Mtambuzi;
Hongera kwa kutuletea kesi kama hizi - utadhani murder za smoking gun!
Ila tusisome tu kama hadithi.Tujaribu kuibua mafundisho humo ndani na nitaanza kama ifuatavyo:
MTM kasema adui wa mwanamke ni mwanamke. Nakubali kabisa. Wanawake wenye kuchukua waume za watu kwa nyodo nadhani...
Akubali kuwa kakosea yaishe.
Kukosea ni kawaida ya binadamu na ndio kujifunza.
Kwani mtu mzima akikosea si inaeleweka?
Sasa mlitakaje jamani? Mtu mzima yeyote awaye yule anaweza
kuona " mtu mzima mwenziye kaumbuka".
Hebu tujifanye tumeshaelewa na tumsamehe.
Vyovyote ilivyokuwa, ukweli anaujua...
Kuna mtu kazaliwa na "uwaziri"? kwani wakiondoka/ondolewa itakuwaje? wanang'ang;ania nini?
Kwanini watendaji wakuu wakasimamishwa mara moja ikiwa mawaziri wanatetewa? Kwanini Pinda hakuwatetea watendaji wale? Huoni basi hapo kuna kasoro kiutendaji? Double standards za nini bana?
Pinda...
Sasa wewe unajibu nini?
Mwenzio anaongelea "ukweli" kwamba Tanzania tuna shida ya makazi bora/mazuri - ambayo tungetaka tungeweza kuwa nayo! Wewe unajibu na kuringia uzuri wa sura - kitu ambacho wewe au mimi hatuna uwezo kukibadili.Uzuri wako hauleti maendeleo yoyote.Ubaya wao kama upo ( natia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.