Search results

 1. Kiungonguli

  Ujio wa Aziz Ki una maana gani kwa Fei Toto?

  Stephane Aziz Ki ni jina lililotamkwa mara nyingi mno midomoni mwa mashabiki wa SIMBA na YANGA kwa takribani wiki nane sasa huku kila shabiki wa timu hizi akitamani huyu bwa mdogo acheze kwenye timu yake pendwa. Hatimaye sasa ni rasmi AZIZ KI ni mali ya wananchi na ameshatambuliswa kwa mbwembwe...
 2. Kiungonguli

  Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

  Nakumbuka siku moja tulienda disco Tabora Girls sasa muda wa kurudi shuleni kwetu Milambo,tukarushiwa sana mawe njiani tukiwa kwenye lori la shule mpaka vioo vikapasuka vya pembeni.Tukafika mbele tukapaki tukajidiliana namna ya kuwashawishi wahuni ili waje turudishe majibu(maana tulienda...
 3. Kiungonguli

  Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

  MILAMBO SHULE YANGU NAIPENDAAAAAAAAA IKO TABORA MJINI,MKOANI TABORAAAAAAA KANDA YA MAGHARIBIIIIIII MOTTO WETU SIKU ZOTEEEE ELIMU NI AMANA,PIA NI UFUNGUO HULETA UFANISI HAHAHAHAHAHAH Wimbo wa shule huo nimeusahau jamani ulikuwa unanisisimua sana enzi hizo aisee
 4. Kiungonguli

  Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

  Kwa mwalimu MAJUBWA au?
 5. Kiungonguli

  Mate sio kilainishi sahihi wakati wa tendo la ndoa na ni hatari kwa afya ya Mwanamke

  Wakati matumizi ya mate yakiwa maarufu kwa wengi wakati wa kujamiiana, hasa yanapotumika kama aina fulani ya kilainishi hasa ukeni na hivyo kuleta ladha ya tendo, habari si njema sana kwa watumiaji wa mate hayo wanapoburudika, hasa kwa wanandoa. Wataalamu wa afya wamesema kuna ongezeko la...
 6. Kiungonguli

  Nani mkali kati ya Aziz Ki na Augustine Okrah?

  Kwa mnaowafahamu vema mafundi hawa waliosajiliwa na YANGA na SIMBA tuambieni bila kuweka ushabiki nani kalamba dume?
 7. Kiungonguli

  Msaada kwa watoto wanaokula magodoro

  Arusha. “Ninaomba kama kuna mtu anajua dawa ya hawa watoto kuacha kula magodoro anisaidie, maana hadi mimi mwenyewe naogopa, natamani hata kukimbia hii nyumba,” Hiyo ni kauli ya Joyce Mrema (45), mama wa watoto pacha wa kike, mkazi wa Mtaa wa Kanisani uliopo Kata ya Sokoni One jijini Arusha...
 8. Kiungonguli

  Kuna dalili Simba mwakani pakavu

  Kwani hamjawahi kucheza na AL AHLY huku MKUDE akicheza?Mpira umebadilika sana siku hz na kuna tofauti kati ya holding midfielder na defensive midfilder. Unamuona SERGIO BUSQUETS au ulishamuona MICHAEL CARRICK akicheza? Hao ni namba 6 aina ya MKUDE ambao hawakimbii sana na kufanya tackling...
 9. Kiungonguli

  Kituko gani alikufanyia mtoto wa mwenyeji wako ulipokuwa ugenini huwezi kukisahau hadi leo hii?

  Mimi nilienda kwa mama mkubwa wa mchumba wangu,tukakuta kajukuu kake pale kadogo kapo chekechea,ni kajanja sana nikmpa simu yangu nikamuwekea game acheze,nikawa naendelea na story na yule mama mara ghafla kikampelekea simu bibi yake kumuonyesha mi nikajua kamewin ile game kumbe kanamuonyesha...
 10. Kiungonguli

  Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

  Alikuwa mtoto wa mjini tu,na alikuwa na nyumba za urithi halafu zote zilikuwa za tope kipindi hicho watu wakawa wanamtania NYUMBA NYINGI,kwa mfano huyo KIZA KINENE alikuwa anaendesha tax tu Kinondoni,Kuna Victor Bandari alikuwa muajiriwa wa kawaida tu Bandarini alikuwa anaendesha crane au folk...
 11. Kiungonguli

  Sureboy hakustahili kuingia katika tuzo za msimu. Aziz Andambwile na Redondo Chombo wamemzidi kila kitu

  Ulipata fursa ya kuangalia vigezo vyao wanavyotumia?Maana huwezi jua wanaangalia nini kuchagua,Mimi binafsi pia kuna wachezaji sijaelewa kwanini wamejumuishwa...Ila ni kawaida dunia nzima tuzo hazikosi lawama
 12. Kiungonguli

  Sureboy hakustahili kuingia katika tuzo za msimu. Aziz Andambwile na Redondo Chombo wamemzidi kila kitu

  Hiyo ni mipango tena imetajwa wakati wa kampeni...Usiwaamini sana wagombea ngoja tuone utekelezaji wake,Umefika muda sasa vilabu vyetu vishindane kwa miundo mbinu kama viwanja na academies na sio hizi bla bla bla. South Africa wana vilabu vina miundo mbinu safi sana na wala havina mashabiki...
 13. Kiungonguli

  Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

  Nimekumbuka mbali sana NIMEONA JINA LANGU hapo,Pia nimeakumbuka akina HASSAN MIUNDOMBINU,ALLY KILEO,KIZAIZAI SUPER TALL,KIZA KINENE,ABDALLAH NYUMBA NYINGI:DHalafu sio wote wanaotajwa kwenye band walikuwa wana pesa wengine walikuwa kawaida tu hasa vijana wa kinondoni
 14. Kiungonguli

  Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

  Serikali kwa nini huwa inachelewa sana kuchukua hatua?Yule MR KUKU nae kawapiga hela wananchi kashtakiwa kalipa fine katoka saivi kaanza tena halafu serikali inamuangalia tu
 15. Kiungonguli

  Young Lunya kusainiwa Sony

  LUNYA ni rapa mkali sana wa kizazi hiki cha sasa...Hii platform itampa faida sana sio kiuchumi bali kwa sanaa yake kufika mbali zaidi.Nategemea sasa kumuona akifanya vizuri kwenye soko la muziki kwa ukanda wa Afrika Mashariki
 16. Kiungonguli

  Usajili wa Morison aibu kwa mpira wa Tanzania

  MORISSON kaja kutafuta pesa bongo na ameshasoma siasa za mpira wetu zilivyo,acha akapige pesa huko.Mpira anajua yule mwamba basi tu anajichetua sometimes
 17. Kiungonguli

  Bernard Morrison atupa kijembe kwa uongozi wa Simba SC

  Uwanja wa TAIFA au AIRPORT?
Top Bottom