Biashara ya mtandaoni ni biashara yoyote inayotumia mtandao wa intaneti kuuza, kununua na kutangaza bidhaa au huduma.Kutokana na ongezeko la matumizi ya intaneti sasa hivi Duniani kote bidhaa mbalimbali zinauzwa, zinanunuliwa na kutangazwa kupitia mitandao ya kijamii na tovuti.Hapa nchini...
Uvumilivu ni ile hali ya kustahimili machungu.Mtu yoyote ni lazima ajenge tabia ya kustahimili machungu,kwenye kuvumilia ndipo uzoefu wa kufanya kazi kwa mafanikio unakopatikana.Uzoefu ni hali ya kukaa na jambo au kitu kwa muda mrefu. Kwenye ujasiriamali uzoefu ni jambo kubwa na la muhimu,ili...
Hapa nchini kumekuwa na mauaji mengi na kujeruhiana kati ya wapenzi .Taarifa ya kufunga mwaka ya 2020 ya Jeshi la polisi nchini inaeleza kwamba idadi kubwa ya matukio ya mauaji kwa mwaka 2020 yalikuwa yanahusiana na sababu za wivu wa mapenzi ikilinganishwa na sababu nyingine.
Pia jeshi la...
Wanasiasa wote Duniani muda wote hufikiria madaraka,kwenye madaraka hawana mchezo wanaweza kufanya lolote ili kupata madaraka au kukumbatia madaraka yao.Ni siasa za kuchumia tumbo,wanataka au wanakumbatia madaraka ili yawanufaishe wao,kaya zao au ndugu zao na si vinginenyo.
Wote wanasiasa wa...
Uzi mzuri kwa mustakabali wa mabinti wa Kitanzania.
Pia wasichana wanaopata ujauzito warudishwe shule za kawaida wasipelekwe FDC ,si kila wilaya ina FDC.
Si kweli hata hao makamishna wengine wanateuliwa na Rais
DG wa TISS Diwani Athuman pia ni kamishna wa Polisi siku akikutana na Musa yule kamishna aliyekuwa kamishna wa Polisi Zanzibar Diwani atabana mikono (atapiga saluti) Kamishna Mussa ndiye kamishna mkongwe wa Polisi.
Hiyo ni style yake ya uandishi,ni nzuri sana anakuhamisha msomaji kifikra unajiona na wewe ulikuwa Dubai,ulikuwa kwenye ndege iliyobeba mwili wa mwalimu nk.
Unaweza kuona anajimwambafai lakini si kila mwandishi anaweza kuandika hivyo,hicho ni Kipaji Cha kipekee.
RIP Balozi Abbas Sykes,naona...
Si kweli ulivyosema baada ya IGP yeye ndiye anayefuata Polisi kuna makamishna wengine kama kamishna wa intelegensia,kamishna wa utawala,kamishna anayehusika na masuala ya operesheni, kamishna wa upelelezi,kamishna wa Zanzibar,kamishna wa Polisi jamii.
Hao wametangulia kuwa makamishna (seniors)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.