. Wakati tunaendelea kumpongeza Samia ku de-Magulify vitu lazima umuhimu wa Katiba mpya upewe kipaumbele ili rais apunguziwe madaraka ya kufanya atakavyo. Strong institution lazima ianzie kwenye katiba imara. Tanzania Rais anaweza kuchezea Katiba na...
 19. MVUMBUZI

  Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

  Hawa viongozi wa Tanzania wamezidisha Recycling mpaka inakuwa obsolete. System ya serikali miaka nenda rudi ina recycle watu walelwale walioharibu miaka ya nyuma. Ni vema wakaibuliwa watu wapya wenye mawazona mtazamo mpya
 20. MVUMBUZI

  Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

  Kama hajakipenda si anaacha tu akalime ? huo ni utumishi wa umma lakini kama anachukulia kama ulaji basi ataona kashushwa.
Top Bottom