Search results

 1. Escobar

  Nimetazama Mapokezi Ya Diamond Nchini Gambia, hakika nimeona ni somo kwa Wasanii

  Gambia ni nchi yenye watu 2,417,000 sawa tu na raia wanaoishi viunga vya Tabata na Kimara hapa Tanzania. Sasa Tanzania tuache kazi zetu tukampokee yeye kwa lipi wakati kila siku tunagonga naye vyombo pale Element?
 2. Escobar

  Mwisho wa uswahiba wa Simba na TFF ndio mwanzo wa mataji ya ligi kutua Yanga

  Kati ya Ghalibu na Mo nani anapesa zaidi ya mwenzie? Kumbuka duniani hakunaga mtu bahili bali huwa ni suala la umuhimu tu wa wapi pesa itumike
 3. Escobar

  Simba wasusia kushiriki Mapinduzi Cup

  Uzuri ni kwamba simba kama timu hatupangiwi cha kufanya tunaamua wenyewe
 4. Escobar

  CEO wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo acha Kutumika na Yanga SC yako na GSM 'Kuionea' Simba SC yasije kukuta makubwa na usiamini

  Hana ushawishi huyo jamaa na kwenye hili atafeli vibaya mno. Simba haiishi kwa ruzuku za tff. Na ajue kuwa soka la bongo ni siasa na asisahau kuwa simba ilikuwepo kabla hata yeye hajazaliwa hivyo nikubwa mno asijusumbue hata kuitikisa maana hataweza.
 5. Escobar

  Si tuliambiwa GSM ataishia kwenye mabango? Imekuwaje tena nembo yake iwe kwenye jezi za Simba?

  Yaa Kuna kitu sijakielewa, hivi utopolo na GSM zote mali za Ghalibu? Maana miutopolo isiyo hata na hisa moja kwenye biashara za Gharibu imegeuka kuwa ndiyo misemaji ya GSM. Yaani ukidhamini yanga tu hadi mashabiki wote wanageuka kuwa vijana wako. Hii mambo inatoka wapi hii? Utopolo naomba...
 6. Escobar

  Mwalimu Nyerere aliona mbali madhara kuruhusu kabila kubwa kushika madaraka ya Urais

  Unaweza kutusaidia alisemea wapi kaka au kama ni kitabu ni kipi aliandika habari hii?
 7. Escobar

  Nimeshangaa nilipoambiwa matatizo yangu na babu nisiyemjua

  Siku zote wanaopigwa na hivi vijamaa ni wenye matatizo au tamaa. Angekuwa na uwezo wa kunyoosha maisha ya wengine aingepatikani kwa njia hiyo be careful vinginevyo utapukutishwa zaidi ya ulivyo sasa. Ni ushauri wangu tu lakini, unaweza kuuzingatia au kuutupa kule
 8. Escobar

  Tanzania bans Kenyan products even after truce

  Hawa Wakenya si ndiyo walianza kuzuia bidhaa kutoka Tanzania kuingia kwao? Sasa makelele ya nini? Si mkauze bidhaa zenu somalia na south sudan. Hapa bongo tu kila shule moja binafsi nusu ya walimu wakenya na ukitembelea hotel zote kubwa wafanyakazi kibao ni wakenya. Ni nani aliwaambia kuwa...
 9. Escobar

  Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

  1. Kuvaa mlegezo ni matokeo ya hali ngumu ya uchumi hivyo vijana wananunua suruali over size ili wakue nazo. 2. Kwako wewe ni kipi cha kukera na cha aibu zaidi, kumuona mwanaume akikojoa au akiwa umejikolea? 3. Kumsemea mbaya mtoto wa kike akikukataa ni sawa tu maana imesemwa if you cant...
 10. Escobar

  Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

  Mwambie aweke kijiti kwenye kwapa pale halafu asisahau kutumia kondomu
 11. Escobar

  Mwanaume wa dar ametuchekesha sana leo

  Haya matusi sasa. Kumbuka hata rais wako anaishi Dar na mashababi wote tuko Dar sasa unapotaka kugeneralise mambo haya siyo fresh kabisa. Huku sisi tunagonga tu awe wa hapahapa au aje wa bara au lije punga tunakung'uta tu. Habari iko namna hiyo msituchukulie poa
 12. Escobar

  Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

  Ndiyo nimesoma leo uzi huu. Contacts please Sir. Kama kupoteza nilishapoteza vingi
 13. Escobar

  Pata raba ya Adidas original

  Namba 46 unayo?
 14. Escobar

  Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

  Nyie wenyewe sometumes ndiyo chanzo cha kutukata stimu. Unashangaa nikichepuka napiga long range za kutosha tena at a reasonable time lakini nikija kwako ushajisahau kilakitu dakika kumi tu naziona kama wiki
 15. Escobar

  Ujumbe wa Sakayo

  Kupendana ni jambo jema sana na siku mkishindwana mnione maana kuwarudisha walio farakana ndiyo kipaji changu
 16. Escobar

  Mambo ya kuyaepuka ukitembelea nchi hizi

  Umesahau kusema kuwa usimiwambie mtu umenenepa au wewe ni mnene ukiwa Ujerumani. Pia hutakiwi kumwambia mtu umezeeka hata kama umri wake jua limezama hayo ni makosa makubwa sana kwa mila na desturi zao. Ni hayo tu
 17. Escobar

  Wapi nitapata tofali za kuchoma bora na imara?

  Ok sawa nilikuwa na majukumu mengine nikapotea kidogo. Nitakutafuta kwa details zaidi
 18. Escobar

  Ukweli ni kwamba Magufuli alikataa kata kata boti za Azam kwenda ziwa Victoria

  Inabidi ubadilishe majina kwenye topic husika
 19. Escobar

  Ukweli ni kwamba Magufuli alikataa kata kata boti za Azam kwenda ziwa Victoria

  Mbona Mwanza hakuna boti za AZAM? Hii habari unauhakika nayo mkuu?
 20. Escobar

  DART wanauza electronic ticket time expired

  Yaani matatizo yawe kwenye muda/tarehe tu kwanini siyo kwenye pesa?
Top Bottom