Search results

 1. Memo

  Amchinja mkewe mjamzito wa miezi nane, ajisalimisha

  dah! hii ni mbaya sana.
 2. Memo

  Kondakta, na Dereva wasimulia mkasa wa mwanafunzi wa NIT kupigwa risasi

  Kuna hatari kwamba watu waliojeruhiwa kwa risasi ni zaidi ya watatu au wanne. Mambo sasa jana amegeuza story kwamba risasi zilipigwa juu na chini kulenga miguu ili kuwaondolea waandamanaji nguvu ya kuendelea kuandamana.
 3. Memo

  Hatimaye Ndugu wa Aqulina Akwilini wakubali kuchukua mwili wa marehemu

  Wanataka kuchunguza kama hiyo risasi ilitoka kwenye SMG ya askari polisi au ilitoka kwenye SMG ya CHADEMA. Kwani huwajui hawa.
 4. Memo

  Unajua wanaobeba madawa tumboni wanaingiziwa kinyume na maumbile?

  Kuna watu wana uwelewa wa cockroach
 5. Memo

  Kuna Kushinda na Kushindwa; CCM Inaposhindwa Iliposhinda...

  Amechanganyikiwa huyo, usukuma ulimponza, sasa anajisemea kwamba tatizo ni CCM (team) sio Kocha. Amechanganyikiwa huyo.
 6. Memo

  Inaonyesha kuna mkakati wa kuwabebesha lawama CHADEMA

  Chakubanga anakubaka au huwa unampa mwenyewe? Jifunze kuandika, unaandika herufi kubwa kwani ni tangazo la mganga wa kienyeji kutoka Rukwa?! Mazafanta.
 7. Memo

  Inaonyesha kuna mkakati wa kuwabebesha lawama CHADEMA

  You exist while others live.
 8. Memo

  Kwa mazoezi ya Mandata niliyoyaona Oysterbay nashauri Kesho timizeni haki yenu muondoke

  Kinyume cha kufeli ni kuamka? Figo ilifeli halafu ikafaulu hapohapo....naona mkono wa sweta unakusumbua.
 9. Memo

  Kwa mazoezi ya Mandata niliyoyaona Oysterbay nashauri Kesho timizeni haki yenu muondoke

  'Mandata wengi kidogo'...rudi Shirati kajifunze kiswahili.
 10. Memo

  Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

  Unaishi Kremia au Luthinia? Unajigeuza kenge mchana kweupe. Unaulizia picha? Unaijua mitandao ya kijamii? Kama hujui nenda kamuulize nyanya yako.
 11. Memo

  Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

  Hakuna msukuma mwenye roho mbaya namna hii....labda kama ametokea Rwanda.
 12. Memo

  Polepole are you proud of what is happening in Kinondoni?

  Chakubanga huyo sio wakumsikiliza....anakula mkia wa yohana
 13. Memo

  Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

  Yeah yeah man
 14. Memo

  Hakuna mtu aliyewahi kutekwa na Wanausalama akarudi halafu akasimulia

  Inawezekana keshasagwasagwa huyo coz akirudi maswali yatakuwa mengi na nchi inaweza kutetemeka maana hatakuwa tayari kusema ukweli labda iwe alifungwa gereza la ughaibuni akanyimwa mawasiliano.
 15. Memo

  Mwili wa marehemu Sir Andy Chande wachomwa moto

  Kwa Allah hakuna tajiri wala maskini, sote tu mavumbi na kwake tutarejea. Hakuna Masonic wala muinjilist kila nafsi itaonja mauti, bora kumcha Mwenyezi Mungu. Reporter wetu take care.
 16. Memo

  Chato: Mtoto Yohana Bahati (Albino) atekwa, akatwa viungo vya mwili, Azikwa kwa ulinzi mkali

  Huyu jamaa ni petty leader.....hana uwezo huo.
 17. Memo

  Matumizi ya simu katika Mahusiano

  Jamani kama mulikubaliana kuwa mwili mmoja kwa nini simu ziwekwe secuty ?? hapo uaminifu ni zero ila simu ikiwa huru kwa yeyeyote kati yenu kutumia hiyo inakuwa pouwa kabisa. au unasemaje babu!!! je waeza mruhusu bibi akague simu yako???? hahahaha.
 18. Memo

  Tunaweza kuishitaki TANESCO?

  Muhongo ni msomi kenge kabisa niliyeoata kumuona. Ameingia na sera ya usiri. Kwamba wananchi wasipewe taarifa yoyote kuhusu chochote. Atakaeuliza ataambiwa wewe hujasoma, huna vyeti vingi kama vya kwangu. Muhongo amekuja na jipya..kwamba hakuna kusema kwamba kuna mgao au hitilafu. Nyamaza...
Top Bottom