Sema tu haujatuambia chuo kitamilikiwa na nani na kitafadhiliwa na nani??
Je chue cha Elimu ya Juu kama vingine?
Hivi Shy kuna Chuo kikuu hata kimoja kweli hadi sasa?
Hata mimi ukiniambia ninue share za NICOL kwa sasa nitasita-- afadhali ninunue za Viwanda vya Cementi au Bia.. maanke watu wanakunywa bia na kujenga kila siku
Kwani nani anatakiwa kuiteua hiyo Bodi? Je huu ucheweleweshaji uko hapo tu au na taasisi zingine?
Mwakyusa sii wameshibana sana na JK hata ile reshufle hakuguswa- anamfagilia sana na ni Wizara chache ambazo skandali ni kidogo!
Je kuna dalili za Ufisadi katika Uteuzi?
Kwa nini...
Wacheni wivu-kwani ninyi mmekatazwa kuanzasha shirika la ndege?
Mtanzania akijitahidi- mara Fisadi, mara anajidai- basi tu maneno ya maudhi!
Eti pesa katoa wapi?
Hii scandal itaishia tu hivi hivi watu walishakula pesa ndo imetoka!
Kwani waliokula Goldenberg na Angloleasing Kenya leo si wapo na wanapeta? Na hizi ni pesa nyinyi zaidi BoT!
Sasa unadhani waliokula BoT watafanyiwa kitu?
Thubutu!
Rwabingiri,
Mimi nimekuwa mkweli kama binadamu taabu ya wengi wetu hapa tuu wanaafiki! Sii mawaziri wengi tu vijana walikuwa wanapinga sana ulaji siku za nyuma sasa wamepewa nafasi na JK na wapo kimya na sasa nao wanakula? Kama ni vibaya wanavyofanya ni swala lingine. Ukweli ni huo watu...
Acheni wale! nani hapendi kula? Hata wewe ukipewa sii utakula? Leo JF mko hapa kulalamika kwa vile mko out of System! Mwai Kibaki alikuwa analilia hivi tangu zamani ilipofika 2002 akaanza naye kula- leo Kenya iko wapi?
Msiwaonee wivu- if you can not fight them join them!
Acheni wivu- wivu...
Ni kweli,
Majority wa aliowateua JK ktk sehumu nyati sasa ni Waislamu- angalia Mkuu wa Usalama Taifa, Mkuu wa Polisi, wakuu wa mikoa na wilaya na bosi wa TACAIDS- na wale mabalozi zile picha hata zilimpa iabu!
Ila kweli mnatambua kuwa Waislamu wameachwa nyuma Tz na sasa ndo nafasi yao? Ni...
Cheating iko kote toka zama za mababu! Kuna ufafiti umefanyika Norway, Sweden na Denmark- 2006 over 50% of couples reported to have cheated! Tanzania ni kawaida tu- ukiona mama amepandishwa cheo au anapata safari nyingi zaidi za nje na mikoani au ana alowance kubwa zaidi- tambua tu bosi...
JF,
Kibaki ni jamaa yangu mda mrefu! He is really a gentleman - (Lucy yuko tofauti kidogo!)
Ni kitu gani Kibaki amewaudhi wana Kenya?
Mimi nashindwa kuelewa - je Raila ni jawabu la maisha mema kwa Wakenya? Kumbuka issue ya Chiluba Zambia na Bakili Muluzi Malawi!
We do not have a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.