Search results

 1. Uso wa nyoka

  Mheshimiwa Rais uanzishwaji wa viwanda, uendane na suala la uwezeshaji wa Wajasiramali pia tafadhali

  Nafurahi kusema kwamba, mwelekeo wa Rais katika maamuzi mengi una viashiria chanya zaidi kuliko hasi, hasa kwa sisi wengi tunaoona mbali. Sizungumzi kwa niaba ya wale wenzetu wachache ambao kwao, jema huwa wanapendelea lionekane baya na lile baya liwe baya zaidi. Hapa nazungumzia wale walio na...
 2. Uso wa nyoka

  Mwanamke hujiandaa kila anapotoka nyumbani!!

  Sema kweli kaka? Hii ni habari njema sana kwangu aisee!
 3. Uso wa nyoka

  Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

  Wewe ni mtu mzima,angalia sababu ya wewe kumpenda na mazingira ya yeye kukupenda ingawa ameoa. Kama mnataka kutumiana na kuachana ni maamuzi yenu na kama yeye amemchoka alienae na anataka kumove on,hayo ni maamuzi yenu.
 4. Uso wa nyoka

  Kigogo mzito serikalini shoga

  WhataF..ck? Nakuheshimu sana mkuu,otherwise nina mdomo mchafu sana,nikiamua kuusukutua utatabasamu! Thank you!
 5. Uso wa nyoka

  Ni heri niapishwe kuwa Rais kipindi hiki.(take note).

  A Fractured skull can cause many symptoms, some of which may be minor and some extremely serious. Utakuwa uliwahi kudondokea kichwa utotoni, chunguza.
 6. Uso wa nyoka

  Mkoa gani huyu? Mi nahisi mchagaa huyu

  Chapati kama kipande cha boksi!
 7. Uso wa nyoka

  Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

  Ni Mtanzania, mengine mbwembwe tu!
 8. Uso wa nyoka

  Unaweza kumdharau mtu mwenye elimu ndogo lakini vipi kuhusu mwenye PhD na hajui hata maana ya VAT?

  Kuwa na Phd siyo kujua kila kitu pia ukumbuke kuwa watu wanasomea maswala ya kodi maana ni taaluma, sasa unaposema eti kwa vile tu mtu ana Phd basi automatically anapaswa ajue VAT, ni swala lisilo na mantiki maana hujaonyesha hiyo Phd ni ya maswala gani?
 9. Uso wa nyoka

  Mkenya 'Kihiyo' aongoza shule ya kimataifa Dar es Salaam

  Watu hawajui hao jamaa walivyo. Hawataki upuuzi kwenye maswala ya huko kwao ukiwa mgeni, halafu watu wanakaa wanawatetea tu.
 10. Uso wa nyoka

  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Gambia akimbilia Nje ya nchi kuhofia Usalama wake.

  Hiyo Kanzu ya Jammeh siyo Kevlar kweli? Kama ni mtindo,basi ni matata sana.
 11. Uso wa nyoka

  Mwanamke ninayempenda kanikutanisha na bwana yake, nimetukanwa kama mbwa

  Hahaha! Nimeshindwa kuelewa alitokaje baada ya jamaa kuvunja simu yake na kumtukana. Naona kama kuna ya ziada ambayo hatujaambiwa kama kukwepa ngumi au kichapo heavy kilitembea na mambo mengine madogo kama hayo.
 12. Uso wa nyoka

  Mwanamke ninayempenda kanikutanisha na bwana yake, nimetukanwa kama mbwa

  Kata mtungi mkuu na kufanya mazoezi sana! Ila umekutana na kisanga! Kuna mahali umeruka lakini, namna ulivyoondoka ndani.
 13. Uso wa nyoka

  KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

  Halafu wanataka wachomekee mashati na kubeba briefcase kwa hivyo vyeti feki wakati wanaweza kulima, kufuga, kuchuuza bidhaa na hata kuunda vikundi vya maendeleo wakafanya makubwa tu. Mtu yuko tayari akusanye milioni mbili hadi tano ya nauli aende US akabebe maboksi wakati hiyo hela akiingia nayo...
 14. Uso wa nyoka

  KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

  Kuwa na viwanda hakuondoi fursa ya kuuza mazao ghafi nje endapo kunakuwapo na uzalishaji unaotosheleza hilo. Kwa hiyo ulichokiandika hakina maana kwa sababu sikugusia uuzaji wa mazao ghafi nje. Kingine unachopaswa kuelewa ni kuwa hata uzalishaji wa kujitosheleza unategemea viwanda kama vya...
 15. Uso wa nyoka

  KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

  Ufafanuzi mwingine ni mgumu kueleweka mpaka pale mambo yanapofanyika maana kuna mambo mengi yanayoingiliana ambayo hayaeleweki kirahisi.
 16. Uso wa nyoka

  KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

  Hivi unakielewa ulichopost? Unapoambiwa uchumi wa viwanda unafikiria ni nini? Mkulima anapolima mazao yake na kukawa na kiwanda cha kuprocess hayo mazao kuwa bidhaa nyingine itakayouzwa nchini na hata kusafirishwa, huoni kuwa mkulima anakuwa na uhusiano wa karibu na kiwanda ambacho ni soko lake...
 17. Uso wa nyoka

  Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

  In addition to that, ni kwamba hakuna nchi yoyote duniani kote ambayo haina matatizo. Zambia wana matatizo mengi tu ambayo ukiingia, utatamani urudi huku, Ukienda USA utakutana na ombaomba huku upande wa pili kukiwa na mabilionea na matrilionea wa ajabu. Sasa utajiuliza,hao ombaomba walikuwa...
 18. Uso wa nyoka

  Kubenea Leo amekuwa msaliti Bavicha

  Utoto mwingine unachekesha sana! Nyumbu bwana!
 19. Uso wa nyoka

  Hali mbaya ya Njaa nchini: Mifugo inakufa, Mvua hakuna na Viongozi wanaogopa kusema!

  Mbona hueleweki? Kuna njaa au kupanda kwa bei ya mazao? Acha kujikanyaga!
Top Bottom